Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Asante sana mkuu ......

Nimekupata kwa uzuri sana!

Huna mpango wwt wewe!
Kujifanya una akili nyingi kumbe huna llt!
Msiwe mnavamia mada bila kujiandaa!
We unadhani hapa kanisani Utaropoka tu bila Kupata Challenge?

Ovyo sana nyie watu.
Kondoo wahed!
 
Huna mpango wwt wewe!
Kujifanya una akili nyingi kumbe huna llt!
Msiwe mnavamia mada bila kujiandaa!
We unadhani hapa kanisani Utaropoka tu bila Kupata Challenge?

Ovyo sana nyie watu.
Kondoo wahed!
Mkuu nimekukosea nini sasa?

Au mimi kusema nimekuelewa ni kosa?
 
Nyi huwa mnadai kuwa Quran ni kitabu ambacho alipewa Muhammad,Issa alipewa Injil,Musa alipewa Torat na Daudi alipewa Zaburi,kwa maana hii hivyo ni vitabu tofauti na havihusiani

Kwa maana hiyo hakuna mahusiano ya hivyo vitabu vinne,viko tofauti

Unaponiambia nikasome Quran ili niione Injili ya Isa unakuwa unamaana gani?
Injili iko ndani ya Quran?
Kama imo ndani ya Quran tayari unajikinza na imani yako mwenyewe na unaifanya imani yako iwe ya uongo kwasababu inadai hivyo ni vitabu tofauti,kama haimo humo iko wapi?

Pamoja na hayo,kama kwenye Quran kuna Injili ambacho ni kitabu cha Isa,inaendeleaje kuitwa Quran?kwanini isiitwe Biblia?

Naamini unajua maana ya Bbilia ninini,naomba u nisaidie huo mkangan yiko hapo juu japokuwa najua huwezi ....!!
Safi sana na swali zuri sana, unajua kwanini nikasema Injili ya Yesu utaipata kwenye Qur'an sababu Qur'an imeongelea kwa ujumla siri yake Yesu kikamilifu na ndio alivyo kuja funza yeye. Yesu anasema yeye hajawahi kusema yeye ni Mungu, Yesu anasema yeye ni binadamu, Yesu anasema yeye na mama yake hawajawahi kuwambia BINADAMU YOYOTE wawafanye wao ni miungu pamoja na Mungu. Kumbuka Qur'an inaelezea kikamilifu story ya mama yake Yesu na Yesu mwenyewe sio hivyo tu imeongelea story ya Yesu kuliko ya Mtume Muhammad mwenyewe. Qur'an ina Sura Al Mariyam, kuna Surat Al Amran hizo Aya zinaongelea tokea Yesu kazaliwaa mpaka siku aliyepaishw ana Mungu, zinaongelea family yote ya Yesu pamoja na Nabii Yahya, na Nabii Zakaria. Na ni ukweli mtupu. Ndio nikakuambia ukitaka ujuwe ukweli wa Injili, fata Qur'an sio vitabu vya kina Paulo. Lazima uwelewe wazi kwenye akili yako Injili imefichwa kwa makusudi. Sababu Yesu Alisha sema atakuja mtume anaitwa Ahmed, ambaye ni Muhammad.

Safi sana na swali zuri sana, unajua kwanini nikasema Injili ya Yesu utaipata kwenye Qur'an sababu Qur'an imeongelea kwa ujumla siri yake Yesu kikamilifu na ndio alivyo kuja funza yeye. Yesu anasema yeye hajawahi kusema yeye ni Mungu, Yesu anasema yeye ni binadamu, Yesu anasema yeye na mama yake hawajawahi kuwambia BINADAMU YOYOTE wawafanye wao ni miungu pamoja na Mungu. Kumbuka Qur'an inaelezea kikamilifu story ya mama yake Yesu na Yesu mwenyewe sio hivyo tu imeongelea story ya Yesu kuliko ya Mtume Muhammad mwenyewe. Qur'an ina Sura Al Mariyam, kuna Surat Al Amran hizo Aya zinaongelea tokea Yesu kazaliw ampaka siku anakufa, zinaongelea family yote ya Yesu pamoja na Nabii Yahya na Nabii Zakaria na ukweli mtupu. Ndio nikakuambia ukitaka ujuwe ukweli wa Injili fata Qur'an sio vitabu vya kina Paulo. Lazima uwelewe wazi kwenye akili yako Injili imefichwa kw amakusudi sababu Yesu Alisha sema atakuja mtume anaitwa Ahmed ambaye ni Muhammad.

Mwenyezi Mungu alim’bashiria Mariamu kumpa
mtoto wa kiume (3:46 na 19:20). Mariamu alishangaa
kwamba atapataje mtoto hali hajaguswa na
mwanamume yeyote (19:21). Lakini Mwenyezi Mungu
alisema kwamba haya ni rahisi kwake na jambo hili
limekwisha hukumiwa. (19:22). Bwana Yesu alizaliwa
katika siku za kuiva tende. (10:26). Na alianza kuongea
mambo mazuri katika umri mdogo. (3:47). Alitumwa
kwa Waisraeli tu (3:50 na 61:7). Alipewa elimu ya kitabu
na hekima. (5:111 na 3:49). Mwenyezi Mungu
aliwafunulia wanafunzi wake kumwamini Bwana Yesu
Kristo. (5:112). Mwenyezi Mungu alimpatia hoja zilizo
wazi na alimsaidia kwa Roho Mtakatifu.(2:254).
Mwenyezi Mungu alimwahidi kwamba “Ewe Isa, kwa
yakini Mimi nitakufisha na nitakuinua kwangu, na
nitakutakasa na (masingizio) ya wale waliokufuru na
nitawaweka wale waliokufuata juu ya wale waliokufuru
mpaka siku ya Kiyama...” (3:56). Mayahudi
hawakuweza kumuua Masihi wala hawakuweza
kumfisha msalabani. (4:158).

(Ewe Mariamu) baba yako hakuwa mtu m’baya wala
mama yako hakuwa asherati. (19:29).
2. Mariamu alikuwa mkweli
a. Na mamake (Masihi) ni mwanamke mkweli, (5:76).
b. (Mariamu) akayasadikisha maneno ya Mola wake,
( 66:13).
3. Alikuwa mtiifu mbele ya mamake
Na (Allah Ameniusia) kumfanyia mema mama yangu,
6
wala Hakunifanya niwe jeuri mwenye bahati mbaya
(19:33).
4. Alikuwa mtakatifu
Na Tukampa Isa mwana wa Mariamu Ishara zilizo wazi
na tukamsaidia na Roho Mtakatifu (maneno
matakatifu) (2:88).
5. Alikuwa mtu wa Mungu
Akasema mimi ni mtumishi wa Mwenyezi Mungu.
Amenipa kitabu na Amenifanya Nabii na Amenifanya
m’barikiwa popote nilipo, na Ameniusia Sala na Zaka
maadam ningali hai (19:31-32).
6. Alikuwa mfano mwema
Na Tukamfanya methali (mfano) kwa wana wa Israili.
(43:60).
7. Alikuwa mtu wa amani.
Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa na siku
nitakayokufa na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai.
(19:34).
8. Alikuwa neno la Mungu
Masihi Isa bin Mariam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu
na neno lake tu Alilompelekea Mariamu. (4:172)
9. Mtume wa kweli anapewa habari za ghaibu
(Mwenyezi Mungu) Yu mjuzi wa siri, wala
hamdhihirishii yeyote siri yake, isipokuwa Mtume
aliyemridhia. ( 72:27-28).
Hivyo Masihi Isa a.s. alipewa habari za ghaibu.
7
10. Aliwasadikisha Mitume wa zamani na alitabiri
Mtume ajaye
(Isa a.s. akasema) nisadikishaye yaliyo mbele yangu
katika Taurati na kutoa habari njema ya Mtume
atakayekuja nyuma yangu jina lake ni Ahmad. (61:7).
11. Alizaliwa bila baba
A. (Mariamu) akasema Mola wangu, nitapataje mtoto
na hali mtu yeyote hakunigusa? (Mungu) Akasema:
Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu Hutenda anavyopenda.
(3:48, 19:21).
B. Masihi alikuwa mwana wa Mariamu. (4:172, 5:76).
Islam haijengi ukuta wa husuda na bughudha baina
ya Waislamu na Wakristo. Bali inawakaribisha katika
mambo ya kheri na ya kujumuika. Qur'an Tukufu
imesema kwamba: “Enyi watu wa kitabu, njooni
kwenye neno lililo sawa baina yetu na baina yenu, ya
kwamba tusimwabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu,
wala tusimshirikishe na chochote.” (3:65). Vilevile
Qur'an Tukufu inawasifu Wakristo na inawapongeza.
Imesema kwamba: “....na utawaona walio karibu zaidi
kwa urafiki na waaminio ni wale wanaosema ya kuwa
sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wako miongoni
mwao makasisi na maruhubani, na kwa sababu wao
hawatakabari.” (5:83).
Kwa njia hii Qur’an Tukufu inajenga urafiki na
Wakristo. Kwahiyo ninawakaribisheni ndugu Wakristo

katika dini ya Mwenyezi Mungu, ili tuwe kitu kimoja na
tujenge umoja na tupate amani. Na hii ni zawadi kwa
Wakristo. Karibuni sana.
Tazama hapo chini kwemye post yangu nilipo bold,post yako haijajibu hayo ......
Nyi huwa mnadai kuwa Quran ni kitabu ambacho alipewa Muhammad,Issa alipewa Injil,Musa alipewa Torat na Daudi alipewa Zaburi,kwa maana hii hivyo ni vitabu tofauti na havihusiani

Kwa maana hiyo hakuna mahusiano ya hivyo vitabu vinne,viko tofauti

Unaponiambia nikasome Quran ili niione Injili ya Isa unakuwa unamaana gani?
Injili iko ndani ya Quran?
Kama imo ndani ya Quran tayari unajikinza na imani yako mwenyewe na unaifanya imani yako iwe ya uongo kwasababu inadai hivyo ni vitabu tofauti,kama haimo humo iko wapi?

Pamoja na hayo,kama kwenye Quran kuna Injili ambacho ni kitabu cha Isa,inaendeleaje kuitwa Quran?kwanini isiitwe Biblia?

Naamini unajua maana ya Bbilia ninini,naomba u nisaidie huo mkangan yiko hapo juu japokuwa najua huwezi ....!!
 
Tazama hapo chini kwemye post yangu nilipo bold,post yako haijajibu hayo ......
Kwanza umewahi ku Quote kuna mambo nilikuwa nataka kuyaweka nika paste vibaya, pia kuna sehemu niliandika mpa Yesu ana kufa sio vile, nimekusudia siku kapaishwa na Mungu, nadhani umenielewa. Napo sema Injili ipo ndani ya Qur'an, ni maneno alio ongea Yesu tu ya ukweli sio yale ya uwongo walio sema kina Paulo eti Yesu ni Mungu. Ndio kisa chake kiko kwenye Qur'an sa wapi nimekosea. na aliyo wafundisha wana wa Israel, yeye na Mussa na Ibrahim sa wapi kuna kosa. Alio fundisha Yesu pia yamo kwenye Qur'an au uwongo, sa kosa liko wapi. Injili ya Yesu haionekani, sababu Yesu alisema atakuja mtume baada yake anaitwa Ahmed, ambaye ni Muhammad.
 
Wewe unaejiuta mkuu wa chuo wacha ujanja wa kizamani!

Musa Sio SUBJECT hapa!

Wewe umetoa statement kuwa Km MUSA ni MUISLAMU je! Alifuata nguzo TANO za UISLAMU?

Sasa nimekuuliza na nnaendelea KUKUULIZA hapa Je UISLAMU ni NINI?

Wacha Longa longa ya kitapeli!
Jibu swali hapa.

Uislamu ni mfumo wa maisha, mnyavyodai nyie... kwa maana hiyo hata Paulo alikuwa ni Muislamu au!?
 
Uislamu ni mfumo wa maisha, mnyavyodai nyie... kwa maana hiyo hata Paulo alikuwa ni Muislamu au!?

We leo utaelewa tu japo unajifanya hamnazo!

Swali sio TUNAVYODAI SISI!

Swali ni NINI MAANA YA UISLAMU kwa tafsiri yake ya ASILI?

Usiniletee madai ya watu wakati TAFSIRI halisi ya NENO UISLAMU ipo!

Km hujui SEMA mimi Mkuu wa chuo cha KATILIKI SIJUI? hilo ni jina tu la Kujipa vyeo ambavyo sina!

Andika hivyo NIKUSAIDIE.
Manake kwa tafsiri yako hapo juu SIO PAULO TU! una maana KILA MTU NI MUISLAMU na Nijuavyo mimi PAULO alikuwa Kafiri 100%.

Nasubiri JIBU!
 
Last edited by a moderator:

Au unamaanisha tafsiri ya Amani, kama ni wahyi, Huyo mnayemwita Mtume Adam alitumwa kwa watu gani!?
 
Hebu na mimi nikuulize jambo moja tu kuhusu kauli ya Yohana mbatizaji kisha utajijua kama uko sahihi au la juu ya kubatiza.

Mathayo 3:11 Yohana anasema "Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa roho mtakatifu. Pia maneno hayo yanapatikana Marko 1:7, Luka 3:16, Yohana 1:26-34.

Mbona bado mwabatiza kwa maji wakati yohana alisema baada ya kuja yesu ubatizo utakuwa wa roho mtakatifu???
Who told you that Christians are not baptized in the Holy Spirit?

Now answer my question:
If John the Baptist was a Muslims:
1. Why are you Muslims not baptized?
2. In whose name was he baptizing?

I need constructive answer and not muhammadic whining.
 
Kwanza umewahi ku Quote kuna mambo nilikuwa nataka kuyaweka nika paste vibaya, pia kuna sehemu niliandika mpa Yesu ana kufa sio vile, nimekusudia siku kapaishwa na Mungu, nadhani umenielewa. Napo sema Injili ipo ndani ya Qur'an, ni maneno alio ongea Yesu tu ya ukweli sio yale ya uwongo walio sema kina Paulo eti Yesu ni Mungu. Ndio kisa chake kiko kwenye Qur'an sa wapi nimekosea. na aliyo wafundisha wana wa Israel, yeye na Mussa na Ibrahim sa wapi kuna kosa. Alio fundisha Yesu pia yamo kwenye Qur'an au uwongo, sa kosa liko wapi. Injili ya Yesu haionekani, sababu Yesu alisema atakuja mtume baada yake anaitwa Ahmed, ambaye ni Muhammad.

Ngoja n irudie inawezekana ukanielewa ....

Kwamujibu wa imani ya Kiislam mnaamini vitabu vinne

Quran ambayo amepewa Mtume Mohammad
Injil aliyopewa Isa
Zaburi aliyopewa Daudi
Taurat aliyopewa Musa

Kwa lugha nyepesi hivyo ni vitabu vinne ambavyo nyie mnaviamini na hakuna uhusiano kati ya kimoja na kingine yaani vipo separate ....

Sasa hapa wewe unaniambia kuwa nisome Quran nione injili ya Isa,hili linawezekanaje?
Iweje Injili iwe ndani ya Quran?

Kama injili imo ndani ya Qunan halafu hapo hapo Quran ni kitabu alichopewa mtume Mohammad,kivipi sasa?
Mtume alipewa kitabu kipi kama humo humo kwenye kitabu chake kuna kitabu cha mwingine?

Humo kwenye Quran kuna na habari za Musa na Daudi,kwanini?
Inakuwaje sasa hii iwe kama ilivyo wakati kitabu cha Quran ni kitabu cha mtu mwingine?

Ndio maana nikakuambia kuwa kama ni hivyo kwanini Quran isiitwe biblia?
 
Mimi niogope kitu gani cha kuniogopesha? Unaiuliza Injili ya Issa iko wapi? mimi ndio nawauliza WAKRISTO wote, pamoja na watungaji mashairi ya Bibilia, kina Luke, Matthew, John na Mark. Walivitoa wapi vitabu vyao, kwa Mungu au Malaika. Kama kwa malaika gani aliye wambia waviandike? Hivi vitabu kwanini vilikuja kama sio kuja kuficha Injili ya Yesu. Tatizo lako Ishmael huna akili, unakuja nililia mimi. Ungewalilia kina Paulo na hao wafuasi wake kina Luke, Matthew, John na Mark WAMEKIFICHA WAPI KITABU CHA JESUS. Afu mbona hukumlalamikia Prophet Mosses (Mussa) aliposema Bibilia itavurugwa, mpigie simu umulize si pia mnasema Mussa ni Mungu, lazima atakusikia tu.

Show me the Injil of Isa. Sina muda na blah blah zako.

Kama kweli Allah ni Mungu na aliteremsha Injil kwa Isa, nionyeshe ipo wapi hiyo Injil?
Kama kweli Allah ni Mungu na aliteremsha Taurat kwa Musa, nionyeshe ipo wapi hiyo Taurat?
Kama kweli Allah ni Mungu na aliteremsha Zabur kwa Daudi, nionyeshe ipo wapi hiyo Zabur?

Kumbuka Quran iliteremshwa kwa Muhammad kama mnavyo dai, hivyo, sitegemei wewe kutumia Quran kujibu maswali yangu, unless Quran sasa Imekuwa ni Mkusanyiko wa VITABU kama BIBLIA.

HAYA MSAIDIE ALLAH WAKO NA MTUME WAKE.

Bado haujajibu swali.
 
Au unamaanisha tafsiri ya Amani, kama ni wahyi, Huyo mnayemwita Mtume Adam alitumwa kwa watu gani!?

Utajichanganya mpaka asubuhi hapa!
Na kila unachokiandika ndipo na thamani yako inapozidi kushuka na kiwango chako cha weledi kinazidi kuonekana udhaifu wake.

Sio NINAMAANISHA bla bla bla!

La hasha! Mkuu wa chuo!!!!!!!

Nilichokuuliza WEWE ni kitu KIDOGO MNO!
Nimekuuliza NINI MAANA YA UISLAMU?

Sasa naona Umeshatoa Maelezo mengi tu yalio nje ya swali. Hebu JIBU SWALI HILI.
Na km HUJUI! basi sema "SIJUI".

Kutokujua SIO DHAMBI wala AIBU!
Bali Kujifanya UNAJUA kumbe HUJUI ndio aibu na Fedheha ambayo ndio inayo kuandama hapa.

Hayo ya ADAM tutayajibu kilaini tu lkn KWANZA nijibu Swali langu la AWALI.

NI NINI MAANA YA UISLAMU kwa TAFSIRI yake ya ASILI?

Sio tafsiri za kanisani au Mitaani Au Kwa mzee juma na bakari na Gwajima!

Nasubiri jibu!
 
Last edited by a moderator:
Ishamel, we sometimes ni mjinga sana tena sana nini mana ya neon MILAT IBRAIM? Unajua mana yake. Au unadhani mana ya MILAT IBRAHIM ni mila za kichaga, au kisukuma. Hapo Mungu anasema Qur'an mana ya Milat Ibrahim ni wale wanao mtii Mungu na hawamshirikishi Mungu na kitu chochote kile, wanao sali sana na watoa zakaa ndio mana yake. Hivi kuna mkristo anaweza kufit hapo sidhani hata siku moja. Unadhani hizo ni mila za kichaga hapo Mungu anaongea, nikikuambia wewe Ishamel huna kitu unabisha hapa umeonyesha ujinga wako.

We read about "Millat Ibrahim" in a number of verses which include the command to follow it, the following are some examples:"Then We inspired you to follow the creed of Abraham, the monotheist; he was not one of the mushrikeen." Qur'an 16:123
"And they said, "You have to be Jewish or Nazarenes, to be guided." Say, "No, rather the creed of Abraham, the monotheist and he was not one of the Mushrikeen." Qur'an 2:135
"Say, "God has proclaimed the truth: You shall follow Abraham's creed, the monotheist. He was not one of the Mushrikeen."
Qur'an 3: 95. When Prophet Joseph declared that he follows "Millat Ibrahim" he quickly added that it dictates to them (Joseph and his people) not to associate anything/anyone with God:
"And I followed the creed of my fathers, Abraham, Isaac and Jacob. It is not for us to associate anything with God. Such is God’s favour upon us and upon the people, but most people are not thankful." Qur'an 12:38.

Bod hujajibu swali. Nionyeshe na au zitaje hizo mila za Ibrahim. USIKIMBIE SWALI BANA.

Hivi kuna ugumu gani wa wewe kutuletea link ili tuzisome hizo sifa za Abraham ambazo mtume wako anadai kuwa anazifuata? I mean how hard is that?
 
Who told you that Christians are not baptized in the Holy Spirit?

Now answer my question:
If John the Baptist was a Muslims:
1. Why are you Muslims not baptized?
2. In whose name was he baptizing?

I need constructive answer and not muhammadic whining.

Kkkkkkk!
Constractive answer my black foot!

Did you ever ask urself why jesus NEVER EVER Prayed in the CHURCH! nor Build the Church Not even his Disciples?

Jesus says Churches are for for SATANS! JUST like PAUL.
He was a Big Satan who claim his Apostleship himself.

The one who will led lots of you into a hell fire! Alongside your demigods.
 
Unakijua kilimchomleta Yesu duniani mkuu?
 
Utajichanganya mpaka asubuhi hapa!
Na kila unachokiandika ndipo na thamani yako inapozidi kushuka na kiwango chako cha weledi kinazidi kuonekana udhaifu wake.

Sio NINAMAANISHA bla bla bla!

La hasha! Mkuu wa chuo!!!!!!!

Nilichokuuliza WEWE ni kitu KIDOGO MNO!
Nimekuuliza NINI MAANA YA UISLAMU?

Sasa naona Umeshatoa Maelezo mengi tu yalio nje ya swali. Hebu JIBU SWALI HILI.
Na km HUJUI! basi sema "SIJUI".

Kutokujua SIO DHAMBI wala AIBU!
Bali Kujifanya UNAJUA kumbe HUJUI ndio aibu na Fedheha ambayo ndio inayo kuandama hapa.

Hayo ya ADAM tutayajibu kilaini tu lkn KWANZA nijibu Swali langu la AWALI.

NI NINI MAANA YA UISLAMU kwa TAFSIRI yake ya ASILI?

Sio tafsiri za kanisani au Mitaani Au Kwa mzee juma na bakari na Gwajima!

Nasubiri jibu!
Sifahamu, tueleze sasa...
 
Wewe unaejiuta mkuu wa chuo wacha ujanja wa kizamani!

Musa Sio SUBJECT hapa!

Wewe umetoa statement kuwa Km MUSA ni MUISLAMU je! Alifuata nguzo TANO za UISLAMU?

Sasa nimekuuliza na nnaendelea KUKUULIZA hapa Je UISLAMU ni NINI?

Wacha Longa longa ya kitapeli!
Jibu swali hapa.

Hawanaga akili hao, hasa huyo mwenye ID ya Ishmael, ndio booya kabisaaa, nadhani virusi vya Kitimoto vimeua sensi zake.
 
Last edited by a moderator:
Show me the Injil of Isa. Sina muda na blah blah zako.

HAYA MSAIDIE ALLAH WAKO NA MTUME WAKE.

Bado haujajibu swali.

Km yesu wa msalabani ni Mungu vipi alikubali kupigwa mpaka akafa?

Km yesu wa msalabani ni Mungu ilikuwaje akubali KUVULIWA NGUO na kuvishwa nepi na viumbe aliowaumba yeye mwenyewe?

Km yesu wa msalabani ni Mungu ilikuwaje akawa Homeless na Jobless maisha yake Yote? Na chakula chake anafanya Kuomba omba! Kwanini asifanye miujiza tu akawa anakula na kulala vizuri?

Km yesu wa msalabani ni Mungu hivi alikuwa anamuomba Mungu yupi amuepushe na kile kikombe cha msalaba?

Na km yesu wa msalaba ni Mungu yule wa Agano la kale ni nani?
Au ni kaka yake na yesu wa msalabani? Ambae yeye alichulia mashoga lkn alipokuja mdogo wake akasema "RUKSA"!?
 
Kkkkkkk!
Constractive answer my black foot!

Did you ever ask urself why jesus NEVER EVER Prayed in the CHURCH! nor Build the Church Not even his Disciples?

Jesus says Churches are for for SATANS! JUST like PAUL.
He was a Big Satan who claim his Apostleship himself.

The one who will led lots of you into a hell fire! Alongside your demigods.
Punguza kuvuta weed, na jibu maswali kama unao ubavu au muite Allah wako aje hapa kama yupo hai akusaidie kujibu maswali. Pathetic muhammadan.

Now answer my questions:
If John the Baptist was a Muslim:
1. Why are you Muslims not baptized?
2. In whose name was he baptizing?

I need constructive answers and not muhammadic whining.
 
Hawanaga akili hao, hasa huyo mwenye ID ya Ishmael, ndio booya kabisaaa, nadhani virusi vya Kitimoto vimeua sensi zake.
Hii ndio booya weye Kafir wa Mifirist.

Surah Al Kahf 86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom