Utajichanganya mpaka asubuhi hapa!
Na kila unachokiandika ndipo na thamani yako inapozidi kushuka na kiwango chako cha weledi kinazidi kuonekana udhaifu wake.
Sio NINAMAANISHA bla bla bla!
La hasha!
Mkuu wa chuo!!!!!!!
Nilichokuuliza WEWE ni kitu KIDOGO MNO!
Nimekuuliza NINI MAANA YA UISLAMU?
Sasa naona Umeshatoa Maelezo mengi tu yalio nje ya swali. Hebu JIBU SWALI HILI.
Na km HUJUI! basi sema "SIJUI".
Kutokujua SIO DHAMBI wala AIBU!
Bali Kujifanya UNAJUA kumbe HUJUI ndio aibu na Fedheha ambayo ndio inayo kuandama hapa.
Hayo ya ADAM tutayajibu kilaini tu lkn KWANZA nijibu Swali langu la AWALI.
NI NINI MAANA YA UISLAMU kwa TAFSIRI yake ya ASILI?
Sio tafsiri za kanisani au Mitaani Au Kwa mzee juma na bakari na Gwajima!
Nasubiri jibu!