Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Mkuu hili swala la nyota ni kweli kabisa tunalo kama binadamu kila mmoja wetu amezaliwa na nyota mfano mm ni mkristo na biblia inaniambia wakti krito(yesu)anazaliwa ishara kumbwa ilitokea ambayoni nyota iliyong'aa sana na waganga na watabiri(mama jusi) waliona nyota ile na kutmbua kabixa kwamba aliyezaliwa si mtu wakawaida hivyo waliifuatilia nyota ili wajue maali alipo pengine walitaka kumuibia yesu nyota lkn walipomuona wakajikuta wao wenyewe ndo wanatoa dhahabu na manemane kumtunza mtoto yesu..(ni maajabu haya) kwa kisa hiki kindhihirsha kabisa kila mtu ananyota na wachawi na waganga uiba nyota za watu ambazo zinang'aa coz hatufanani na wakishaiba uzifanyia biasha ndo unakuta mtu anautajiri wa kupuliza hiyo anakuwa ameingia na mganga kutumia nyota za watu ambazo mganga aliziiba kwa ajiri hiyo ndugu ndio namna sheteni anavyofanya
Kazi hiyo kuiba nyota za watu na kuwapa wale wenye tamaa ya utajir,tamaa ya kuwa mwasiasa maharuf na mengine..!! NInakushauri wewe muombe bwana yesu tu akulinde na adui shetani basi utakuwa salama kabixa wewe na nyota yako..!!

Kwa uelewa wangu ile nyota ilikuwa inaongozwa na shetani coz iliwaelekeza mojs kwa moja kwa adui wa yesu yaani herode...... .ndo baadae ikawapeleka yesu alipo. ..pia wale wanajimu ni waabudu shetani mungu hupinga ulozi na uajimu
 
Tafuta hii ukiwa YouTube.Ushuhuda wa mtu ambae alikuwa akimuabudu Shetani.Moses.
Kazungumzia kidogo kuhuus nyota,utamwelewa na wala hautakuwa tena njia panda.
Sure: This Kenyan has changed me too:in the past I used to read and keep all blah blah and documents relating to horoscope, but now i'm liberated. i never think in that way again.
 
Haha mtanzania usiweke maneno ambayo sijayasema, nani kasema anakimbilia kutafsiri vingine?
alafu nani kajilinganisha na Yesu au Muhammad? haha, kwa hiyo utabiri wa hawa wawili ulitabiriwa kwa nyota? au ndo utaanza na wewe story za ile nyota ya Yesu iliyotoa guidance?

Haya tufanye mo mjinga, em nambie hizo nyota ndo zinafanyeje kazi? nimekwambia unipe convincing statement ili nikuamini ila hujanipa hata moja,

nlkuwa nauliza kwamba et siku ya bahati ya aliyezaliwa mwezi wa 9 ni lini?
 
nilickiza ushuda mmoja wa Mkenya ambaye alijiunga na freemasoni,anasema kwamba ni mbaya kwa mkristo kusoma nyota,kwani utabiri huo hutengwnezwa moja kwa moja kutoka katika nguvu za giza,na ikitokea ww ni mtu ambae unasoma kila mwez/siku nyota yako,basi wewe utakuwa unaendeshwa moja kwa moja na nguvu za giza,hiyo yote ni shetani kutaka kupata wafuasi wengi,na hiyo nyota ili iendane na wewe,wao hutumia hesabu tuu ili kujua kipi kinachofuata katika maisha yako na hivyo vitu katika hujirudiarudia kuringana na hesabu tu.na ili kupata mtiririko mzuri ndoo maana wanaitaka tarehe na mwezi uliozaliwa.Mwney Macho asome mwenye masikio aelewe.

Huyu jamaa nami nilimsikilza
ni kweli kuwa devil n his patners wamesom patern ya maisha ya watu kupitia majina na majira waliyo zaliwa. Pia wanaweza guide life yako kam ukiamin tu hiyo mititiriko na tabiri zao, sasa hapo utajikuta ukiteteresha iman yako na kuwa mfuasi wake indirectly

STOP HIZO HABARI NYOTA NA UTABIRI. JESUS ATOSHA.
MUNGU HUTUJALI NA KUTULINDA, AMIN HILO NA ISHU ACORDINGLY
 
Mengi nimesikia kuhusiana na nyota binafsi bado nko njia panda juu ya hili kutokana na maelezo yake kua watu hutofautiana nyota kulingana na mwezi na tarehe ya mtu kuzaliwa pia tabia ya mtu inatokana na nyota yake ilivyo hata kazi pia hutegemeana na nyota swali langu linakuja kwann iwe ivo inamaana ikitokea mtu nyota yake inamtaka afanye kazi ya aina fulan inabidi afanye hata kma haipend ilimrad tu nyota yake inasema ivo au hata kwenye masuala mazima ya mapenzi mtu itabidi achague yule anaye endana kwa kuangalia nyota ili aweze kudumu nae mbona kuna mambo unaweza ukafanya na ukaenza kudumu katika mapenzi.naomben mchango wenu juu ya hili

Mkuu asikudanganye mtu.
Hakuna nyota inauwezo wa kuongoza maisha ya mtu hatta siku moja.
Hizi ni Elimu za Kishirikina tu zisizo na ukweli hatta kidogo.
Watumia Nyota mara nyingi wanaachwa na watabiri kwenye vichwa vya habari tu.

Na mtu akiingia kwenye imani hizi za KISHIKINA za Kuamini Kuwa nyota yake ndio itakayo yaendesha maisha yake, basi ujua kiwa mtu huyo maisha yameshamshinda! Sasa anataka vya bwerere tu vya kutabiriwa.
Wachana na imani hii kabisa kwa usalama wa afya yako na familia yako.
 
Sure: This Kenyan has changed me too:in the past I used to read and keep all blah blah and documents relating to horoscope, but now i'm liberated. i never think in that way again.

Tunaongea lugha ya taifa hapa.
Usituletee nyodo za kujifaragua km vile utapata mume gafla!
We lzm ukose msimamo manake hujui lengo lako la kuwepo hapa duniani ni nini.
Siku ukigundua kuwa WEWE UMEKUJA DUNIANI KWA LENGO GANI ndipo utakapokuwa Liberated for Real.
 
MziziMkavu

Mkuu Elimu ya Falaq Waachie makafiri.
IMANI YAKO inalipiga marufuku kabisa suala hili la Elimu za Kufundisha watu Kuwa Nyota Husababisha Faida au hasara, shida au raha. N.k

Hii NI HARAMU KUBWA MNO!
Na Ni.SHIRKI ISIO SAMEHEKA.

Tumuogope Mungu kikweli kwani mauti hayako mbali.
 
Last edited by a moderator:
We lzm ukose msimamo manake hujui lengo lako la kuwepo hapa duniani ni nini.Siku ukigundua kuwa WEWE UMEKUJA DUNIANI KWA LENGO GANI ndipo utakapokuwa Liberated for Real.

Ya'll are deliberately doing sorcery claiming it is Allah who permitted. You may treat my words with all the contempt, but Satanism is not a symbolic of Godliness. Satan will never ever be your true guidance. No matter how accuracy you think She is... Satan will always be a Master deceiver and evil one and the Murderer.
To respect God
means we must respect His Word! Spiritual growth naturally results, as one becomes a product of the word (Tim. 4:13-15)

The doctrine which is according to godliness' signifies that which is consistent with `godliness,' in contrast to false teachings;(In 1Tim. 6:3 )

All Fortune tellers would want you to live by Stars, wearing rings of different gemstones be it rubby, agate, etc, so as to manipulate the world, and the truth cause.

Things like:
the best day to steal without getting caught, Get a beautiful woman, Cheating with a married woman, Stealing a husband,
attracting customers, making everyone fear you, make every one agrees with you. Win the election, and the things of the like.

But all of these things above cannot promise to a health society. but are still creating turmoil in the society.
Satan is not a substitute of God right doings. True God depends not of Satan assistance. By their fruits you shall know them. God's direction does not depend of Satan translation.Satan is not an angel sent by God to assist human in knowing their true self.
 
You worship Satan the Lucifier! The one in Vatican whom praises your Bumbum buddies! And he is a chairman of the biggest gay club in Vatican.!

I KNOW you are A member if it! But incase you forget the Address read here for more info!
http://m.huffpost.com/us/tag/vatican-gay-lobby
 
Bukhari:V7B71N643 "I heard the Prophet saying, ‘If anyone sees something he dislikes, he should blow three times on his left side and its evil will not harm him.'"Bukhari:V6B61N535"Whenever the Prophet became ill he used to blow his breath over his body hoping for its blessing." Bukhari:V6B61N536"When the Prophet went to bed he would cup his hands together and blow over them reciting surahs. He would then rub his hands over whatever parts of his body he could reach, starting with his head, face and frontal areas."

Exactly why Muhammad thinks he will be able to beat evil with what he called evil is beyond me. But I would not deny that Muhammad here confesses that he practices witchcraft since the implicit confession is obvious to all without an obvious bias.
 
You worship Satan the Lucifier! The one in Vatican whom praises your Bumbum buddies! And he is a chairman of the biggest gay club in Vatican.!

I KNOW you are A member if it! But incase you forget the Address read here for more info!
Breaking News and Opinion on The Huffington Post
wooo Mr. Sheytwain, i think your post has been expired. Look un-expired Ishmael quotation above..
Your worship to ka'aba and Muhammad beards, makes you think, we Christians worship Vatican. St. Peters is just a HQ. like any HQ of any organization in the world.

John 10:10 The thief cometh not, but for to steal, and to kill, and to destroy: I am (Jesus) come that they might have life, and that they might have it more abundantly.

I never new that SOME BIBLE PAGES HAS AN EXPIRY DATE!
Tell Cadinal Pengo to put a stamp on It.
Teh teh teh!

Tell me about this one too.
Is it expired as well?

WAS JESUS CRUCIFIED A CANNIBALISM?

"I also will do this unto you... You shall sow your seed in vain, for your enemies shall eat it." ---Leviticus 26:16

"And ye shall eat the flesh of your sons, and the flesh of your daughters shall ye eat." ---Leviticus 26:29

"And thou shalt eat the fruit of thine own body, the flesh of thy sons and of thy daughters." ---Deuteronomy 28:53

"And toward her young one that cometh out from between her feet, and toward her children which she shall bear: for she shall eat them." ---Deuteronomy 28:57

Why did your god commanded you to EAT HUMANS FLESH?
If He is NOT a Devil, who eats HUMAN flesh, what else could be?

And stop quoting yourself miss.
Cc. Ishmael
 
Last edited by a moderator:
wooo Mr. Sheytwain, i think your post has been expired. Look un-expired Ishmael quotation above..
Your worship to ka'aba and Muhammad beards, makes you think, we Christians worship Vatican. St. Peters is just a HQ. like any HQ of any organization in the world.

John 10:10 The thief cometh not, but for to steal, and to kill, and to destroy: I am (Jesus) come that they might have life, and that they might have it more abundantly.

Allah of Islam Swear on ZODIAC!!!!!!

Allah of Islam swear on Zodiac and is not greater than creation. Here is how!!!

"I swear by the daybreak, and By the ten nights (i.e. the first ten days of the month of Dhul-Hijjah), And by the even and the odd (of all the creations of Allah), And by the night when it departs. .."

Surah 89/1-4
(I swear by) the heaven and the Morning Star -....

Surah 86/1
Allah swears by - the steeds that run, with panting (breath),

Surah 100/1 etc
In other places in the quran, Allah swears by the Sun, the Moon and the Zodiac signs!

WHY does an all-powerful 'Allah' even need to 'swear' by his puny creation and the things that he had made??

IF Allah is GREATER than his created beings, it is ludicrous that He should actually make an oath (swear) by those things.

It shows that this Allah is actually not great and has to swear by things MUCH LESSER than himself! As all these suras show.

This is another incongruity and doubt about the Allah of the Quran, that such a 'god' has to stoop down and swear by finite and perishable things like horses, the moon, the dawn, the stars and other finite items of creation.

Why is Allah of Islam swearing on Zodiac?

If there is no superstition in Islam, then why does Allah swear on the zodiac?

Qur'an 85:1 "I swear by the Zodiacal Signs, woe to the makers of the pit of fire. Cursed were the people." Qur'an 85:5 "The Fire is supplied abundantly with fuel."
 
kahtaan

Why did your god commanded you to EAT HUMANS FLESH? If He is NOT a Devil, who eats HUMAN flesh, what else could be
?
"I also will do this unto you... You shall sow your seed in vain, for your enemies shall eat it." ---Leviticus 26:16

"And ye shall eat the flesh of your sons, and the flesh of your daughters shall ye eat." ---Leviticus 26:29
Leviticus 26: 14:But if ye will not hearken unto me, and will not do all these commandments;

Leviticus 26:18 And if ye will not yet for all this hearken unto me, then I will punish you seven times more for your sins.

Leviticus 26:40 If they shall confess their iniquity, and the iniquity of their fathers, with their trespass which they trespassed against me, and that also they have walked contrary unto me;

Leviticus 26:44 And yet for all that, when they be in the land of their enemies, I will not cast them away, neither will I abhor them, to destroy them utterly, and to break my covenant with them: for I am the LORD their God. 45 But I will for their sakes remember the covenant of their ancestors, whom I brought forth out of the land of Egypt in the sight of the heathen, that I might be their God: I am the LORD. 46 These are the statutes and judgments and laws, which the LORD made between him and the children of Israel in mount Sinai by the hand of Moses.

"And thou shalt eat the fruit of thine own body, the flesh of thy sons and of thy daughters." ---Deuteronomy 28:53

"And toward her young one that cometh out from between her feet, and toward her children which she shall bear: for she shall eat them." ---Deuteronomy 28:57

Deuteronomy 28:15:But it shall come to pass, if thou wilt not hearken unto the voice of the LORD thy God, to observe to do all his commandments and his statutes which I command thee this day; that all these curses shall come upon thee, and overtake thee:

WAS JESUS CRUCIFIED A CANNIBALISM?

Luke 9:
22 Saying, The Son of man must suffer many things, and be rejected of the elders and chief priests and scribes, and be slain, and be raised the third day.

Luke24:
6 He is not here, but is risen: remember how he spake unto you when he was yet in Galilee, 7 Saying, The Son of man must be delivered into the hands of sinful men, and be crucified, and the third day rise again.8 And they remembered his words,

Mathew 26:
24 The Son of man goeth as it is written of him: but woe unto that man by whom the Son of man is betrayed! it had been good for that man if he had not been born.
 
kahtaan thee:

[/COLOR]
Luke 9:
22 Saying, The Son of man must suffer many things, and be rejected of the elders and chief priests and scribes, and be slain, and be raised the third day.

Luke24:
6 He is not here, but is risen: remember how he spake unto you when he was yet in Galilee, 7 Saying, The Son of man must be delivered into the hands of sinful men, and be crucified, and the third day rise again.8 And they remembered his words,

Mathew 26:
24 The Son of man goeth as it is written of him: but woe unto that man by whom the Son of man is betrayed! it had been good for that man if he had not been born. [/SIZE][/FONT]

So The Same SON OF MAN you choose to call him God!

What kind of an educated folks are you?
 
Mimi huwa sifuatilii kabisa mambo ya nyota ila juzi nilipitia daily news nikasoma utabiri uliokiwa unanihusisha na mambo ya matumizi ya pesa, kwamba niwe muangalifu siku hiyo na nifikirie kabla ya kuamua kutumia pesa hasa kama itakuwa na effect kwa mtu mwingine, nikajifikiria mipango yangu ya siku nzima nikaona huu utabiri hata haunihusu. Ilipofika jioni nikapigiwa simu za michango ya harusi na watu waliokuwa na shida, mikopo wastani wa simu kama 6 hivi. Ndo nikakumbuka nilichokisoma asubuhi kuhusu nyota. Nyota zina maana Fulani katika maisha ya mtu
 
So The Same SON OF MAN you choose to call him God!What kind of an educated folks are you?
Simple: Adam was the first man who transgressed God orders. Jesus came to save humanity. This is the way to help dummies, to understand the essence of God'salvation to human kind.
 
Simple: Adam was the first man who transgressed God orders. Jesus came to save humanity. This is the way to help dummies, to understand the essence of God'salvation to human kind.

Teh teh teh!

So God couldn't save the humanity HE CREATED, he decided to send someone whom he loved to be KILLED so Brutally on the Cross so the Morron like you could go to paradise! Innit?

Teh teh teh! Galatian to use your head is soo much hard work.

is that God you talking about?

Or the whiteman god of yours who couldn't even rescue himself against the Jews and Romans!
 
IF YOU ARE A MUSLIM, PLEASE READ BELOW BIBLE VERSES!!!!

IF Surah 10:37 is true, then this would be true as well:
"Allah is the greatest of all
deceivers" Surah 3:54 (Arabic)
"And the
devil that deceived them" Revelation 20:10

One of the names given to Allah in Surah 59:23 is "the Most Proud" (al-mutakabbiru)

In the Bible Lucifer (Satan) was cast out of heaven because of his Pride: Isaiah 14:12-15, Ezekiel 28:13-19

The 99 names of Allah: 62 المميت Al-Mumit: The Bringer of Death, The Destroyer In the Bible, Satan is the Destroyer: 1 Corinthians 10:10 -

Good luck Muhammadans
 
Teh teh teh!

So God couldn't save the humanity HE CREATED, he decided to send someone whom he loved to be KILLED so Brutally on the Cross so the Morron like you could go to paradise! Innit?Teh teh teh! Galatian to use your head is soo much hard work.is that God you talking about? Or the whiteman god of yours who couldn't even rescue himself against the Jews and Romans!

Heaven not paradise!!
I can not blame a Novice like you, for not being able understand that core concept of Salvation
. Cramming and cherry picking the holy bible in order to mislead its theological interpretation, may not help you - You are doing devil work

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom