Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Sifahamu, tueleze sasa...

Sasa ya nini kuzunguka koote kule na kupoteza Wakati wetu buree!

Nakupongeza kwa kukubali kuwa HUFAHAMU MAANA YA UISLAMU kwa maana yake ya asili.

Sasa kaa mkao wa kula nikufundishe MAANA YA UISLAMU.

UISLAMU MAANA YAKE NI kujisalimisha kwa MUNGU MKUU PEKE YAKE (سبحانه وتعال&#1609😉 kwa kumpwekesha na kufuata maamrisho yake kwa utii na kuepukana na shirki ktk MAISHA YAKO YA KILA SIKU.

Kwa hivyo basi Kila kitu ktk Huu ulimwengu kinachoonekana na kisicho onekana kwa macho kilichojisalimisha kwa KUFUATA Amri zote za MUNGU MKUU kitu hicho au kiumbe hicho kinaitwa MUSLIM!

Na YEYOTE mwenye Kwenda KINYUME na AMRI za Mungu MMOJA Mungu Mkuu huyo anaitwa KAFIRI au MPINGAJI. na laana ya MUNGU uwe juu ya MAKAFIRI (wapingaji wa MUNGU MMOJA).

Haya sikuyasema Mimi!
Bali ni maneno ya MUNGU kupitia VITABU vyake vitukufu.

Kwa maana hii basi tunajifunza kuwa Paulo kwa kusema kwake MUNGU ni baba, mwana na roho 100% anakuwa KAFIRI!
Na yyt mwenye kusema Mungu ni mmoja kwa watatu ni KAFIRI 100%.
Na mwenye Kwenda Kinyume Na MAAMRISHO YA MUNGU MKUU huyo ni KAFIRI.

Nadhani utakuwa umefahamu kuwa UISLAMU sio NGUZO TANO TU! Bali Ni Mwenendo KAMILI WA MAISHA ya UTIIFU WA AMRI ZA MUNGU MKUU.
MUNGU MMOJA TU!

Mungu wa YESU na IBRAHIM na MUSAna MUHAMMAD (amani ya Mungu iwe juu yao wote hao mitume)
 
Punguza kuvuta weed, na jibu maswali kama unao ubavu au muite Allah wako aje hapa kama yupo hai akusaidie kujibu maswali. Pathetic muhammadan.

Now answer my questions:
If John the Baptist was a Muslim:
1. Why are you Muslims not baptized?
2. In whose name was he baptizing?

I need constructive answers and not muhammadic whining.

Unajua kafiri alishapigwa marufuku na kanisa KUFIKIRI ndio sababu unarudia swali la kipuuzi mara kwa mara.

Ntakujibu tena kwa mara ya kumi.

We kwa akili yako ilivyo ya kigalatia unadhani kubatizwa tu ndio ujanja!

Juu ya kuwa Yahya (john the babtized ( alikuwa MUISLAMU LKN aliabudu JUMAMOSI waislamu wa leo wanaabudu IJUMAA.

Kwa watu wa YAHYA (john the BAPTIST) kula nyama ya Ngamia au Sungura au mnyama Asiecheua ilikuwa HARAMU lkn Waislamu wa sasa wamehalalishiwa!

Kwa Watu wa yahya (john the babtist) kufanya kazi yyt JUMAMOSI ilikuwa Ni KOSA LA KUUAWA KABISA.
Lkn Waislamu wa leo Tunachapa kazi km kawaida.

Na watu wa YAHYA (JOHN THE BAPTIST) walikuwa wanabatizwa lkn Waislamu wa leo kubatizwa sio moja ya amri waliowekewa na Mungu MKUU!

NA kwa watu wa Yahya (John the Baptist) walikuwa wakiswali sala mara mbili kwa siku lkn waislamu wa leo wanasali sala TANO kila siku.

Na hayo yote aliyoyafanya YAHYA (A.S) ndio hayo hayo aliyofanya ISSA (a.s)
NA WOTE HAWA WANAMUABUDU MUNGU MMOJA TU.
Hajazaa wala kuzaliwa.

Na wala SIO MZUNGU na Wala hajasulubiwa km yule kafir wa kizungu kwenye msalaba!

UPO HAPO dada Max!
 
Hawanaga akili hao, hasa huyo mwenye ID ya Ishmael, ndio booya kabisaaa, nadhani virusi vya Kitimoto vimeua sensi zake.

Mkuu huyu Kafiri analipwa KUDANGANYA WATU!
Na bahati mbaya anaowapata ni hao Kondoo tu!

Anatapeli watu kwa majina tofauti lkn uharo anaotoa ni ule ule!

Anatangaza kuwa ana Kanisa kafungua kumbe kanyaboya tu!
Yote hio ni kukusanya hela za wafadhili wa Kigalatia!

Jamaa ukiona alivyo nenepa mashavu DODO utafkiri nyani kala ukwaju!
Kkkkkkkkk!

Yote hio ni michango ya haramu ndio inayo mnenepasha!

Jamaa ana tumbo kubwa jeusiiiii km Drum la oil! Makalio yake ni makubwa km Punda katoroshwa na mumewe!

Ha ha ha ha ha!

Yaani balaa mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Kkkkkkk!
Leo umekubali kuwa YESU ndie ISSA sio?

Ndio siku zote nikasema MAKAFIRI ni akili KUAMBIWA!

na huyu dadako Ishmael aone kuwa Nyie wote akili zenu zinafanana!

Sasa ilikuwaje huko juu akakataa kuwa YESU sio ISSA?
Au yeye tukimtaja YESU akili yake yoote inampeleka kwa yule Msela Wa msalabani mwenye NEPI kuuubwa!
Au Sio?
ha ha ha, kimsingi nilikataa Isa sio Yesu kwakuwa ninajua fika kwamba Yesu alikufa kama Koran yenu inavyoonyesha Isa alikufa lakini nyinyi mnakataa bila ushahidi kwamba hakufa.
nikajiuliza iweje injili ambayo muhammadi aliikubali hata akaiita ni nuru ishindwe kutoa mwangaza!?.
. Kumbuka Korani yenu imeshushwa na Allah. kama ambavyo alivyotushushia injili na torati yetu. ha ha ha
asa siwezi tena kukataa, ikiwa utakubaliana na mimi kwamba Yesu alikufa . Ama sivyo Korani ni kitabu cha Mungu wa Uongo.. kuanzia sasa...
Pia usiniite kafiri manake Koran inawataja wakristo kama wachamungu. au vipi???
 
Eiyer kama Musa alikuwa Muislamu, je alifuata zile nguzo tano za Uislamu!?
Wakristo sometimes mmekaa kama wale watoto wana nyonya danganya mtoto. Hivi wewe kama una akili sawa sawa utauliza hilo swali? Tatizo lako wewe hujafahamu mpaa leo mana ya neono Islam. Hilo neno mana yake wewe si chochote mbele ya Mungu. Unapo ongea kuhusu nguzo tano ndio kina Mussa walifata nguzo ya kwanza, ya pili ya tatu . Nguzo ya kwanza kuwa hakuna Mungu isipokuwa mmoja tu. Au walisema kuna miungu kama nyie wakristo Mungu baba na mungu mwana. Pia walifata nguzo ya kusimamisha salaa, pia walifata nguzo ya zakaa, na walifunga au uwongo. Katika tano wakifataa tatu wamefaulu au uwongo. We mkristo wapi katika hizo nguzo umefata hata moja tu huna kitu. Sa waislam wa wakati wa mtume Muhammad wao wamepata tano zote na sababu ya kuongezewa wa Ashahahudu Ana Muhammadan Rasul Lah. Hapo Mungu alikuwa anaonyesha wazi hakuta kuja tokea mtume mwingine zaidi ya Muhammad. Yani Mtume Muhammad ndio kiboko wao mitume, yani Khatim al ambiya wa Rusul. Yani Mtume wa mwisho hata kuja mtume mwingine wowote baada yake, na Qur'an imethibitisha hayo. Je Yesu alisema hakuna mtume mwingine atakuja zaidi yake au yeye ndio wa mwisho?
Kama wakristo mnaweza kusema Yesu alisema hakuta kuja mtume mwingine baada yake, leteni aya kutoka kwenye bibilia. Yesu alicho sema kuna mitume wa uwongo watazuka aliwakusudia kina Paulo. Na Mussa aliposema Bibilia itachafuliwa alijua atakuja Paulo. Kwanini Yesu na Mussa hawakusema itakuja Qur'an hivi walikuwa hawajui? Mtume Muhammad kaisha watambia hapo wakristo nani atakuja zaidi yake na hii hapa Aya kutoka kwenye Qur'an."Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the Apostle of God, and the Seal of the Prophets: and God has full knowledge of all things. (The Noble Quran, 33:40)" Yesu, akirudi na yeye lazima atasema Na kiri kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu, we kama utabahatika kumsikia lakini mpaa arudi wewe na wakristo nadhani makao yenu ni motoni tu. Sababu Mungu hasamehe kitu kinaitwa shiriki ,na shrike mana yake ni kumfananisha Mungu na kina Yesu au kiumbe chochote kila wala hakuna miungu lazima wajuwe kuna Mungu mmoja tu. Mungu hakuja kiumbile cha binadamu wala kimti wacheni kulewa gongo wakristo.
 
Ngoja n irudie inawezekana ukanielewa ....

Kwamujibu wa imani ya Kiislam mnaamini vitabu vinne

Quran ambayo amepewa Mtume Mohammad
Injil aliyopewa Isa
Zaburi aliyopewa Daudi
Taurat aliyopewa Musa

Kwa lugha nyepesi hivyo ni vitabu vinne ambavyo nyie mnaviamini na hakuna uhusiano kati ya kimoja na kingine yaani vipo separate ....

Sasa hapa wewe unaniambia kuwa nisome Quran nione injili ya Isa,hili linawezekanaje?
Iweje Injili iwe ndani ya Quran?

Kama injili imo ndani ya Qunan halafu hapo hapo Quran ni kitabu alichopewa mtume Mohammad,kivipi sasa?
Mtume alipewa kitabu kipi kama humo humo kwenye kitabu chake kuna kitabu cha mwingine?

Humo kwenye Quran kuna na habari za Musa na Daudi,kwanini?
Inakuwaje sasa hii iwe kama ilivyo wakati kitabu cha Quran ni kitabu cha mtu mwingine?

Ndio maana nikakuambia kuwa kama ni hivyo kwanini Quran isiitwe biblia?
Hakuna aliye sema Injili yote iko kwenye Qur'an wapi nimesema Injili yote iko ndani ya Qur'an. Nilichoongea mimi mafunzo ya Injili ya Yesu hayako mbali na Qur'an, yani utayapata ndani ya Qur'an. Sababu hivyo vitabu vine vimetoka kwa Mungu sawa. Yani mwalimu akiwa Yule yule masomo lazima yafanane, na njia ni ile ile au uwongo. Tatizo hio Injil mmeificha sa bora mrudie Qur'an ndio ilio baki kutoka kwa Mungu, umefahamu Kiswahili hapo. Lakini cha kushangaza nyie hamja mheshimu hata Prophet Mosses wakati Alisha waeleza msifate hio Bibilia, mana itaharibiwa yani alijua tu akiondoka Yesu. Atakuja Paulo kusema Yesu ni mungu, wakati hajawahi kusema hayo. Bora mrudie Qur'an sababu ndio kitabu pekee kilicho baki cha Mungu hakitaweza kuharibiwa, na wayahudi. Hivi we hujui kama shetani aliabudu miaka million bila dhambi, akaja gunduliwa ugonjwa wake kwenye moyo alicho kificha. Mungu ndio akamtegea pale kwa Adam chezea Mungu nyie. Mimi nauliza mnajua sababu gani Injili imefichwa au hamjui, sababu Yesu kasema Mtume Muhammad atakuja baada yake huo ndio ukweli.

As the Qur'an says in Surah Saff Chapter 61, Verse No. 6:

And remember Jesus the son of Mary said: "O Children of Israel! I am the Messenger of Allah (sent) to you confirming the Law (which came) before me and giving glad Tidings of a Messenger to come after me whose name shall be Ahmad." [Surah As-Saff 61:6]
Nevertheless I tell you the truth; It is expedient for you that I go away: for if I go not away, the Comforter will not come unto you; but if I depart, I will send him unto you. [Gospel of John 16:7]
Qur'an 41:53:"We will soon show them Our signs in the Universe and in their own souls"
 
NDIO MAANA NILIKWAMBIA, UNAANZA KUOGOPA MAPEMA HII

Kama ni kweli Allah aliteremsha Injil kwa Isa kabla ya hata Quran kushushwa, basi leo hii tuletee na au tuonyeshe wapi ilipo Injil ya Isa.

Sina muda na ayat za Qura na kusema kuwa ni Injili. I am better than that.

Mimi nataka Injil iliyoteremshwa kwa Isa kabla ya Quran.

Mimi nataka Taurat iliyo teremshwa kwa Musa kabla ya Quran.

Mimi nataka Zabri iliyo teremshwa kwa Doudi kabla ya Quran.

Let me make myself clear, SIITAJI NA WALA SINA MUDA WA KUSOMA AYAT ZA QURAN. Period.

SASA MSAIDIE ALLAH WAKO NA MTUME WAKE, wapi zilipo Injil, Taurat, na Zabri alizo ziteremsha kabla ya Quran.

UKINIONYESHA ZILIPO, leo hii mimi NITASILIMU NA KUWA MUISLAM.

Ukishindwa nionyesha wapi zilipo, BASI FAHAMU KUWA, UISLAM NI DINI FAKE NA QURAN NI KITABU BANDIA NA BOGUS.
 
Dogo nimesema baada ya Yesu kuondoka uislam ulipotezwa ndio mana yake, hata baba yake mtume Muhammad alipotezwa na kina Paulo wakawa wana abudu masanamu. Sa wewe nani kakuambia umuabudu bnadamu kama sio Paulo. Yesu alisema umuabudu yeye ni Mungu, Hebu leta andiko kama unaweza. Kuhusu jina la Yesu kwa kiarabu siyo kweli eti ni "Yasu" Waarabu wale wakristo jina "Yasu" ndilo jina walilolipokea kutoka kwa wale waliowapelekea Ukristo ulioanzishwa nje ya Uarabuni miaka mitatu baada ya Yesu au Nabii Issa kuondoka. Na ndilo jina waliloliingiza ndani ya Injili ya Kiarabu.

Kwa pointi hiyo, sababu hiyo (ya jina) bado haijamtofautisha Yesu na Issa. Lakini kama ilivyo kwa Yohana, Yahya au John, basi Issa na Yesu ni yule yule mmoja aliyezaliwa na Bikira Mariam (Qur'an 3:45 na Luka 1:26-31). Isitoshe, Qur'an Tukufu ilipoeleza kwamba Nabii Issa siyo Mungu (5:72), hakusulubiwa (4:157-158), na ametumwa kwa wana wa Israeli peke yao (3:49), Waarabu waliokuwa Wakristo hapo kabla walimfahamu kwamba huyo ndiye "Yesu sahihi" aliyekana "Uungu" katika Biblia pia (Marko 12:29-34) na ndiye aliyenusuriwa kuuawa kama ilivyoelezwa na Qur'an Tukufu na Biblia pia (Waebrania 5:7) na kweli katumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli peke yao (Mathayo 2:6 na 15:24). Sa we ni Myahudi au kondoo wa kiyahudi, jibu swali dogo hapo.
tatizo wewe unaongea bila facts..... paulo na yesu wapi na wapi?!. Mbona basi hambatizi ikiwa yohana mbatizaji alibatizwa, na yesu alibatizwa? haya mambo yanahusuje paulo?. Kitu gani paulo alikifanya ambacho yesu alikikataa.... na kitu gani muhammad anakifuata kulingana na mafundisho ya Yesu kuhusu Mungu na Mbingu?

Kumbuka haijatokea mahali yesu akawaalika mashetani wamwabudu mungu... Yesu siku zote alikemea na kukataa mashetani. Akahitimisha kwamba Shetani na malaika zake wamekwisha Hukumiwa sehemu yao Ni jehanum ya moto

Muhammad amechakachua kwa kuingiza mashetani katika ibada zake.. we huoni ili ni tatizo kubwa. Muhammad amekataa wokovu wa yesu msalabani.. na hii inampelekea yeye jehanam .. kwakuwa hatukupewa jina lingine lipasalo kuokolewa wanadamu ila jina la Yesu..
Muhammad ni mpinga kristo hili halina ubishi.. Hakuna shetani anayemwabudu mungu..Huu ni uwongo uliotungwa na shetani kuwadanganya watu.. Na Shetani ni baba wa Uongo. Eti shetani alishiriki kumuumba adam? you can't be serous!!

Muhammmad ni mpinga kristo ndio maana alisema Yesu si chochote ni nabii tu alikuwa akienda choo!!.. hata Petro aitwaye Cefa hakuwahi kujibu jibu la juu juu hivyo... NA Petro alipomwita yesu masihi akaambiwa si kwa nguvu zake. Iweje Muhammad aje achakachue Bibilia na kutunga koran na kusingizia imeshushwa. Imeshushwa na nani????

Watu wote waliobatizwa walipewa majina yenye ku-reflect majukumu yao ya kiroho. Hata Jina Yesu lilimaanisha majukumu ya kiroho. PAulo aliitwa Sauli na baadaye alipozaliwa upya akaiwa Paulo. YEsu alipowachagua mitume wake: walikuwa wanamajina yao akawaambia tangu sasa watakuwa wavuvi wa watu. akawapa majina mapya.
MAlaika ndiye aliyechagua Jina la Yesu: akiwa na maana. Sio jina lililotokana na maamuzi ya wanadamu. Jina ISa halina majukumu yoyote. ni "meaningless and ambigous name ". haiwezekani tu ukaja na jina meaningless ukasema ni jina la Yesu. We hujiulizi hata Muhammad mwenyewe ana jina lenye maana.

Angalia hizi tofauti nyingine.

I: Taarifa za Malaika kabla ya kuzaliwa kwao, kadiri ya Qurani na Biblia.

Jibrili alivyomtokea Mama wa Isa Alienda kwa Mariamu aliyekuwa msikitini Qurani 19:16-17 Saratul Mariam
Bibilia: Gabriel Alienda kwa Mariamu aliyekuwa Nyumbani kwake .Luka 1:26-28

2. Mariamu Mama wa Isa haijulikani aliishi kijiji gani wala mji gani wala hata nchi haijulikani. Isitoshe Qurani inasema kuwa Jibrili ndiye aliyemleta utume Muhammed asiwapelekee Mayahudi (hana kosa),Soma Qurani 2:97 Suratul Al-Baqarah

Bibilia: lakini Mariamu Mama yake Yesu alitokewa na malaika Gabrieli akiwa katika kijiji cha Nazareti mji wa Galilaya nchi ya Israel Luka 1:26
Mariamu Mama wa Yesu ni Myahudi.

2.Jibrili hakutoa salamu kwa Mariamu Mama wa Isa ila alijimithilisha kwa umbo la binadamu aliye kamili Qurani 19:7 Suratul Mariam
Bibilia: Malaika Gabrieli alimsalimia Mariamu Mama wa Yesu Luka 1:28.

3. Jibrili alimwambia Mariamu kwamba mimi ni mjumbe wa mola wako ili nikupe Mwana Mtakatifu Qurani 19:19 Suratul Mariam

Jibrili alisema kwa Mariamu kuwa ili tumfanye mtoto muujiza kwa wanadamu QuranI 19:21Suratul Mariam. Isitoshe Jibrili hakutaja jina la Mwana kwa Mariamu. Bali alisema ili nikupe Mwana Mtakatifu

Bibilia: Lakini malaika Gabrieli alimwambia Mama waYesu kuwa utachukua mimba Luka 1:31. Malaika Gabrieli alisema kwa Mariamu Mama wa Yesu kuwa mtoto jina lake utamwita Yesu Luka 1:31, 2:21 Gabrieli hakusema kuwa atampa Mwana Mariamu. Bali alisema Roho mtakatifu atakujilia juu yako, yaani mtoto atazaliwa kwa uwezo wa Mungu.

II: Tofauti za kuzaliwa:
Isa alizaliwa katika shina la mtende Qurani 19:23 Suratul Mariam. vs Yesu kazaliwa katika hori la kulishia ng'ombe Luka 2:7
Lakini Mariamu Mama wa Yesu siku zake za kuzaa zilitimia Luka 2:6-7

Qurani haionyeshi kama Isa alitabiriwa na manabii kuwa atazaliwa

Lakini Biblia inatuthibitishia kuwa manabii walitabili kuzaliwa kwa Yesu, Isaya 7:14, 9:6 utabili huu ulitolewa na Nabii Isaya miaka 750 kabla ya Yesu kuja kuzaliwa nao ulitimia Mathayo 1:18-23

Isa haijulikani alizaliwa katika kijiji gani wala mji, wala nchi aliyozaliwa Qurani haikueleza.
Biblia inatujulisha kuwa Yesu alizaliwa Bethelehemu ya Uyahudi katika Mji wa Daudi umbali wa maili 5 toka kusini mwa Yerusalemu nchi ya israel Tazama Luka 2:8-16. Kuzaliwa kwake mahali hapo pia ni kutimiza unabii uliotowe na Nabii Mika miaka 750-686 kabla ya kristo kuja wakati wa wafalme – hawa wakitawala – Jotham, Ahaz na Hezekia wafalme wa Yuda. Yesu mwenyewe alizaliwa kama mwaka wa 4 wakati wa Mfalme Herode Mkuu akitawala Yuda tangu

Isa aliongea na watu akiwa mtoto mchanga, na kusema kuwa yeye ni mja wa Mungu amepewa kitabu na amefanywa Nabii Qurani 19:30-33 Suratul Mariam.
Yesu hakuongea na mtu akiwa mtoto mchanga. Alianza kuwauliza maswali na kutoa majibu akiwa na wazee Hekaluni akiwa na miaka 12 Luka 2:42-49.

NDIO MAANA NILIKWAMBIA, UNAANZA KUOGOPA MAPEMA HII

Kama ni kweli Allah aliteremsha Injil kwa Isa kabla ya hata Quran kushushwa, basi leo hii tuletee na au tuonyeshe wapi ilipo Injil ya Isa.

Sina muda na ayat za Qura na kusema kuwa ni Injili. I am better than that.

Mimi nataka Injil iliyoteremshwa kwa Isa kabla ya Quran.

Mimi nataka Taurat iliyo teremshwa kwa Musa kabla ya Quran.

Mimi nataka Zabri iliyo teremshwa kwa Doudi kabla ya Quran.

Let me make myself clear, SIITAJI NA WALA SINA MUDA WA KUSOMA AYAT ZA QURAN. Period.

SASA MSAIDIE ALLAH WAKO NA MTUME WAKE, wapi zilipo Injil, Taurat, na Zabri alizo ziteremsha kabla ya Quran.

UKINIONYESHA ZILIPO, leo hii mimi NITASILIMU NA KUWA MUISLAM.

Ukishindwa nionyesha wapi zilipo, BASI FAHAMU KUWA, UISLAM NI DINI FAKE NA QURAN NI KITABU BANDIA NA BOGUS.
Sio lazima umpe mtu dawa ya Hospital unaweza kumtibu kwa mti shamba tu, shamba lenyewe liko kwake kabisa. Usiseme nimeweka Qur'an hapa. Nimechuma kwenye shamba lenu la wakristo wenyewe. Tazama dini gani ni fake.
Isaiah 65 & 66 declare Christianity to be a false religion!
"3They keep making me angry by sneering at me, while offering sacrifices to idols in gardens and burning incense to them on bricks. 4They spend their nights hiding in burial caves; they eat the meat of pigs, cooked in sauces made of stuff unfit to eat. 5And then they say to others, "Don't come near us! We're dedicated to God." Such people are like smoke, irritating my nose all day." (CEV Bible, Isaiah 65:3-5) Christians pray to Jesus and seek Jesus, a mere creation of GOD Almighty, for blessings, forgiveness, guidance and mercy. Yet, Isaiah 65:16 strictly prohibits this."17Some of you get yourselves ready and go to a garden to worship a foreign goddess. You eat the meat of pigs, lizards, and mice. But I, the LORD, will destroy you for this. 18I know everything you do and think! The time has now come to bring together the people of every language and nation and to show them my glory 19by proving what I can do. I will send the survivors to Tarshish, Pul, Lud, Meshech, Tubal, Javan, and to the distant islands. I will send them to announce my wonderful glory to nations that have never heard about me. 20They will bring your relatives from the nations as an offering to me, the LORD. They will come on horses, chariots, wagons, mules, and camels to Jerusalem, my holy mountain. It will be like the people of Israel bringing the right offering to my temple. 21I promise that some of them will be priests and others will be helpers in my temple. I, the LORD, have spoken. 22I also promise that you will always have descendants and will never be forgotten, just as the new heavens and the new earth that I create will last forever. 23On the first day of each month and on each Sabbath, everyone will worship me. I, the LORD, have spoken." (CEV Bible, Isaiah 66:17-23)
 
Jibu lako lililo-shindwa kutupa ushahidi wa wapi zilipo Injil, Taurat na Zabri alizo teremsha Allah ni kukiri na kukubali kuwa:

1. Allah hakuteremsha INJIL
2. Allah hakuteremsha TAURAT
3. Allah hakuteremsha ZABRI

Sasa, kwanini unafuata Allah na Muhammad ambao ni waongo wakutupwa na kusoma Quran iliyojaa shaka , uongo na chuki zisizo na maana?

Hakika Wanamacho lakini hawaoni na Wana Masikio lakini ni VIZIWI. HUU NI MSIBA KATIKA DINI YAKO DHAIF.
 
Mkuu hawa wanajua kupindisha mada ili wasipokee Kweli wakatubu wakaongoka na kuwa Huru. Wanaleta ubishi kwa kutumia hekima za kidunia ambazo ni Upumbavu mbele za Mungu. uKIWAFUATILIA hata namna yao ya kujadili tu, Dhamiri zao zinavyowaunguza. wengi wao utawajua tu. Kuwa hapa hakuna Mungu. Mti mwema wajulikana kwa matunda yake.

Hakika Shetani ni Mtu wa Hila sana. Wameuondoa ufunguo wa Maarifa kwa wengine lakini wenyewe hawaingii ndani.

Binafsi nakubali kwa asilimia 100% Pale yesu aliposema Tangu mwanzo shetani ni Muuaji na baba wa Uongo.
Wengi wao Wako tayari kutetea Uongo kwa maneno yaHila, wakisema "imeandikwa" kama ambavyo shetani alipomjaribu yesu alimwambia imeandikwa vilevile.
Hata Adam na Eva walipojaribiwa Shetani alicheza na neno "ETi" akimaanisha Kupingana na Neno la mungu alilowaonya wasile tunda.

Nimewapa andiko pale kuwaonyesha jina Yesu limetokana na maagizo ya malaika wa Mungu: Hivyo ni Jina Kuu. Wao wanakuja na jina ISa, kwa madai ni yuleyule.. Hilo jina Isa sio" anointed name" nawasi wasi jina ISa limetolewa na majini?

Mungu alipanda ngano halisi shambani, Mwovu shetani akaotesha magugu katika shamba hilo. Bwana Mungu akasema yaacheni magugu yaote pamoja na ngano.
Yesu alipanda wokovu kupitia kifo cha Msalaba ukawa wokovu kwa wanadamu wote ulimwenguni: akaja mtu mmoja anaitwa Muhammad asiyetahiriwa yeye wala ukoo wa baba yake akapanda magugu ili watu wasione Kweli. Akatumia Nguvu kuzuia watu wasijifunze kwa uhuru, NA akatoa Tangazo atakaye acha dini atauwawa. Ili kila mtu ajifunge kwenye nira ya Koran. Huwa najiuliza sana: Iweje Jibrili amwambie mwamadi andika wakati anajua mwamadi hajui kusoma wala kuandika? KWanini Jibrili hakujua kwamba Muhammadi hajui kusoma wala kuandika?

Na Lazima tukubali Roho ya Mpinga Kristo ipo na kama wanavyosema itatawala dunia na kuua watu wengi sana. Binafsi sioni tofauti kati ya hili na ambition zao za kutawala dunia na wanavyoua watu huko Iraq. Huu ni zaidi ya Msiba, Hili Ni Janga. Linahitaji kukesha katika maombi.

Hii ndio booya weye Kafir wa Mifirist.

Surah Al Kahf 86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
Eti wanasema kitabu kimeshushwa....
 
nyota (falaki), ramli na uganga ni machukizo kwa Mungu.

Mambo hayo yote ni kujihusisha na ibada ya miungu mingine.

Mtafute Mungu pekee, yeye ndiye anayejua future yako 100%. kwa kuwa yeye ndiye aliyekuumba.

Hili Neno katika maneno. Nakushauri fuata hili
 
ha ha ha, kimsingi [COLOR=#000080 nilikataa Isa sio Yesu kwakuwa ninajua fika kwamba Yesu alikufa kama Koran yenu inavyoonyesha Isa alikufa vipi???[/COLOR] lakini nyinyi mnakataa bila ushahidi kwamba hakufa.
nikajiuliza iweje injili ambayo muhammadi aliikubali hata akaiita ni nuru ishindwe kutoa mwangaza!?.
. Kumbuka Korani yenu imeshushwa na Allah. kama ambavyo alivyotushushia injili na torati yetu. ha ha ha
asa siwezi tena kukataa, ikiwa utakubaliana na mimi kwamba Yesu alikufa . Ama sivyo Korani ni kitabu cha Mungu wa Uongo.. kuanzia sasa...
Pia usiniite kafiri manake Koran inawataja wakristo kama wachamungu. au vipi???

Makafiri UONGO ni Moja Ya IBADA ZENU KUBWA KABISA.
Ukinionyesha SEHEMU YYT katika QURAAN inayosema kuwa ISSA Alikufa basi namimi ntaanza Kuabudu SANAMU LA MZUNGU KAMA wewe na wazee wako!

QURAAN INASEMA WAZI ktk
QURAAN 4:157 KUWA;-

"Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.
Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

QURAAN inasema wazi kabisa Kuwa "HAWAKUMUUA Masih ISSA MWANA WA MARIAM wala HAWAKUMSULUBU"...!

Kafiri asie na Haya ni mbaya kuliko simba mgonjwa!

Unasema UONGO wazi wazi Huku unajichekesha Km Umetekenywa na msalaba!

Sasa Na wewe Nionyeshe hicho kipande Ktk QURAAN kinachosema Kuwa ISSA Aliuawa!

Elimu huna!

Maarifa ya Kujadili Huna!

Ukijuacho wewe ni kunywa Uharo wa wanyama Uliochanganywa na damu kule kwenu Moshi!. Baaaas!

Na Kusema UONGO bila aibu!

Ngoja Wapambe wako waje wakuone unavyoadhirika hapa!

Cc paroko mpenda makalio makubwa Eiyer
Mkuu wa shule isiojulikana Mkuu wa chuo
Dada mwenye waume wengi mwenye shavu ka Kikapu Ishmael.

Na kwa taarifa yako HAO WAKRISTO waliotajwa ktk QURAAN sio nyie HATTA SIKU MOJA!

UKRISTO nyie HAMNA!

Nyie ni Waabudu MASANAMU na Waabudu MTU! Na Kwa mujibu wa Bibilia mwenye kufanya hivyo NI SHETANI.

MKRISTO WA KWELI anaabudu MUNGU MMOJA TU! Ambae hana sifa ya Kuskia njaa wala Kupigwa mpaka akafa!
 
Last edited by a moderator:
Jibu lako lililo-shindwa kutupa ushahidi wa wapi zilipo na Zabr

3. Allah hakuteremsha ZABRI

Sasa, kwanini unafuata Allah na Muhammad ambao ni waongo wakutupwa na kusoma Quran iliyojaa shaka , uongo na chuki zisizo na maana?

Hakika Wanamacho lakini hawaoni na Wana Masikio lakini ni VIZIWI. HUU NI MSIBA KATIKA DINI YAKO DHAIF.

Lugha za watu zitakudhiri wewe mnywa uharo wa mbuzi!

ZABRI maana yake ni DUSHELELE!
Au Uume.

Sasa km unahitaji Uterenshiwe DUSHELELE huna haja ya kupiga kelele.
We tuma PM tu kwa Padri Kakende Atakupatia tu!
Manake jina lake ni kiungo ambacho haliko mbali na hicho UNACHOKITAKA!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna aliye sema Injili yote iko kwenye Qur'an wapi nimesema Injili yote iko ndani ya Qur'an. Nilichoongea mimi mafunzo ya Injili ya Yesu hayako mbali na Qur'an, yani utayapata ndani ya Qur'an. Sababu hivyo vitabu vine vimetoka kwa Mungu sawa. Yani mwalimu akiwa Yule yule masomo lazima yafanane, na njia ni ile ile au uwongo. Tatizo hio Injil mmeificha sa bora mrudie Qur'an ndio ilio baki kutoka kwa Mungu, umefahamu Kiswahili hapo. Lakini cha kushangaza nyie hamja mheshimu hata Prophet Mosses wakati Alisha waeleza msifate hio Bibilia, mana itaharibiwa yani alijua tu akiondoka Yesu. Atakuja Paulo kusema Yesu ni mungu, wakati hajawahi kusema hayo. Bora mrudie Qur'an sababu ndio kitabu pekee kilicho baki cha Mungu hakitaweza kuharibiwa, na wayahudi. Hivi we hujui kama shetani aliabudu miaka million bila dhambi, akaja gunduliwa ugonjwa wake kwenye moyo alicho kificha. Mungu ndio akamtegea pale kwa Adam chezea Mungu nyie. Mimi nauliza mnajua sababu gani Injili imefichwa au hamjui, sababu Yesu kasema Mtume Muhammad atakuja baada yake huo ndio ukweli.

As the Qur’an says in Surah Saff Chapter 61, Verse No. 6:

And remember Jesus the son of Mary said: “O Children of Israel! I am the Messenger of Allah (sent) to you confirming the Law (which came) before me and giving glad Tidings of a Messenger to come after me whose name shall be Ahmad.” [Surah As-Saff 61:6]
Nevertheless I tell you the truth; It is expedient for you that I go away: for if I go not away, the Comforter will not come unto you; but if I depart, I will send him unto you. [Gospel of John 16:7]
Qur'an 41:53:"We will soon show them Our signs in the Universe and in their own souls"
Hiki hapa chini ndicho ulichokisema ....

Unakataa maneno yako mwenyewe?

Au kwenye Quran kuna kipande tu cha injili?
Kama kuna injili kwenye Quran,ni kwanini imo humo?

Je hiyo bado ni Quran?
Ipo ndani ya Qur'an we kaisome Qur'an vizuri itaifumo humo humo imetulia. Lakini ukisoma Bibilia za kina Mathayo, John, Luka na Marko, mtakuwa mnapoteza wakati wenu bure.
 
Makafiri UONGO ni Moja Ya IBADA ZENU KUBWA KABISA.
Ukinionyesha SEHEMU YYT katika QURAAN inayosema kuwa ISSA Alikufa basi namimi ntaanza Kuabudu SANAMU LA MZUNGU KAMA wewe na wazee wako!

QURAAN INASEMA WAZI ktk
QURAAN 4:157 KUWA;-

"Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.
Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

QURAAN inasema wazi kabisa Kuwa "HAWAKUMUUA Masih ISSA MWANA WA MARIAM wala HAWAKUMSULUBU"...!

Kafiri asie na Haya ni mbaya kuliko simba mgonjwa!

Unasema UONGO wazi wazi Huku unajichekesha Km Umetekenywa na msalaba!

Sasa Na wewe Nionyeshe hicho kipande Ktk QURAAN kinachosema Kuwa ISSA Aliuawa!

Elimu huna!

Maarifa ya Kujadili Huna!

Ukijuacho wewe ni kunywa Uharo wa wanyama Uliochanganywa na damu kule kwenu Moshi!. Baaaas!

Na Kusema UONGO bila aibu!

Ngoja Wapambe wako waje wakuone unavyoadhirika hapa!

Cc paroko mpenda makalio makubwa Eiyer
Mkuu wa shule isiojulikana Mkuu wa chuo
Dada mwenye waume wengi mwenye shavu ka Kikapu Ishmael.

Na kwa taarifa yako HAO WAKRISTO waliotajwa ktk QURAAN sio nyie HATTA SIKU MOJA!

UKRISTO nyie HAMNA!

Nyie ni Waabudu MASANAMU na Waabudu MTU! Na Kwa mujibu wa Bibilia mwenye kufanya hivyo NI SHETANI.

MKRISTO WA KWELI anaabudu MUNGU MMOJA TU! Ambae hana sifa ya Kuskia njaa wala Kupigwa mpaka akafa!
Qurani 5;75 Suratul Al Maidah (Meza)
Masihi bin Maryamu "si chochote ila mtume (tu)." (Na) bila shaka mitume wengi wamepita kabla yake (Hawajaona?) na mamake ni mwanamke mkweli (na) wote wawili walikuwa wakila chakula (na kwenda choo. Basi waungu gani wanaokula na kwenda choo?) Tazama jinsi tunavyo wabainishia aya, kisha tazama jinsi wanavyogeuzwa (kuacha haki).
Hapa tunaona Qurani inasimulia kuwa masihi Isa si chochote ila mtume tu.Hivyo hana Mamlaka.

(Koran ni kitabu pekee kinachomtusi yesu na mama yake, haijapata kutokea: si Abrahimu, Daudi, Musa, Isaya wala Yohana wala mitume awaye yote waliowahi kutoa kauli chafu dhidi ya yesu namna hii, tena ukichukulia Yesu hakuwa na dhambi hata moja, hajauwa mtu, wala kubeba watumwa wala kubaka watoto wala kuwala romansi watoto.!! Hata mkuu wetu wa nchi ambaye ni mwenye dhambi kwakuwa ni binadamu kama sisi ,hatuwezi kuthubutu kumtolea kauli chafu kama hizi tukilenga kumkosoa kisha tukachapisha kitabu tukakiita kitabu hicho "kitukufu" - heshima sifuri kabisa . Yaani Muhammad anayo guts yakumjadili Yesu na mamayake kwa kumtusi na kum-undermine kiasi hiki?!!!Yaani huwa najiuliza Yesu akisoma hiki kitabu huko mbinguni anajiskiaje?!! anyway tuyaache)

Jambo moja lenye kuleta utata miongoni mwa waislamu ni kuhusu kufa kwa Isa .
Waislamu wa jumuiya ya Ahamadia wao wana amini kuwa Isa alikufa. lakini waislamu wa madhehebu ya Suni,Shia,Shafi, na mengineyo wanaamini kuwa Isa bin Maryamu hajakufa wakinukuu aya hii…

Qurani 4:157-158 Suratul An-Nisaa (Wanawake)

Na kwa (ajili ya )kusema kwao sisi tumemuua masihi Isa mwana wa Maryamu, mtume wa Mungu. Hali hawakumuua wala hawakumsulubu bali walibabaishiwa (mtu mwingine wakamdhani nabii Isa.) Na kwa hakika wale waliokhitalifiana katika (hakika)hiyo (ya kumuua nabii Isa) wamo katika shaka nalo (jambo hilo kusema kauwawa]. Wao (kabisa) hawana yakini juu ya (jambo)hili (la kuwa kweli wamemuua nabii isa) isipokuwa wanafuata dhana tu.Na kwa yakini hawakumuua. Bali mwenyenzi Mungu alimnyanyua kwake. Na mwenyenzi Mungu ni mwenye nguvu (na)mwenye hikima.

Aya hii inasimulia kuwa Isa hawakumuua wala hawakumsulubu lakini ukianza kusoma aya ya

Qurani 4:156 Suratul AnNisaa (Wanawake]
Na kwa sababu ya kufukuru zao na kumzingizia Maryamu uwongo mkubwa (kuwa kamzaa nabii Isa kwa kuzini)
Hiki ni kisa cha kuhusu kuzaliwa kwa Isa, yaani dhama za utotoni ndio maana aya zinazofuatia zinasema hawakumua. lakini tukiendelea kusoma aya nyingine inasimulia hivi.

Qurani 21:7-8 Suratul Al Anbiyaa (Manabii)

Hatukuwatuma (hatuwapa utume) kabla yako ila wanaume (wa kibinadamu, si malaika) tiliowafunulia (tuliowaletea wahyi). Basi waulizeni wenye kumbukumbu (ya mambo ya zamani) ikiwa nyinyi hamjui. Wala hatukuwajalia (hao mitume kuwa] miili isiyo kula chakula, wala hawakuwa wenye kukaa milele(wasife).

Qurani 21:34 Suratul Al Anbiyaa

Nasi hatukumfanya mwanadamu yeyote kabla yako aishi milele.Basi ukifa wewe, wao wataishi milele?
Aidha Qurani inasema mitume waliokuja na hoja zilizo wazi wazi waliuwa Qurani 3:183 kadiri ya Qurani hiyo hiyo Isa alikuja na hoja waziwazi tazama Qurani 5:110

Isa mwenyewe alitabiri mambo makuu matatu haya...

Qurani 19:33 Suratul maryamu
Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa na siku nitakayo kufa na siku nitakayofufuka kuwa hai.

Tukumbuke kwamba Yohana alitabiri kufa akafa, kwa maneno haya haya..

surat maryam; yohana a.k.a yahya alijitabiria kifo na akafa. .

15. Na amani iwe juu yake siku ya kuzaliwa, na siku ya kufa, na siku ya kufufuliwa
19_15.gif

Na ikiwa Koran inasema ISA si chochote ni mtume kama wengine... na Ikiwa unakubaliana na utabiri wa verse hii ya 15 ya kuhusu kifo cha Yohana..., iweje ukatae verse hii ya 33 Yesu ya kuhusu kufa kwa yesu.

surati hiyo hiyo 33: yesu akajitabiria kifo...
33. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai.
Koran itakuwa kitabu cha uwongo ikiwa utabiri huu wa Yesu utapuuzwa na kuchukuliwa wa Yohana tu. kwani haya ni maneno ya Yesu sio ya kusemewa kama yala ile verse pale juu..ya 157

Swali Je, Isa ni mwanadamu au la? Na je, ikiwa ndivyo aliishi kabla ya Muhammad au baada ya Muhammad? Vyovyote ilivyo iwe Isa amekufa au hakufa bado Isa siyo Yesu.

Eti wanasema kitabu kimeshushwa....
Mbona waandishi wake wanafahamika na wapi walikopia. Au Allah siku hizi ana Computer na kuchapisha vitabu? Sasa Allah anafanya kazi au anatumia Secretary kuchapa Quran? Huu ni msiba kwa Muhammadans.

Mkuu, unawanyima sana usingizi hawa Muhammadans.
 
Hiki hapa chini ndicho ulichokisema ....

Unakataa maneno yako mwenyewe?

Au kwenye Quran kuna kipande tu cha injili?
Kama kuna injili kwenye Quran,ni kwanini imo humo?

Je hiyo bado ni Quran?

Mkuu umeamua kukata nyasi kwa Buldoza, safi sana Mtumishi.
 
Qurani 5;75 Suratul Al Maidah (Meza)
Masihi bin Maryamu "si chochote ila mtume (tu)." (Na) bila shaka mitume wengi wamepita kabla yake (Hawajaona?) na mamake ni mwanamke mkweli (na) wote wawili walikuwa wakila chakula (na kwenda choo. Basi waungu gani wanaokula na kwenda choo?) Tazama jinsi tunavyo wabainishia aya, kisha tazama jinsi wanavyogeuzwa (kuacha haki).
Hapa tunaona Qurani inasimulia kuwa masihi Isa si chochote ila mtume tu.Hivyo hana Mamlaka.

LEO TUTAMTAZAMA BWANA YESU NA MUHAMAD NI NANI MWENYE MATUMAINI YENYE UHAKIKA KATI YOA

Tutapitia kauli zao walizozisema wakiwa Duniani, na kila mmoja atahukumu ni yupi mbora wa kufwata kati ya Bwana Yesu na Muhamad.

BWANA YESU ANASEMA

Yohana 8:12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Yohana 10:9 Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
Yohana 10:11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
Yohana 10:14 Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi;
Yohana 11:25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 6:40 Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
Yohana 8:14 Yesu akajibu, akawaambia, Mimi ningawa ninajishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu ndio kweli; kwa sababu najua nilikotoka na niendako; lakini ninyi hamjui nilikotoka wala niendako.
Yohana 14: 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.3 Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo. 4 Nami niendako mwaijua njia.
Ufunuo 1:17… Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,18 na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.

MUHAMAD ANASEMA
Q 46:9. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
Q19:71. Wala hakuna yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia(hiyo Jehanam). Ni wajibu wa Mola wako uliokwisha hukumiwa.
Na ktk Sahihi Al-Bukhari IV, Hadith Na. 728, na VI, Hadith Na. 294. Muhamad anasema Eeh ndugu zangu Abdul Manaf, Abbas bin Abdul bin Mutalib, Safiyyah(shangazi) na binti yangu Fatima mimi sina uwezo wa kuwaokoa dhidi ya ghazabu ya Mungu.
Q 10:102. Basi, je! Wanangojea jingine ila (kuwajia) mfano wa siku za (adhabu zilizowafika) watu walio pita kabla yao? Basi Ngojeni! Mimi pia ni pamoja nanyi katika wanao ngojea.
Fafanuzi yake: Ukimwone mwenzio amenyolewa kwa jambo hilo hilo unalolifanya, basi kitie maji upesi kichwa chako kwani na wewe utanyolewa km alivyonyolewa.

Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
"Mwenye kubadili dini yake (ya kiislamu, muueni" (A) Bhukari 6922, Abu Dawuwd 4329, At - Tirmidhiy 1483
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu. "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", by Ibn Sad, , ukurasa wa 225

Ndugu msomaji(Mkristo na Mwislam) tukiacha yote ni nani hapo anamatumaini ya uhakika ya kumfuata kati ya Bwana Yesu na Muhamad????.

Bwana Yesu apewe sifa.

Hapo chini kuna picha ya kaburi alilozikiwa Yesu na liko tupu maana Yesu alifufuka na linafuata ni kaburi la Muhamad ambalo mpk leo yumo humo akiwa fuvu, na ktk kaburi hilo waislam wanaendaga kuhiji na kuomba dua na kumsalia muhamad.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom