Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Sifahamu, tueleze sasa...
Sasa ya nini kuzunguka koote kule na kupoteza Wakati wetu buree!
Nakupongeza kwa kukubali kuwa HUFAHAMU MAANA YA UISLAMU kwa maana yake ya asili.
Sasa kaa mkao wa kula nikufundishe MAANA YA UISLAMU.
UISLAMU MAANA YAKE NI kujisalimisha kwa MUNGU MKUU PEKE YAKE (سبحانه وتعالى😉 kwa kumpwekesha na kufuata maamrisho yake kwa utii na kuepukana na shirki ktk MAISHA YAKO YA KILA SIKU.
Kwa hivyo basi Kila kitu ktk Huu ulimwengu kinachoonekana na kisicho onekana kwa macho kilichojisalimisha kwa KUFUATA Amri zote za MUNGU MKUU kitu hicho au kiumbe hicho kinaitwa MUSLIM!
Na YEYOTE mwenye Kwenda KINYUME na AMRI za Mungu MMOJA Mungu Mkuu huyo anaitwa KAFIRI au MPINGAJI. na laana ya MUNGU uwe juu ya MAKAFIRI (wapingaji wa MUNGU MMOJA).
Haya sikuyasema Mimi!
Bali ni maneno ya MUNGU kupitia VITABU vyake vitukufu.
Kwa maana hii basi tunajifunza kuwa Paulo kwa kusema kwake MUNGU ni baba, mwana na roho 100% anakuwa KAFIRI!
Na yyt mwenye kusema Mungu ni mmoja kwa watatu ni KAFIRI 100%.
Na mwenye Kwenda Kinyume Na MAAMRISHO YA MUNGU MKUU huyo ni KAFIRI.
Nadhani utakuwa umefahamu kuwa UISLAMU sio NGUZO TANO TU! Bali Ni Mwenendo KAMILI WA MAISHA ya UTIIFU WA AMRI ZA MUNGU MKUU.
MUNGU MMOJA TU!
Mungu wa YESU na IBRAHIM na MUSAna MUHAMMAD (amani ya Mungu iwe juu yao wote hao mitume)

