Maisha yetu ni mafupi sana

mkuu hayo ni maneno yakukata tamaa kuna wengne furaha yetu ni kutafuta pesa na kusaidia wengne , mimi mtu akishiba kupitia mimi nasikia raha mno , lazima tusizake usku na mchana kutimiza furaha zetu.
Naam, nakubali
 
Ukielewa hili somo hutojenga chuki na mtu

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Nilivyoona nimechelewa kuoa,ilibidi ni_limit idadi ya watoto,nikazaa watatu.Wa mwisho ana miaka sita.kila nikiwaza kuwaacha kabla hawajaweza kujitegemea nachoka.Mungu atuhurumie tu na kutuongezea miaka walau watoto wakue.[emoji15]
 
Hakika🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…