Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Naam, nakubalimkuu hayo ni maneno yakukata tamaa kuna wengne furaha yetu ni kutafuta pesa na kusaidia wengne , mimi mtu akishiba kupitia mimi nasikia raha mno , lazima tusizake usku na mchana kutimiza furaha zetu.