Maishani kamwe siwezi kufanya mambo haya, wewe ni mambo yapi huwezi kufanya?

Basi wewe ni Malaika asilimia mia mbili ndugu
 
never say never
 
Ukikuwa utaelewa nn maana halisi ya maishà .na maishà hayakupi unachotaka ila yakupa unacho staili ..,.NAJUA utanielewa Kwa ss ndugu ila rafiki wakwel n mudaa...
 
Bado mnafikiriaga duniani kuna dhambi!
Mm km mm najuaga Dunia aina dhambi màana maandiko yanasema YESU aliondoka na dhambi zetu zote au mm ndio sijaelewa maandiko mkuu,,,maana tunayoambiwa Kwenye maandiko vyotee ndivyo tunavoishi na tulishasamehewaa pale msalabanii,,,ndio maana walioijua kweli wanatuburuzaa[emoji23]
 
Hujafa hujaumbika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…