Maiti kutia mimba inakuwaje?

Maiti kutia mimba inakuwaje?

mmh kwahyo kazi yake kusex na maiti tu ila sawa mekupata mkuu ila kuna hichi kitu kizuri umekiongea kwamb....wakat mwengine utumia sex kumzindua kwa kunasababisha mzunguko mkubwa wa dam na kupelekea ubongo kureact na mpka ukiwa active ujuevhuy mtu ajafa sasa hao wamekufa na kafanya mapenzi......je matendo yote yamepata permision kwa ubongo gan mkuu
Inawezekana alikuwa aja ndei well, akawahishwa hospital akiwa bado yupo moto hajapowa, sasa basi mchunguzi huyo dada wa maabara akatumia mbinu zote alizofundishwa kama kutumia hiyo pasi ya kushtulia wagonjwa, oxygen n.k hazikufanya kazi basi akijaribu kufanya vipimo tena akakuta Kuna heartbeat zinasikika kwa mbali (alitumia mashine maybe kupima) sasa basi yeye kama muuguzi aliye kitengo cha uchunguzi hawezi kumuacha mgonjwa andei mbele yake basi kinachofuata ni kujiongeza kwa mbinu nyingine kama hiyo, wakati mwingine kama ni mchawi au mganga wa kienyeji anaweza apply hiyo kitu na kama unavyojua wazungu wanapenda kujenga CV zao hasa.
 
hahaha...mybe ila sijaridhka mkuu kwa majibu hayo marahisi
 
Kama hilo jambo ni la kitaaluma, kwanini iwe kesi wakati ilikuwa ni njia ya kuokoa maisha ya mtu?

Mkuu, achana na hizi story, kuna mengi nyuma ya pazia juu ya hizi story.
Kufanya mapenzi na maiti sio jambo la kitaaluma Ila ni katika Hali ya kupambana kumuokoa mgonjwa na kujenga CV yake kama daktari huwezi jua ZAWADI kubwa ambayo angewza kupata, ni kama kujifanya kumuokoa demu wako mbele ya jamaa baunsa anapomtongoza mbele yako, hata mkanda au jiwe unaweza kutumia!
 
😀😀😀 ila bado mkuu ujajib kitaalmu zaidi
 
sio kila kitu mshana weweee....haya maswala ya kitaalam (kisayansi) sasa mshana wa nn???[emoji849]
Hapo kuna usayansi gani? How comes maiti aejaculate then mwanamke aliyesex nae apate mimba. Maiti inadinda?

Labda kama mtoa mada awe ametoa mada kuumaanisha kitu kingine lakini kama ndio hiki bora mshana aje tu.
 
ndivo ivo mkuu maiti kudinda na kusex had kutoa mbegu kumpa ujauzito
 
kinachotuchanganya hapa ni tafsiri ya mapenzi afrika na tafsiri ya mapenzi lilipotokea tukio.

kwa wenzetu kuuchezea mwili wa mwenzio pia ni mapenzi.
yawezekana alikuwa akiuchezea mwili wa marehemu ikiwa ni pamoja hata na kujichua kupitia uume uliolala katika kufanya hivyo bahati mbaya kumbe kuna mbegu za kiume maana huwezi jua kabla ya mauti kumfika mtu katoka kufanya nini na mbegu kama bado hazijafa zikiingia kwenye uke na mwanamke awe kwenye siku za hatari mimba inatungwa binafsi sio kitu kinachofikirisha hapo japo mimi si daktari.
 
Kazi ya maabara ni uchunguzi wa kisayansi, nae kajiongeza kufanya uchunguzi kwa njia hiyo kama alivyo agizwa...

What happened is that...
"alikuwa akitumia hiyo njia yake na kwamba mtu haitakiwa kuwekwa kwenye jokofu hadi Muda fulani upite na baada ya kuthibitisha (rejea story za mtu kufufuka anakuwa bado hajandei well au alizimia tu.) so inawezakana alikuwa hajapoa na alipimwa kuona mapigo yake ya moyo yapo vip, akijaribu kumshtua na pasi au shot lakini wapi, lakini njia mbadala ni kufanya ngono kwani huongeza spidi ya mzunguko wa damu na kufikia katika moyo na damu kuweza kwenda kuamsha ubongo na kureact fast kwamba intimacy imifika hivo mgonjwa ku ejaculate na kuweza kufa kwa sababu anakuwa hawezi kuhimili mapigo mkubwa ya moyo kwa kuwa blood pressure ilikuwa juu. Japo kwa bahati mbaya njia hii inaweza kumumaliza mgonjwa kabisa hivyo basi taarifa inayokuja kutoka ni kwamba alifanya mapenzi au alitiwa mimba na maiti "

Njia zote za kushitua mgonjwa toka usingizini zikishindikana tumia hiyo. Kama wakike tumia vidole tu.

Kwa mini wanaume msitumie mikono?
 
Kwa mini wanaume msitumie mikono?
Wanawake hupata joto haraka sana ndio maana unaweza tumia hata vidole Ila wanaume huchukua Muda mrefu yaani inatakiwa afungiwe kwenye chumba apate kitu natural ili kuvuta damu sehemu Ile izunguke faster..

Man's not hot_[emoji91]
 
[emoji23] [emoji23] ume quite vibaya mkuu hakuna sehemu mtu yoyote aliyesema kuwa mapigi ya moyo yalisababisha maiti kumwaga hapana ni kuwa huyo mtu alikufa lakini akiwa ameshamwaga hivyo kuna mbegu chache ambazo huwa zinabaki kwenye mrija urethra na kisha kutoka pindi unapoenda kukojoa au usipokojoa hutoka zenyewe bila weqe kujua hizi ndizo zilizompa huyo bidada mimba
Mkuu umejaribu kuwaza kusomi sana, bt still ni theory.
 
Kuna mwalimu wangu mmoja wa o level ilikuwa ukimuuliza swali ambalo haliwezi bac alikuwa anasema hilo ni la a level....
Na mm hapa ktk hili nadhani hili swali inabidi tumuulize Mungu
 
Quite =Quote

Mkuu, yaani sperms zibaki njiani kisha baadae zitoke pasipo mtu kujua? Binadamu akiwa mzima tu, akikaribia kumwaga kisha kikaja kitu ambacho kikamtoa ktk mood ya sex hawezi kumwaga, ili umwage unapaswa uwe ktk hiyo mood.

Korodani zikishashuka chini sidhani kama kuna uraisi wa mtu kumwaga tena sperms.
Mkuu inavyoonekana hauna science background (hasa biology) halafu una reason bila kuwa na idea na kitu unachojibu bali unatumia uzoefu .hebu reason more scientific.
 
nna ikumbukwe kuwa ubungo ndio uratbu shughuli zote katika hisia mfululizo mpka kutoa mbegu
Anhaa sasa nimeshakuelewa wewe unawaza kuwa maiti huwa haina mawasiliani na ulimwengu tena vipi iliweza kufanya erection na kumpatia huyo bidada mimba [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hebu tumia LOGICAL REASONING kidogo nimekupa maelezo yananayoelezea vizuri tu jinsi maiti hiyo ilivyompa mimba huyo bidada ila kwa kuwa wewe kwenye mawazo yako ushaweka msimamo kuwa ili maiti iweze kumpatia mimba bidada inabidi kuwe na hisia na erection .
Na ndiyo maana hata mtu akichangia vipi hautaweza kuelewa kilichotokea so sio mbaya simamia msimamo wako.
 
Kazi ya maabara ni uchunguzi wa kisayansi, nae kajiongeza kufanya uchunguzi kwa njia hiyo kama alivyo agizwa...

What happened is that...
"alikuwa akitumia hiyo njia yake na kwamba mtu haitakiwa kuwekwa kwenye jokofu hadi Muda fulani upite na baada ya kuthibitisha (rejea story za mtu kufufuka anakuwa bado hajandei well au alizimia tu.) so inawezakana alikuwa hajapoa na alipimwa kuona mapigo yake ya moyo yapo vip, akijaribu kumshtua na pasi au shot lakini wapi, lakini njia mbadala ni kufanya ngono kwani huongeza spidi ya mzunguko wa damu na kufikia katika moyo na damu kuweza kwenda kuamsha ubongo na kureact fast kwamba intimacy imifika hivo mgonjwa ku ejaculate na kuweza kufa kwa sababu anakuwa hawezi kuhimili mapigo mkubwa ya moyo kwa kuwa blood pressure ilikuwa juu. Japo kwa bahati mbaya njia hii inaweza kumumaliza mgonjwa kabisa hivyo basi taarifa inayokuja kutoka ni kwamba alifanya mapenzi au alitiwa mimba na maiti "

Njia zote za kushitua mgonjwa toka usingizini zikishindikana tumia hiyo. Kama wakike tumia vidole tu.
Exactly mkuu nimejaribu kuelezea kama hivi bali nime deviate kidogo ila ni according to my theory na hapa nimeongeza kitu BIG UP ila still kuna watu jawaelewi hata kidogo
 
Kama hilo jambo ni la kitaaluma, kwanini iwe kesi wakati ilikuwa ni njia ya kuokoa maisha ya mtu?

Mkuu, achana na hizi story, kuna mengi nyuma ya pazia juu ya hizi story.
Bado kidogo utaelewa tu fungua akili
 
mmh kwahyo kazi yake kusex na maiti tu ila sawa mekupata mkuu ila kuna hichi kitu kizuri umekiongea kwamb....wakat mwengine utumia sex kumzindua kwa kunasababisha mzunguko mkubwa wa dam na kupelekea ubongo kureact na mpka ukiwa active ujuevhuy mtu ajafa sasa hao wamekufa na kafanya mapenzi......je matendo yote yamepata permision kwa ubongo gan mkuu
Kwanza ngoja nikuulize swali mkuu kabla ya huyo mnayemwita maiti hajafikishwa hapo kufanyiwa uchunguzi walisah approove kuwa amekufa?
 
kinachotuchanganya hapa ni tafsiri ya mapenzi afrika na tafsiri ya mapenzi lilipotokea tukio.

kwa wenzetu kuuchezea mwili wa mwenzio pia ni mapenzi.
yawezekana alikuwa akiuchezea mwili wa marehemu ikiwa ni pamoja hata na kujichua kupitia uume uliolala katika kufanya hivyo bahati mbaya kumbe kuna mbegu za kiume maana huwezi jua kabla ya mauti kumfika mtu katoka kufanya nini na mbegu kama bado hazijafa zikiingia kwenye uke na mwanamke awe kwenye siku za hatari mimba inatungwa binafsi sio kitu kinachofikirisha hapo japo mimi si daktari.
Ahsante mkuu wewe ni mtu wa tatu kujibu correct ila bado kuna people hazielewi hapa
 
Back
Top Bottom