Inawezekana alikuwa aja ndei well, akawahishwa hospital akiwa bado yupo moto hajapowa, sasa basi mchunguzi huyo dada wa maabara akatumia mbinu zote alizofundishwa kama kutumia hiyo pasi ya kushtulia wagonjwa, oxygen n.k hazikufanya kazi basi akijaribu kufanya vipimo tena akakuta Kuna heartbeat zinasikika kwa mbali (alitumia mashine maybe kupima) sasa basi yeye kama muuguzi aliye kitengo cha uchunguzi hawezi kumuacha mgonjwa andei mbele yake basi kinachofuata ni kujiongeza kwa mbinu nyingine kama hiyo, wakati mwingine kama ni mchawi au mganga wa kienyeji anaweza apply hiyo kitu na kama unavyojua wazungu wanapenda kujenga CV zao hasa.