Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

Kama Israel hawajashindwa mbona hawajapata hata teka moja na Hamas wanaendelea kuwanyuka IDF mmoja mmoja
We sijui unaongea nini,hao ndugu zako wananyukwa na kupotezwa mazima,hamna kuweka ushahidi.
Na sasa ni Lebanon,badae Iran.
Watapigwa wote mpk wachakae.
Video ya kwanza kabisa Waziraili wakitoka kwao kwenda vitani.
Zile silaha na vita haikuwa kwaajili ya Ghaza tu.
Yaani ni kwamba Ghaza wamepita tu.
Kuna kichwa kikubwa kinatafutwa.
 
Subiri tuone kama wamepita au ndio wamezama hapo kwenye matope.
 
Poleni Sana Sana, Ufumbuzi Ni Meza Ya Duara Kwa Mazungumzo
 
Hamas walishambulia na kujifanya vidume, vita imeanza wametupa sare zao ni mwendo wa baibui na madela.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
sasa Hamas wanaua idf wa wap kama gaza nzima ni silaha za IDF tu
 
Akili yako haina akili,Unalia hapa wanavopigwa huko huku unasema ziraili kashindwa vita.
151 tayari jana na leo.
Kesho itakua 200+ wanaume wanarudi kupumzika.
Mtaonana tena ijumaa mkimaliza swala tu.
Safari hii mmeingia choo cha kike.
hahahaaaa
 
Hiyo kesi inasaidia kuweka sawa kumbukumbu kwamba alichofanya Israel ni uonevu na uvunjaji wa sheria za kimataifa.
Mara nyingi hii huleta ushujaa kwa nyoyo za binadamu kupambana na madhalimu hata wasipotekeleza hukumu kwa makosa yao
lzm si mlichokoza wenyewe?
 
Huo ni ushindi gani wa kuua watu namna hiyo.
Yaani unaunga mkono watu wafe kwa njaa halafu unailalamikia ccm kwa maisha magumu.Si uone ni sawa tu.

wapalestina wanalipwa kwa ujinga wao , unaeza shangilia tukio kama lile la trh 7 oct na unajuwa kabisa majibu yatakuumiza vby sn , ile ni sw na kwenda msikitin ukiwa na biblia mkonon bila kutazaa vzr
 
Kama Israel hawajashindwa mbona hawajapata hata teka moja na Hamas wanaendelea kuwanyuka IDF mmoja mmoja
unaandika km mwehu , unadai Idf wanafaya Genocide , hlf hapa hapa hawajashinda vita bali wao Idf wanapukutishwa
 
Next time Hamas wakienda kuchokoza wawe wamejiandaa vya kutosha na wale watakaofanikiwa kupona wawakatae Hamas Kwa nguvu zote
 
Bro
 
Next time Hamas wakienda kuchokoza wawe wamejiandaa vya kutosha na wale watakaofanikiwa kupona wawakatae Hamas Kwa nguvu zote
hamna next time.Israel chini ya Netanyahu na kipigo cha Hamas hairudi tena kuwa hai
 
Akili yako haina akili,Unalia hapa wanavopigwa huko huku unasema ziraili kashindwa vita.
151 tayari jana na leo.
Kesho itakua 200+ wanaume wanarudi kupumzika.
Mtaonana tena ijumaa mkimaliza swala tu.
Safari hii mmeingia choo cha kike.
Hiyo kesi inasaidia kuweka sawa kumbukumbu kwamba alichofanya Israel ni uonevu na uvunjaji wa sheria za kimataifa.
Mara nyingi hii huleta ushujaa kwa nyoyo za binadamu kupambana na madhalimu hata wasipotekeleza hukumu kwa makosa yao
Alichokifanya Hamas October 7 sio uonevu ni ushujaa kuvamia Israeli na kuua wayahudi na kuteka raia
 
Alichokifanya Hamas October 7 sio uonevu ni ushujaa kuvamia Israeli na kuua wayahudi na kuteka raia
Ndo sasa watulie kipigo kiko nusu tu wanalia nini?
Na Sasa jamaa wanabondabonda hezzbollah huko Beirut mambo ya Gaza wameachwa walinzi tu.
Kazi pale imeisha
 
Akili yako haina akili,Unalia hapa wanavopigwa huko huku unasema ziraili kashindwa vita.
151 tayari jana na leo.
Kesho itakua 200+ wanaume wanarudi kupumzika.
Mtaonana tena ijumaa mkimaliza swala tu.
Safari hii mmeingia choo cha kike.
Mwisho upo mkuu, usiku ukikomaa karibu kupambazuka.
 
Hiyo story ya njaa ni uongo sababu aljazeera wangeirusha mapema maana miongoni wa wanahabari wao ni Hamas na Islamic jihadi na wengi weuliwa kwenye mapambano
 
Si mlikuwa mnasema Alwaaa akbari na mnashangilia, endeleeeni kushangilia yajayo yanafurahisha tunataka tuione Sudan na Somalia ya palestina. Maisha haya lazima utumie akili ktk kuishi. Msije mkamuona Marekani, wakati anajiepusha na mavita yasiyo na tija mnashangilia anaogopa kumbe anawapigia hesabu atafaidika na nn? Kwy vita na wewe
 
Hiyo story ya njaa ni uongo sababu aljazeera wangeirusha mapema maana miongoni wa wanahabari wao ni Hamas na Islamic jihadi na wengi weuliwa kwenye mapambano
Habari zinarushwa kila wakati.Hebu fuatilia vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…