Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

Hamas ilianzishwa na Israel lengo likiwa kuidhoofisha PLO chini ya Yasir Arafat na kuigawa Palestina katika mapande mawili yasiyoelewana yaani Western Bank na hiyo Gaza! Miaka ya 2000 viongozi wa Hamas walipata akili kuwa wanatumika na Israel kwa manufaa ya Israel.

Anzia miaka ya 2000 Israel imepata kitu cha tofauti na kile ilichokianzisha huko Gaza, Hamas wakaanza kudai maeneo yao yanayokaliwa kwa nguvu na Israel, na wao wakiwa katika msingi wa kusema haki inadaiwa, haiombwi!.

Wakati mataifa ya magharibi yakiitambua Hamas kama magaidi, nchi nyingi Dunian zimekataa kuitambua Hamas kama magaidi ila wanawatambua kama Freedom Fighters! Nchi kama Africa Kusini wanakumbukumbu nzuri sana jinsi walivyoteswa na makabulu huku wakiwaita, kuwafungulia kesi na kuwafunga wapigania uhuru wa Africa Kusin na kuwaita majina kama hayo ya Wachochezi, Magaidi nk.

Kwaiyo wale Wapalestina mpaka leo unawalaumu hapa jua kuwa bado wale hawajapata Uhuru ambao wewe unaadhimisha wa 1961 na ambao pia mmesherehekea juzi wa Mapinduzi matukufu. Hivo baso nawao wanaendelea kupambana na mkoloni Israel.

Mapambano ya namna hii ya gharama kubwa sana, ata katika historia ya Tanganyika we mwenyewe ulisoma jinsi macheaf wetu walifanywa na wakoloni ila atimae uhuru ulipatikana mwaka 1961.
Israel sio mkolon kwa Palestine pale ni kwao walipewa na Mungu kupitia mababu zao wakaja watu wengine kuvamia eneo lao na kufukuzwa Leo wamerudi kwao wanaitwa wakolon labda kwa mtu asiyejua historia ya Israel l
 
Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa.

Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani.

Katikati ya hali hiyo ya kutisha wajumbe wa mashirika ya misaada katikati ya wiki hii walipokuwa wakijaribu kupeleka misaada kaskazini ya Gaza walishangaa kuzuiliwa na majeshi ya Israel kufikia maeneo hayo wakielezwa kuwa kuna magaidi ya Hamas.

Hata hivyo walichokiona njiani ni maiti za watu wakiwemo watoto wadogo.Wale waliowakuta hai njiani walikuwa ni watu waliodhoofika sana kwa njaa wakikimbilia magari yao ambayo hayakuwa na kitu wakiomba maji na chakula. Waliposhindwa kuwasaidia walishuduia baadhi yao wakidondoka na kufa.

Hayo ni matokeo ya kushindwa kwa Israel katika vita na kubaki kuua watu kwa silaha za moto na kwa ktumia njaa na kiu. Na hali hiyo ndiyo iliyoitia huruma nchi ya Afrika kusini na kuamua kuifungulia kesi Israel kwenye mahakama ya ICJ
Mtadanganya hadi Mtachoka.. Taqiyya nna hamtoaminika...
 
Habari zinarushwa kila wakati.Hebu fuatilia vizuri
Me ni mfuatiliaji mzuri sana, nachoambulia ni maigizo tu.. news zenye ukweli hazihitaji staging. sababu sio movie...

Misaada ni mingi na ni kila siku... Picha zinaonesha wanauziana kila kitu so hiyo misaada ya wenye njaa au ya wafanya biashara? Kuna Njemba zinapiga pesa sana kwenye issue ya Misaada majamaa yamejazana Insta, Facebuku, na social media kibao zinaomba misaada zinaweka picha wanapika bilyan na kuku/beef eti watumiwe wao pesa japo ya sahani moja kwenye account zao... kha.. Tatizo la waarabu wanalia mno na hawana shukrani.... ukiritimba wa Gaza kuna wababe wengi wanajinufaisha na ndio hao hao wanaongoza media so full maigizo kama Saudia hatoi misaada vizuri anawajua haswa hawa jamaa... kuna vyombo vichache vya news huwa vinawahoji raia wanalalamikia mno Hamas kuna siku Aljazeera walihoji wakapewa za uso wakakatisha mahojiano... Ndio maana Israel anawashangaa kawaaambia waleta hiyo misaada wawaongeze kuvuka popote wanaunya unya tu uongo hauchanganyiki na ukweli... na Dunia ya sasa sio ile ya Mitume watuu walikuwa Wajinga so kuendeleza uinga ni upumbavu...

Majuzi pia wamezusha uongo eti israel kaua wati mia na kadhaa baadae wakashusha walipoambiwa wamekanyagana na video za drone zikaletwa wakaja na uongo kuwa majeruhi wengi wana majeruhi ya risasi... Dunia ikawapuuza... leo wamekuja na kusema Misaada inayoangushwa na Ndege imeua watu... hawa jamaa uongo wa nini Tatizo ni Uislam au Allah waacha Mafundisho ya Uislam kwanza wakae chini waachie mateka wote maisha yarejee kwa Amani
 
Israel sio mkolon kwa Palestine pale ni kwao walipewa na Mungu kupitia mababu zao wakaja watu wengine kuvamia eneo lao na kufukuzwa Leo wamerudi kwao wanaitwa wakolon labda kwa mtu asiyejua historia ya Israel l
Ndugu yangu hivi anaweza kuja mtu na kitabu chake anacho amini kaletewa na Mungu akakuambia hapa ilipojenga Kariakoo alipewa na Mungu na ushahidi wake ni kitabu chake kitakatifu alafu we ukaondoka ukampisha?
 
Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa.

Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani.

Katikati ya hali hiyo ya kutisha wajumbe wa mashirika ya misaada katikati ya wiki hii walipokuwa wakijaribu kupeleka misaada kaskazini ya Gaza walishangaa kuzuiliwa na majeshi ya Israel kufikia maeneo hayo wakielezwa kuwa kuna magaidi ya Hamas.

Hata hivyo walichokiona njiani ni maiti za watu wakiwemo watoto wadogo.Wale waliowakuta hai njiani walikuwa ni watu waliodhoofika sana kwa njaa wakikimbilia magari yao ambayo hayakuwa na kitu wakiomba maji na chakula. Waliposhindwa kuwasaidia walishuduia baadhi yao wakidondoka na kufa.

Hayo ni matokeo ya kushindwa kwa Israel katika vita na kubaki kuua watu kwa silaha za moto na kwa ktumia njaa na kiu. Na hali hiyo ndiyo iliyoitia huruma nchi ya Afrika kusini na kuamua kuifungulia kesi Israel kwenye mahakama ya ICJ
Inauma sana. Hii yote ni mihemko ya Hamas na ndio chanzo cha kulaumiwa
 
Hatusemi maiti za watu bali tunasema maiti tu, kwani neno maiti hutumika kwa binadam aliyefar8ki. Kwa mnyama huwa tunatumia neno MZOGA/MIZOGA
Watu wako kwenye huzuni wewe unaleta mafundisho ya lugha. Hamas wanaumiza sana raia wapalestina wasio na hatia.
 
Hamas ilianzishwa na Israel lengo likiwa kuidhoofisha PLO chini ya Yasir Arafat na kuigawa Palestina katika mapande mawili yasiyoelewana yaani Western Bank na hiyo Gaza! Miaka ya 2000 viongozi wa Hamas walipata akili kuwa wanatumika na Israel kwa manufaa ya Israel.

Anzia miaka ya 2000 Israel imepata kitu cha tofauti na kile ilichokianzisha huko Gaza, Hamas wakaanza kudai maeneo yao yanayokaliwa kwa nguvu na Israel, na wao wakiwa katika msingi wa kusema haki inadaiwa, haiombwi!.

Wakati mataifa ya magharibi yakiitambua Hamas kama magaidi, nchi nyingi Dunian zimekataa kuitambua Hamas kama magaidi ila wanawatambua kama Freedom Fighters! Nchi kama Africa Kusini wanakumbukumbu nzuri sana jinsi walivyoteswa na makabulu huku wakiwaita, kuwafungulia kesi na kuwafunga wapigania uhuru wa Africa Kusin na kuwaita majina kama hayo ya Wachochezi, Magaidi nk.

Kwaiyo wale Wapalestina mpaka leo unawalaumu hapa jua kuwa bado wale hawajapata Uhuru ambao wewe unaadhimisha wa 1961 na ambao pia mmesherehekea juzi wa Mapinduzi matukufu. Hivo baso nawao wanaendelea kupambana na mkoloni Israel.
Mapambano ya namna hii ya gharama kubwa sana, ata katika historia ya Tanganyika we mwenyewe ulisoma jinsi macheaf wetu walifanywa na wakoloni ila atimae uhuru ulipatikana mwaka 1961.
Freedom fighters kweli? Inatakiwa sasa wasimame wapigane badala ya kurusha rockets wakiwa shimoni, mimi nina wasiwasi na hawa hamasi kama ni wapalestina
 
Kutumia rocket pia ni mbinu tu ya mapambano! Na ndiyo maana watu wa submarine zinazoweza kurusha rocket za km 1500 sio sababu wanaogopa kupigana lah ila wanaweza kushambulia tokea popote.

Hamas ni Wapelestina waliova kiitikadi ya kupambania ardhi yao, moja ya kitu kigumu kuja kutokea basi Dunia kuitambua Hamas kama kikundi cha kigaidi wakati wote tunajua Netanyau anaconka maeneo ya Gaza na Western Bank then anapitisha sheria ya kujenga makazi na kuifanya ni ardhi ya Israel rasmi.
 
Mungu wa Wisrael na Al lah wa wapagani Islam naye walishasema Ardhi ni for Israelis not Arabs
 
Dawa ni moja tu; wananchi wa Gaza kuwakataa na kuwapiga vita haya magaidi ya hamas.
 
Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa.

Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani.

Katikati ya hali hiyo ya kutisha wajumbe wa mashirika ya misaada katikati ya wiki hii walipokuwa wakijaribu kupeleka misaada kaskazini ya Gaza walishangaa kuzuiliwa na majeshi ya Israel kufikia maeneo hayo wakielezwa kuwa kuna magaidi ya Hamas.

Hata hivyo walichokiona njiani ni maiti za watu wakiwemo watoto wadogo.Wale waliowakuta hai njiani walikuwa ni watu waliodhoofika sana kwa njaa wakikimbilia magari yao ambayo hayakuwa na kitu wakiomba maji na chakula. Waliposhindwa kuwasaidia walishuduia baadhi yao wakidondoka na kufa.

Hayo ni matokeo ya kushindwa kwa Israel katika vita na kubaki kuua watu kwa silaha za moto na kwa ktumia njaa na kiu. Na hali hiyo ndiyo iliyoitia huruma nchi ya Afrika kusini na kuamua kuifungulia kesi Israel kwenye mahakama ya ICJ
Wewe si ndio ukikuwa unaandika kila sehemu kuwa Israel wanakiona cha mtema kuni kupitia jeshi shupavu la Hamas

Imekuwaje tena? Ni wewe au uneandikiwa?
 
Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa.

Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani.

Katikati ya hali hiyo ya kutisha wajumbe wa mashirika ya misaada katikati ya wiki hii walipokuwa wakijaribu kupeleka misaada kaskazini ya Gaza walishangaa kuzuiliwa na majeshi ya Israel kufikia maeneo hayo wakielezwa kuwa kuna magaidi ya Hamas.

Hata hivyo walichokiona njiani ni maiti za watu wakiwemo watoto wadogo.Wale waliowakuta hai njiani walikuwa ni watu waliodhoofika sana kwa njaa wakikimbilia magari yao ambayo hayakuwa na kitu wakiomba maji na chakula. Waliposhindwa kuwasaidia walishuduia baadhi yao wakidondoka na kufa.

Hayo ni matokeo ya kushindwa kwa Israel katika vita na kubaki kuua watu kwa silaha za moto na kwa ktumia njaa na kiu. Na hali hiyo ndiyo iliyoitia huruma nchi ya Afrika kusini na kuamua kuifungulia kesi Israel kwenye mahakama ya ICJ
Waarabu walivyowabaguz hii dunia ingetawaliwa na muarabu ingekua pabaya sana..bora mzungu.

N waarab walivyowanafki wanatandikwa na hawasaidiani..nchi zote za kiarabu kimyaaa...wanapiga poyoyo tu
 
Vita bana co vzr japo nashangaa wanapgwa waparestina wanalia waislam wa bongo
 
Cku zote usipgane na aliekuzd nguvu wala kumchokoza matokeo hua mabaya
 
Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa.

Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani.

Katikati ya hali hiyo ya kutisha wajumbe wa mashirika ya misaada katikati ya wiki hii walipokuwa wakijaribu kupeleka misaada kaskazini ya Gaza walishangaa kuzuiliwa na majeshi ya Israel kufikia maeneo hayo wakielezwa kuwa kuna magaidi ya Hamas.

Hata hivyo walichokiona njiani ni maiti za watu wakiwemo watoto wadogo.Wale waliowakuta hai njiani walikuwa ni watu waliodhoofika sana kwa njaa wakikimbilia magari yao ambayo hayakuwa na kitu wakiomba maji na chakula. Waliposhindwa kuwasaidia walishuduia baadhi yao wakidondoka na kufa.

Hayo ni matokeo ya kushindwa kwa Israel katika vita na kubaki kuua watu kwa silaha za moto na kwa ktumia njaa na kiu. Na hali hiyo ndiyo iliyoitia huruma nchi ya Afrika kusini na kuamua kuifungulia kesi Israel kwenye mahakama ya ICJ

Very sad! Halafu anakuja mtu kuonyesha chuki zake kwa waislamu, kuna watu wana roho ngumu sana hii nchi, hata huruma hawana, watu hawa hayajawafika ndio maana.

Mimi nawapongeza sana South Afrika, wamesimama kidete na ndugu zetu waislamu, hakuna cha Saudia, Emirates, Qatar wala Tanzania yetu wamepaza sauti, ilaa tutaenda kuulizwa.
 
Back
Top Bottom