DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Wewe ni adui mkubwa wa waislamu, hivyo usijifanye hujui ugomvi wao, ni bora ukae kimya mkuuShame on Hamas, damu ya wapalestina iwe juu yao na vizazi vyao, shetani hana rafiki, kama mtaendelea kuwashangilia hamas wapalestina wataendelea kuangamia, unavamia halafu unaenda kujificha kwa raia? Unafikiri siku nyingine hamas alishambulia tena Israel atawaacha? Katika mashambulizi ya October 7 hamas wameambulia nini? Nilivyosikia Netanyahu anatangaza vita nilijua lazima hali iwe mbaya sana kwa watu wa Gaza.