Wachagga wamepakana na Wakenya? Nijuavyo warombo ndio wapo Holili
Wanyakyusa nao wamepakana na waganda? Watu wa Kigoma wamanyema, waha nao?
Zipo jamii nyingi hazili ugali kiasili
Sasa mbona mlileta kundi la mawaziri kubembeleza tuwauzie chakula?. Msumbiji, Malawi, Zimbabwe na DRC wanatutegemea, hukumbuki Waziri wenu wakati anaomba tuwauzie chakula alivyokua analalamika?
Sasa mbona mlileta kundi la mawaziri kubembeleza tuwauzie chakula?. Msumbiji, Malawi, Zimbabwe na DRC wanatutegemea, hukumbuki Waziri wenu wakati anaomba tuwauzie chakula alivyokua analalamika?
Chapati sio chakula cha anasa kama unavyodhania, kwa shilingi zako kumi unapata kama Street food 😊Sasa mbona chapati ni chakula cha anasa sana kwenu?
Sio kweli kwamba 80% ya Watanzania wanatumia ugali (hasa wa Mahindi) kama chakula kikuuKwanza kabisa hamna sehemu nimesema hakuna Watanzania wasiokula ugali kama chakula chao cha asili, soma kauli zangu upya, ila takwimu zenu rasmi zinasema asilimia 80% mnakula ugali kama chakula cha msingi.
Ugali ndio chakula kikuu/staple kwa Watanzania 80%, ikumbukwe kunao ambao japo ugali ndio chakula chao kikuu ila asili yao ni tofauti kama vile ndizi.
Mfano hai kwa Kenya hapa, mimi Mkikuyu, ukija kwetu Ukikuyuni, ugali sio chakula chetu cha asili, ila wengi tunauchangamkia kama chakula kikuu.
Sio kweli kwamba 80% ya Watanzania wanatumia ugali (hasa wa Mahindi) kama chakula kikuu
Zaidi ya 60% ya Watanzania wapo vijijini na bado wanaendeleza hizo desturi zao kwenye vyakula, mijini sawa kabisa kwamba ugali ndio chakula kilichozoeleka lakini hata huko mijini ugali unaweza kuliwa mara 2 kwa week au nyumba nyingi ugali hupikwa mchana tu, usiku ni wali, Ndizi, chapati, tambi etc
Hata ukienda kwa mamantilie chakula kikuu wanachouza zaidi ni wali huku chakula kinachoongoza kuuzwa kwenye Bar ni chips na ndizi kwa nyama ya kuku ng'ombe samaki
Bahati mbaya hata siishi Dar.Hiyo 80% niliitoa sehemu kwenye statistics zenu, subiri nitaisaka na kuileta, halafu mama nitilie wa Dar ni tofauti na wa mikoani.
Wanaume wa Dar mnafagamika kwa vyepe na vitu vilaini vilaini.
Sio kweli kwamba 80% ya Watanzania wanatumia ugali (hasa wa Mahindi) kama chakula kikuu
Zaidi ya 60% ya Watanzania wapo vijijini na bado wanaendeleza hizo desturi zao kwenye vyakula, mijini sawa kabisa kwamba ugali ndio chakula kilichozoeleka lakini hata huko mijini ugali unaweza kuliwa mara 2 kwa week au nyumba nyingi ugali hupikwa mchana tu, usiku ni wali, Ndizi, chapati, tambi etc
Hata ukienda kwa mamantilie chakula kikuu wanachouza zaidi ni wali huku chakula kinachoongoza kuuzwa kwenye Bar ni chips na ndizi kwa nyama ya kuku ng'ombe samaki
As long as we get benefited from your pockets,You hunger infected failed state [emoji3]Huwa nawaambia hawa kwamba hela yetu ndio kila kitu kwao, sasa ona wanasababisha njaa kwao wakifuata hela yetu.
Chapati inapikwa hata barabarani and very cheap @ksh10Sasa mbona chapati ni chakula cha anasa kwenu 😂😂😂 hadi mnapiga kisa chapati.
Kuna mantilie wengi tu hawapiki kabisa ugali sababu hauna wateja au wanapika kidogo kwa wale wateja wanaotaka, wanapika wali kwa wingi, pilau, ndizi, chipsKweli kabisa na sufuria la mama nitilie la wali ni kubwa Mara 4 ya la ya ugali kwa kila mama lishe
Basi wewe huelewi jinsi Kenya cereal and produce board operates, Kenya wakulima wote wakisha vuna mazao Yao kerikali hua inanunua mahindi kutoka Kwa wakulima magala yakijaa wenye viwanda pia wanaruhusiwa kununua halafu kama kuna uhaba wa mahindi labda wenye viwanda mamemaliza stoku Yao serikali kupitia KCPB inawauzia mahindi Kwa bei ya chini Kwa mfano serikali imenunua gunia la mahindi kilo 90 Kwa 2500 itawauzia wenye viwanda Kwa 2800 badala ya 3500 hio ina maana bei ya unga itakua chini maana compared na Yale mahindi ya kutoka inje ya nchi hao KCPB ndio Wana monitor Hali nzima ya chakula nchini.hii ni ya mwaka huu, ina maana ni mfumo wa kawaida Kenya
Kenya releases subsidized maize to ease shortage
Millers have so far received 400,000 bags and more is on the way.www.world-grain.com
Hii inaonesha ni namna gani suala la chakula lilivyo serious Kenya, wakati wakulima wa Tanzania wanaomba mahindi yapande bei ili wauze kwa faida zaidi
Marekani wanaita stamp food (chakula chenye ruzuku ya serikali) huwa wanapewa homeless people wale masikini wa mwisho kabisa wanakula ila wanachukia sana hiyo hali, it's kind of insult huko US ukimuambia mtu anaishi kwa stamp food
Wakuria wa Tanzania sio wakuria wa Kenya,wakuria wa Kenya wanakula ugali,ugali kila kabila Kenya wanakula hadi wasomali.Wakurya wanakula kichuri na madaga, unga wa mihogo uliochanganywa na mtama pia wanakunywa uji wa mchele, hivyo ndio vyakula vyao vya asili, ugali wa Mahindi hawali
Kenya sio rahisi upate ugali wa mihogo hata mihogo Kenya haipatikani Kwa wingi kidogo wanalima kwale,kilifi na kwa kiasi kidogo maeneo ya ukambani kitu ambacho kinatumika Sana Kenya Kwa ugali ni mahindi.Wakurya wanakula kichuri na madaga, unga wa mihogo uliochanganywa na mtama pia wanakunywa uji wa mchele, hivyo ndio vyakula vyao vya asili, ugali wa Mahindi hawali
Samatta ni gwiji kabisa, exceptional Tanzanian 👏At least Watanzania wafurahi kidogo najua vyuma vimekaza mbaya Sana humo kwa jinsi wamejaa humu na pia Nvhini Kenya wakiomba omba.
Samatta vs Liverpool
View attachment 1255783
View attachment 1255786
Origi
View attachment 1255787
Ndio hiyo subsidiary ninayoisema na hata waingizaji wa Mahindi kutoka nje ya nchi wanapata duty free privilege, yote hiyo ni subsidy ili kufanya bei ya unga kuwa chini tofauti na Tanzania ambayo inafanya hivyo kwenye imputs za kilimoBasi wewe huelewi jinsi Kenya cereal and produce board operates, Kenya wakulima wote wakisha vuna mazao Yao kerikali hua inanunua mahindi kutoka Kwa wakulima magala yakijaa wenye viwanda pia wanaruhusiwa kununua halafu kama kuna uhaba wa mahindi labda wenye viwanda mamemaliza stoku Yao serikali kupitia KCPB inawauzia mahindi Kwa bei ya chini Kwa mfano serikali imenunua gunia la mahindi kilo 90 Kwa 2500 itawauzia wenye viwanda Kwa 2800 badala ya 3500 hio ina maana bei ya unga itakua chini maana compared na Yale mahindi ya kutoka inje ya nchi hao KCPB ndio Wana monitor Hali nzima ya chakula nchini.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sasa kwa upande wa Tanzania kanda ya ziwa yote, makabila yanayokaa kwenye mikoa hiyo ambao kwanza ndio wenye population kubwa ya Tanzania, wanatumia udaga/makopa (unga wa mihogo) kama chakula chao kikuu pamoja na mchele sababu ya schemes za umwagiliaji kutoka kwenye ziwa Victoria kilimo cha mpunga kipo juu sanaWakuria wa Tanzania sio wakuria wa Kenya,wakuria wa Kenya wanakula ugali,ugali kila kabila Kenya wanakula hadi wasomali.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hio duty free imewekwa na east Africa community wala sio kenya chakula chote hata ngano ni duty-free Bora iwe imetoka moja wapo ya east Africa hadi sukari soma kuhusu east Africa protocol.Ndio hiyo subsidiary ninayoisema na hata waingizaji wa Mahindi kutoka nje ya nchi wanapata duty free privilege, yote hiyo ni subsidy ili kufanya bei ya unga kuwa chini tofauti na Tanzania ambayo inafanya hivyo kwenye imputs za kilimo
Matokeo yake ni kuwa na bumper harvest na kupelekea mazao kuwa na bei chini, hata Tanzania ipo bodi ya mazao ya nafaka ambayo hununua kutoka kwa wakulima lakini hata wakinunua bado ni kiasi kidogo sana Sidhani hata 5% wanafikia.
Mahindi mengi saivi yananunuliwa na wenye viwanda vya kutengeneza chakula cha Mifugo angalau ndio wamesaidia kufanya demand saturation.