Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Wasitafute sababu. Nasubiri Noah yangu ya kijani rangi ya chama. Ohhh.
 
Utapigwa na butwaa ukiambiwa kwenye timu ya wataalam wa Tanzania BULEMBO NDANI !
Wee acha kukasirisha watu kwenye issue za kimataifa, KKK hawezi kuwemo kwenye mambo ya kitaalam labda kama kampeleka binti yake mbunge vitiiiu maalaum maana hata yeye ni mbunge maalum kama binti yaake..
 
Angekuwa yule boss wa mafisadi tz ndiye rais wetu leo (Mungu aepushie mbali!) wala tusingejua chochote kuhusu makinikia....angegawana cha juu na genge lake wananchi tusingejua chochote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tunapenda Udaku,Umbeya na Majungu.......Mara Commandoo mstaafu,mara ukimya,mara trillions.
 
Tulizoea enzi za mzee wa msoga kila kitu tunakipata baa hatuhitaji hata kusubiri taarifa ya habari huyu kila kitu chini ya handaki tumebaki kupiga ramli tu!
 
"Wakaleta delegetion yao ikiongozwa na commando wa SAS mstaafu tukabeza bila kujua kuwa majadiliano yanachosha na makomandoo, sio wale wa kwetu wa kupasua matofali kwa kichwa, wana uwezo mkubwa wa kusurvive kwenye majadiliano magumu kabisa,hata ya mateso,kwa muda mrefu huku wakiweza kufikiria sawasawa."
 
Congratulations,sijui kama unamsichana wa kazi nyumbani!ila fikiria hivi unaye,na mshahara wake ni sh 50000/=tu kwa mwezi. Usipomlipa kwa miezi 24 anakudai sh.ngapi?duniani hakuna bili ya ajabu zoea kutolimbikiza madeni utakuwa huru sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais alipokamata kontena mliponda, alipouñda kamati ya kwanza pia mliponda sana, na kamati ya pili ndiyo kabisaa!!!

Swali langu! Hivi nyie mmelelewa katika mazingira gani ya kulalamika lalanika na kuponda kila uchwao?

Nahisi itakuwa ni urithi kutoka kwa Babu zenu. Ila angalieni msije lalamikia hadi familia zenu kuwa mnashindwa kuzilea. Na wajanja wakawasaidia kulea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosa la kuongea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumelelewa ktk mazingila ya kutodanganywa kijinga na mjinga Sizonje
 
Wakilipa hata jiti nichuneni ngozi.

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…