Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Utapigwa na butwaa ukiambiwa kwenye timu ya wataalam wa Tanzania BULEMBO NDANI !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee acha kukasirisha watu kwenye issue za kimataifa, KKK hawezi kuwemo kwenye mambo ya kitaalam labda kama kampeleka binti yake mbunge vitiiiu maalaum maana hata yeye ni mbunge maalum kama binti yaake..Utapigwa na butwaa ukiambiwa kwenye timu ya wataalam wa Tanzania BULEMBO NDANI !
Hivi Mrisho Mpoto anamaanisha nini akisema tuna msiba nyumbani halafu marehemu ndio muandaaji?
Mkuu Subira sikuhizi havuti heri ,anavuta bangi!
Congratulations,sijui kama unamsichana wa kazi nyumbani!ila fikiria hivi unaye,na mshahara wake ni sh 50000/=tu kwa mwezi. Usipomlipa kwa miezi 24 anakudai sh.ngapi?duniani hakuna bili ya ajabu zoea kutolimbikiza madeni utakuwa huru sana tu.Ujinga ni kutojua jambo au maana ya jambo.
Upumbavu ni zaidi ya ujinga, yani haujui jambo au maana ya jambo na haujui kama hujui.
Kilatini wanasema 'Ignoransia bliss'
Yaani, ujinga unaleta raha. Hebu imagine uko club na unakata rumba halafu mahali fulani ndani ya club bomu limetegwa.
Kwasababu ya ujinga utaendelea kukata rumba kwa raha zako mpaka hapo bomu litakapolipuka.
Wakati gani ukimya unakuwa ni mbinu kwenye majadiliano?
Upande mmoja wa majadiliano unaweza kusema jambo kama kutishia hivi na wakakutegemea useme jambo kwa haraka ili kuona kama mtego wao umenasa.Basi hapa unaweza kuamua kuwa kimya kwa muda wa kutosha.Ukimya huu utavutia upande uliokupa vitisho kuongea zaidi na mahali fulani wakajikuta wamejipiga risasi kwenye kidole na wewe ukapata nafasi ya kujenga hoja.
Barrick wamefanya majadiliano ya kibiashara karne na karne.Wana international negotiators wenye uzoefu mzuri mno.
Wao walishaanza kuitumia mbinu ya ukimya mapema mno na hata ilipolazimu waongee walikuwa wakiwaambia wanahisa wao tulichokisema sisi basi!
Baada ya yule 'mwanaume' wa Barrick kuondoka ikulu, immediately Barrick wakaanza kuitumia mbinu ya ukimya,kile wanachosema wazungu ~stop.look.listen.think and wait.
Sisi tukaanza kuongea kila kilichokuja mdomoni kwetu bila kukichambua;
☞Mara Barrick wamesema watalipa.
☞Mara tumeibiwa sana.
☞Mara wakichelewa tutafunga migodi yao.
Maneno kibao!!!!
Tulipoona wapo kimya zaidi tukawapelekea ile bill ya ajabu kuwahi kutokea duniani~ madai ya trillion 428, budget ya shirika la anga la Marekani kwa miaka kumi!
Barrick ikaona ukimya wao umetosha na umezaa matunda ya kutosha.
Wakaleta delegetion yao ikiongozwa na commando wa SAS mstaafu tukabeza bila kujua kuwa majadiliano yanachosha na makomandoo, sio wale wa kwetu wa kupasua matofali kwa kichwa, wana uwezo mkubwa wa kusurvive kwenye majadiliano magumu kabisa,hata ya mateso,kwa muda mrefu huku wakiweza kufikiria sawasawa.
Sasa huu ushauri wa kuweka timu ya majadiliano siri au kutopeana mrejesho sijui umetoka kwa nani!
Nafasi ya kuutumia ukimya kama mbinu tulishaipoteza.
Jinsi tulivyo brag kabla ya majadiliano kuanza imetupa mzigo wa ziada, nao ni kuficha aibu ya serikali. Na international negotiators kama Barrick wanalijua hili. Pale waliposema win win situation hatukuwaelewa,tulifikiria zaidi fedha.Tulisahau kama Barrick kutusaidia kuficha aibu ya serikali kwetu pia ni win situation.
Usije ukashangaa kitu cha mwisho tutakachokipigania kwenye haya majadiliano ikawa kuwaomba Barrick watufichie aibu.
Nafuata K vant, ntarudi!
Umekosa la kuongea?Ujinga ni kutojua jambo au maana ya jambo.

Tumelelewa ktk mazingila ya kutodanganywa kijinga na mjinga SizonjeRais alipokamata kontena mliponda, alipouñda kamati ya kwanza pia mliponda sana, na kamati ya pili ndiyo kabisaa!!!
Swali langu! Hivi nyie mmelelewa katika mazingira gani ya kulalamika lalanika na kuponda kila uchwao?
Nahisi itakuwa ni urithi kutoka kwa Babu zenu. Ila angalieni msije lalamikia hadi familia zenu kuwa mnashindwa kuzilea. Na wajanja wakawasaidia kulea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchawi unaombea nchi kufilisika lakini kwa Magufuri kila goti litapigwa ,
Ameshakuwa mungu sio???Mchawi unaombea nchi kufilisika lakini kwa Magufuri kila goti litapigwa ,