Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Huu mjadala uko tricky sana.ugumu ninao uona ni ule wa kushusha matumaini ambayo watanzania wanajua na dunia inajua kwamba kuna mabililni tuliyapoteza , hasa baada ya zile report 2 za wataalamu wetu wabobezi.sijui kama wataalamu wetu waliweka working papers zao vizuri.nadhani wangejua kama hatimaye kutakuja kuwa na majadiliano ya namna hii na wataalamu wa level hii nadhani working papers zao wangeziorganise vizuri.

Ikiwa majadiliano haya yatafikia kwamba Tanzania haidai kitu hali itakuwa mbaya sana hasa kuaminika kwa wataalam wetu.Maana itaonekana walitudanganya.Ndiyo maana nadhani ile logic ya kuficha majina ya wanakamati ispokuwa mwenyekiti.lakini nadhani tutaambulia kitu.lazima kuna masalia ya hisani tunaweza pata.Wale ni wafanyabiashara wakubwa na wamewekeza vya kutosha na kufanya maandalizi ya kitosha kwenye uanzishwaji wa hiyo kamati yao ya majadiliano.Naamini pia kamati yetu si ya watu wepesi,kwa hiyo tujipe moyo tutashinda
 

Nachoweza kusema. Hapa hoja ya kisomi ni the will to fight and to make people know that we are ready to defend our rights ,the rights to our naturally given resources. That's what a focused mind should concentrate upon. Siasa inatufanya tusione positivity even kwenye processes Kwenye shock up technic kiasi kwamba baadaye wajanja watakuja kistaha kidogo. Mitandao inatufanya tusahau the gap kubwa tulilo nalo kiuchumi na Mataifa ya G20. Tunapopiga picha tunadhani TZ ni power nation. Sasa tunatumika kutaka kuvuruga focus ya JPM kwa siasa uchwara. Alafu tunajiona mashujaa. Akikohoa tu kelele mpaka marekani. Marekani wameua juzi Askari 66 kimakosa. Kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Wewe ndio hujui kuhoji jambo usilolifanyia utafiti. Ujinga Ni kudhani unajua wakati kumbe hujui. Kazi kutukana serikali tu. Ungependa majadiliano yafanyike kwenye live kwa TV? Subiri yakifika MIGA
 
ni trillion 480 hatupunguzi hata cent moja.
 
naona vibwengo wana in action hapo"" bahari beach""
 

Masuala ya kitaifa hayahitaji siasa. Mtafuteni Tundu Lisu mapema.
 
Kwani uliambiwa hayo majidiliano yanatangazwa km mpira wa yanga na Simba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasije wakasingizia kwamba wameshindwa kesi kumbe wamepiga mpunga mrefu, na ndivyo itakavyokuwa. nyie mtasikia tu utasikia ooh..!!?? tumetozwa na faini wakati walikubali kulipa mbele ya mheshimiwa rais, na ahadi ni deni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…