Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

[emoji37] [emoji37] ayaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini usiamini, litapita kimyakimya kama yalivyowahi kupita mengine
 
Inaelekea mtoa mada yeye kila akimuona mwanaume anachakata na kuyalainisha. mafuta vizuri mikononi ili apake yeye huwa huwa ameshainama hata kama mwanaume huyo hafahamiani nae wala hana shughuli nae.
 
Baada ya MIGA kushindikana mmerejea tena kwa staili hii! Hovyo kabisa.
 
mbona hela wanazopaswa kulipa zenyewe Tulishatangaziwa au zenyewe zimekuwa Moira Wa Yanga?
Kwahiyo ulitaka kuwe na mtangazaji pale awe anarusha majadiliano mubashara?Kwani hujui hizo zilibainishwa baada uchunguzi wa tume zilizoundwa na Rais kukamilika na kusomwa hadharani?Au kipindi hiko wewe haukua Tanzania,ulikua Kenya ukimsaidia Uhuru Kenyatta kwenye campaign zake za urais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wana JF,
Tokea mwanzo wa tuhuma hizi na sekeseke la Makinikia kila GT aliona au alijua ni usanii na maigizo yanafanyika!!!. Watu wenye akili timamu tulijua tu kuwa Tume zote 2 zilifanya maigizo kumfurahisi Sijonze!!! TL was quite right when he said both reports were rubbish!! Lakini Lumumba walimshutumu na kumwita kibaraka wa Wazungu na kahongwa pesa!!!.Sasa watakula MATAPISHI yao wenyeewe!!
Hivi wale Wabunge machizi wa CCM kina Livingstone Lusinde(Kibajaji) na Joseph Kasheku(Msukuma) watakuwemo kwenye orodha ya Kamati ya Kabundi? Kama watakuwemo watatumia lugha gani kutetea upuuzi wao waliokuwa wanaupigia debe Bungeni mpaka Mic zinalowa mate wako wapi? Ngoja tuone mwisho wake. Si ajabu Sijonze akwageuzia kibao na kuwaita VILAZA, WAPUMBAVU na MASHETANI!! Nyie subirini tu atakapofyatuka baada ya ripoti.......!!!!
 
Inasaidia nini kufanya siri, huku hizo hizo siri zimetufikisha kwenye mrabaha wa 3% ??!!



Cairo's
pambaneni na hali zenu waachieni wenye kazi zao wafanye kazi zao ,hata zikiwekwa wazi mna nini cha kuchangia?na je mtasikilizwa?ushilawadu tu unawasumbua.
 
Inaonekana wewe ni Mtutsi unayeumia ukiona Tanzania inanufaika na Rasilimali zake. Post yako inaonesha umekosa uzalendo kiasi cha kusikitisha na ndio maana huoni mantiki ya Rais kupigania Rasilimali za Nchi.
 
pambaneni na hali zenu waachieni wenye kazi zao wafanye kazi zao ,hata zikiwekwa wazi mna nini cha kuchangia?na je mtasikilizwa?ushilawadu tu unawasumbua.
Siri mpaka wajumbe!! Sijui

Cairo's
 
No comments
Namwamini PR Kabudi
Wengine walifichwa siwajui kwenye hii kamati
But I hope we can gain something
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…