Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Akili za viroba, akili za masalia ya kibiti na wahanga wa ukuta, operation sangara na mengine ya kijima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😱😱😱😱 zote hizo ni mbinu ili upate majibu.....acha wajadili tutapata majibu tu.....cku hizi taarifa hazivuji kama zamani.....ungeshasikia wazee wa kulalamika wamejitokeza tayari...tuwe wavumilivu tu haina jinsi
 
Hizi kamati zilidanganya umma ndo maana wanashindwa kuzipangua hoja za wathungu,walifanya uchunguzi kumfurahisha Mkulu

Waliotuibia ni watanzania wwnzetu Wala siyo wathungu.....

Kuwa mwafrika n tabu kweli kweli
eh eh yale yale ya mwafrika kumbadili mwenzie kwa kipande cha kioo kwe utumwa kama malikia zwangedaba
 
Acha upumbavu kuwa mzalendo kwa nchi yako, wakikataa kuripa tunafunga migodi yetu tunawafukuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua uzuri kwamba when you negotiate with multi-international organizations or companies like ACACIA or BARRICK longolongo uwa hazina nafasi. Kibaya zaidi tumepewa longolongo kwa muda mrefu na mihemuko yetu kama kawaida tukahemuka. Moja ya shida ya watanzania huwa hawataki facts, wanataka kuhemushwa, na kwa kweli this time around tutahemushwa sana.
 
Kuna watu wanatafuna meno matupu sasahivi wacha tusubiri heka zetu tuu maana Noah kila mtz sio mchezo mchezo ise

mzee mzima haishiwi maneno
 
kama vipi hameni nchi au wazungu wanasema nanukuu''if you can't fight them join them" Team ushindi for life,CCM oyee.
Mazuzu mnajidanganya sana

In God we trust
 
😱😱😱😱 zote hizo ni mbinu ili upate majibu.....acha wajadili tutapata majibu tu.....cku hizi taarifa hazivuji kama zamani.....ungeshasikia wazee wa kulalamika wamejitokeza tayari...tuwe wavumilivu tu haina jinsi
Majibu ni kupigwa faini kwa kusitisha huduma zao na kuwaita majizi

In God we trust
 
Mara hii mmekomeshwa hakuna kinachovuja kikao kinafanyika Kikwete hall Ikulu.
Mlizoea vikao vinafanyika Mahotelini changanyikeni Uongo wenu kaeni nao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara hii mmekomeshwa hakuna kinachovuja kikao kinafanyika Kikwete hall Ikulu.
Mlizoea vikao vinafanyika Mahotelini changanyikeni Uongo wenu kaeni nao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umevurugwa wewe unavyojiona unafikiri na wenzako ndiyo wapo kama wewe?

In God we trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…