Sawa mkuu,naona concern yako zaidi ni kwamba kwa kumuamini Mungu utakosa
Concerns zako kuhusu consequences za kumuamini Mungu ni nyingi,that you will loose time,utakuwa na hofu kwa hiyo utakosa amani,utapoteza hela nyingi kwa kutoa sadaka nk. nk.Mkuu hayo mambo yanaweza kuonekana kwamba ni ya msingi sana,lakini frankly sio.Kumbuka kwamba we came in this world with nothing na hatutaondoka na kitu.Mfalme Suleimani with all his glory and riches at the end alitambua kwamba yote yalikuwa ni kufukuza upepo,substance ni Mungu.
Your argument is a fallacy. Kama hakuna Mungu, we came in this world with nothing, we will leave with nothing, then it follows kwamba the only time that counts is the time we are in this world.
Sasa muda huu mfupi ambao nipo hapa duniani unataka nimtolee sadaka Mungu ambaye hayupo, nipoteze muda wangu kwenda kanisani kumfuatilia Mungu ambaye hayupo na niishi kwa woga kumuogopa Mungu ambaye hayupo?
Mkuu naamini hata sasa huna amani kwa kuwa huna hakika kweli kwamba Mungu hayupo,hiyo peke yake ni torture.I wish you new that there is more comfort in realizing that all is fine and well with this God, who you are not sure whether he exists or not,and who you are running away from! This God proves himself.Mkuu do you want to tell me realistically how the Universe is designed with all the balance in forces is a game of chance? Do you realistically want to tell me that the Ecosystem with all the ecological niches superbly organized is a game of chance?Mkuu can you tell me realistically the origin of matter?Hivi unaweza kukuta meza nzuri iliyoandaliwa for dining with all the delicious foods iliyojiandaa yenyewe?Mkuu there is a designer of the Universe,the Ecosystem and matter.Submit to him.
Mungu wenu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo maovu yasingekuwepo.Yasingewezekana.
Kwa sababu Mungu huyo angeumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani kuwepo.
Ukweli kwamba maovu yapo unaonyesha kwamba Mungu huyo hayupo.
Wewe baba wa kibinadamu tu mwenye uwezo, ujuzi na upendo wenye mwisho, anahakikisha wanawe wanakula, wanavaa na wanaishi kwenye nyumba nzuri kadiri anavyoweza.
Huyu Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika kama alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kufanyika?
Unaposema ecosystems ziko superbly organized unashindwa kuelewa kwamba mwili wako tu hauna total efficiency.
Ndiyo maana unakunya. Kunya ni ku produce waste products. System inayo produce waste products haina total efficiency.
Sasa kwa nini Mungu mwenye uwezo wote aumbe system ambayo haina total efficiency?