Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mimi nina wake wawili. Watoto wawili. Dada wa kazi. Nasubiria NOAH 6. Nahama DSM naenda SANYA JUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mpinzani akipigia kelele hoja au muswada fulani bungeni inakuwa ni lebo au hati miliki yake na hairuhusiwi Serilali iliyomadarakani kuichukua na kutekeleza hadi mje muingie madarakani(which will never happen kwa jinsi mnavotetea wezi)Kuwa na kumbukumbu ni kitu cha msingi sana.....
Wapinzani hawakuwa wanapiga kelele before???
Hatimaye mliishia kuwatoa nje ya Bunge.....
Huyu Mungu wenu wa lumumba wakati mikataba inapitishwa Bungeni yy hakuwepo????????
Kwa hyo kuwa mzalendo had uwe Rais??????
Think big brother....
Huu uongo mwingine. Tupe namba za hayo makontena yanayosafirisha makinika nyingine kutoka migodi unayofanyia kaziBehind the scene tunaofanya kazi within the mining sector productions zinaendelea vizuri sana na makinikia yanasafirishwa kama hakuna kilichotokea vile.
Iko hivi despite the fact that ok makontena yako pale bandarini kwani ni mangapi?
So kifupi production hasn't stopped kazi inaendelea its business as usual rotation zetu za kazi 24/7 ziko pale pale jamaa bado wanazidi kuchukua mzigo.
Tatizo Baba Jesca hakuweka katazo kwamba hawa jamaa wasimame kufanya production so it didn't limit them. And mind you if there will be any changes it won't be that much. KARIBU.
Nadhani kwanza hujiamini wewe mwenyewe na ndio sababu unaandika hiviSina imani na chochote kinachoongozwa na mtu mwenye jazba na ukosefu wa hekima kama Magufuli.
Ni kitu rahisi sana kwa mtu kama huyu kuwekewa mtego akaingia, au yeye mwenyewe kujiweka katika mtego.
Sent from my Kimulimuli
Wewe ambaye hujaandika kwa nini nilichoandika ni upuuzi ndiye hujiamini hata kuweka hoja yako wazi kueleza kwa nini unasema mimi sijiamini.Nadhani kwanza hujiamini wewe mwenyewe na ndio sababu unaandika upuuzi huu
Yule Profesa alivyokuwa anasoma ile ripoti tu ni janga la taifa.
Narudia kusema within the mining sites productions zinaendelea sana tu. Kama hutojali kuwa mpole & do some simple lobbyings.Huu uongo mwingine. Tupe namba za hayo makontena yanayosafirisha makinika nyingine kutoka migodi unayofanyia kazi
Sio kudanganya ummaUmeamka unaota ndoto na tamaa yako na kuishia kuandika unachotamani kiwe kinatokea.. subiri wenzako mdamganyane. Jaribu tena lingine.. kumbuka makontena bado yapo paleeee..
Hizi kamati zilidanganya umma ndo maana wanashindwa kuzipangua hoja za wathungu,walifanya uchunguzi kumfurahisha Mkulu
Waliotuibia ni watanzania wwnzetu Wala siyo wathungu.....
Kuwa mwafrika n tabu kweli kweli
Tumeshawazoea kila mtu chanzo kinachoaminika acha uzushi wewUkimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma. Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana
Tabia moja wapo mbaya ya Shetani ni kukatisha tamaa.Eti "tetesi,"one of the many demonic words I hate and now accepted,lakini designed kukaisha tamaa.Kitu unakiita tetesi, halafu unatuletea ili iweje?Kwa nini usisubiri uka confirm kwanza.Very demonic. Yaani the Devil is never asleep.Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma. Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana
Kibaya zaidi, uongozi wetu kwa kubwatuka ovyo na kufanya mambo kwa pupa unazidi kuwasaidia hao wawekezaji wa nje kujenga a strong case kwamba serikali inawaonea. Hata kama wanatuibia kweli.Kuwashinda hawa jamaa sio kaz nyepes inahtaj watu wenye skills sio ushabk na kupga tu makof
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeshindwa kujua wajumbe wa kamati ili muwahonge sasa mnazusha.Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.
Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
dada yako alivyo kuja kuposwa, mlikuwa mnawatangazia majirani , kila hatua mazungumzo yalipokuwa yanafanyika au pale tarehe ya harusi na mengineyo ilipokubalika? na shughuli za sherehe kupangwaUkimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.
Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.