Ahahahahaha! Mshaanza kulialia kama kawaida yenu. Haya. Tutawasikiliza baada ya hukumu ya Lissu kunyongwa hadi kufa!
Ndiyo mjiandae kisaikolojia yule bwana Kesi yake tumeifuatilia wote na kama majaji watatenda haki lazima AvaeMbona u.ekuwa mwendawazimu hivyo!! Mleta mada amesema watende haki. Tunafahamu kila taasisi kwa sasa zimetekwa na genge la wauaji. Iwe ni mahakama, bunge, polisi na hata baadhi ya taasisi za dini, zimetekwa na wauaji, na zote zinamtumikia ibilisi shetani.
Ndiyo maana mleta mada anewakumbusha majaji kama watu binafsi, kuwa pamoha na taasisi zao kutekwa na genge la wauaji, watambue kuwa wao ni binadamu, siku zao zikifika, hakuna kujitetea kuwa nilielekezwa, watahukumiwa wao kama wanadamu binafsi.
Kwa kweli nawaonea huruma sana waliopo kwenye taasisi kama za polisi, Tiss, Mahakama, Bunge, maDC, maRC, na viongozi wote wa chama kile cha mauaji, maana kwa kweli kuwa watu wa haki, kuwa watu wema, inahitaji jitihada binafsi za pekee, kwa sababu juu yao yupo shetani anayewateka wamtumikie shetani kwa kutenda uovu!! Yaani upo kwenye nyumba ya mwovu, unaelekezwa utende uovu, wewe uende ukatende wewe, ni kazi ngumu sana.
Hongera sana mleta mada, umetimiza wajibu wako kama kiumbe wa Mungu, wajibu wa kushauri na kuwakumbusha majaji, wakienda jehanamu kwa sababu ya kutenda uovu, hawatamlaumu yeyote, maana uliwakumbusha. Na huo ni wajibu wa kila mcha Mungu anapoona kuna mwanadamu anapotea na kujitenga na upendo wa Mungu.
Hivi mahakama za Tanzania au kesi km ya Mheshimiwa Tundu Lissu inakuwa hamna jury?6.11.2026
Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges
Bold Judges
1. Mwalusanya
2. Lugakingira.
3. Katiti
4. Mlay
5. Kalegeya
6.................
Shyster Judges
1.
2.
A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and check authoritarianism,
whereas a shyster judge (or shyster-like behavior on the bench) refers to a corrupt, trickish, or dishonest figure who subverts the rule of law for personal, political, or petty gain
Wewe utakuwa darasa la saba. Makosa mengi umeyaandika hapa...kwaiyo.. definitely ni kosa la darasa la saba, tena la mwaka huuπππSisemi zaidi lkn Majaji wanayo sababu muhimu ya kuamua juu ya kesi ya Lissu wenyewe wale Majaji wawe waislamu wawe Cristian bado nia ni kitendo !!!!
Kwaiyo kwa Mungu sio dhambi kuwahukumu watu kwania yao mbaya yenye madhara
makubwa π
Ahahahahaha! Siku akinyongwa hadi kufa tutawasiliana! Ahahahahaha!!Wewe mwendawazimu uliyenyang'anywa akili na shetani ili akautumie vizuri, zingatia hili, kwa mapenzi ya Mungu, Lisu atashuhudia msiba wako.
Mambo yakiwa tofauti tufanye je? Mbona mnamtakia Lissu mabaya?Hukumu ya kumnyonga Lissu hadi afe imeshaandikwa na Profesa Kabudi hao wataisoma tu hiyo tarehe 6 November.