Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Mtume ﷺ amesema:Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu?
Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,?
Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta hii kesi?
Na je, kutoa uamuzi kuwa kesi iwe live, nalo ni jambo la kusubiri siku zote hizi?
Nitawaelewa iwapo lengo la kuahirisha hii kesi mpaka Jumatatu ni ili wapate muda wa kutosha kuandika hukumu lakini sio kuendelea na hii kesi kabisa.Mtume ﷺ amesema:
"Majaji ni wa aina tatu: mmoja ataingia Peponi na wawili wataingia Motoni. Yule ambaye ataijua haki na akahukumu kwa haki – huyo yuko Peponi. Lakini yule ambaye ataijua haki na akahukumu kinyume nayo – huyo yuko Motoni. Na yule ambaye akahukumu kwa ujinga, bila elimu – huyo pia yuko Motoni."
(Sunan Abu Dawud, Tirmidhi, Ibn Majah)
👉 Hii inatufundisha kwamba:
Hakimu au kiongozi anapotoa hukumu kwa haki, kwa uadilifu, na kwa ujuzi sahihi – anapata thawabu kubwa na nafasi ya Pepo.
Lakini hakimu anayejua ukweli halafu akapindisha hukumu kwa upendeleo, rushwa au chuki – anakuwa miongoni mwa watu wa Moto.
Pia, hakimu asiye na elimu na akatoa hukumu bila ujuzi – naye anahesabiwa miongoni mwa waliokosea vibaya.
Kwa nini unamchukia Lissu?Ndiyo wanatosha Lissu apunguze kupanic katoa hoja za ajabu sama leo huko mahakamani
Wewe unampenda? Mbona umejifungia chumbani huandamani kwaajili yake?Kwa nini unamchukia Lissu?
Narudia tena kwa nini unamchukia Lissu?Wewe unampenda? Mbona umejifungia chumbani huandamani kwaajili yake?
Narudia tena kama unampenda Lissu kwanini hadi leo hujaandamana kwaajili yake?Narudia tena kwa nini unamchukia Lissu?
Asante!Narudia tena kama unampenda Lissu kwanini hadi leo hujaandamana kwaajili yake?
Son of the bitchNarudia tena kama unampenda Lissu kwanini hadi leo hujaandamana kwaajili yake?
Kumbe na wewe pamoja na Roho yako ya kishetani unafuatlia kesi badala ya kufuatilia Kampeni za umwagaji damu za watu mwenzio ?Ndiyo wanatosha Lissu apunguze kupanic katoa hoja za ajabu sama leo huko mahakamani
Subiri tarehe 29.10.2025Wewe unampenda? Mbona umejifungia chumbani huandamani kwaajili yake?
Tena maza faka kabisaSon of the bitch
Kwahiyo Lissu ateseke hadi tarehe 29/10 huko jela !! Inashindikana nini kuandamana sahivi?Subiri tarehe 29.10.2025