Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

hawa wanaosubiria maelekezo toka kwa waliowateua, watatoshaje? Hawa wa mchongo wanakuwa ni wale wasio na weledi wala sifa, wanapewa hizo nafasi ili wakawe vikaragosi vya aliyewateua. Wenye uwezo na sifa hawapewi kwa sababu hawatakubali kuwa vikaragosi wa kudhulumu haki.
 
Mtume ﷺ amesema:

"Majaji ni wa aina tatu: mmoja ataingia Peponi na wawili wataingia Motoni. Yule ambaye ataijua haki na akahukumu kwa haki – huyo yuko Peponi. Lakini yule ambaye ataijua haki na akahukumu kinyume nayo – huyo yuko Motoni. Na yule ambaye akahukumu kwa ujinga, bila elimu – huyo pia yuko Motoni."
(Sunan Abu Dawud, Tirmidhi, Ibn Majah)

👉 Hii inatufundisha kwamba:

Hakimu au kiongozi anapotoa hukumu kwa haki, kwa uadilifu, na kwa ujuzi sahihi – anapata thawabu kubwa na nafasi ya Pepo.

Lakini hakimu anayejua ukweli halafu akapindisha hukumu kwa upendeleo, rushwa au chuki – anakuwa miongoni mwa watu wa Moto.

Pia, hakimu asiye na elimu na akatoa hukumu bila ujuzi – naye anahesabiwa miongoni mwa waliokosea vibaya.
kwa sheria zipi?
 
Back
Top Bottom