Majaliwa anastahili kuwa kiongozi mkubwa. Ana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya wananchi

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.

Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.

Wadau mnasemaje?
 
Machawa bwana,ndio maana ni PM hiyo ni sehemu ya kazi yake Sasa sijui wewe ulidhani kuwa Kiongozi ni kuwaje Sasa 🤣🤣
 
Ulikuwa na umri gani wakati wa Mzee John Samwel Malecela akiwa Waziri Mkuu?

hakuna PM aliepata kashkash kama huyu Mzee hadi Kambarage akafunga Safari kwenda kuchapisha kitabu Harare cha kumnanga John tena kwa jina

Baba wa Taifa alitunga kitabu cha kumsema PM kutokana na misimamo na ujasiri wake na haijapata kutokea na haitotokea tena

enzi hizo Waziri Mkuu na Makamu wa pili wa Rais Ndugu John Samwel Malecela

Makamu wa kwanza wa Rais Komandoo Salmin

Katibu Mkuu wa Chama Ndugu Horace Kolimba

Hahahah Nyerere alikuwa akifika Msasani anatamani kurudi Butiama akitua Butiama anatamani kurudi Msasani

siku hizi unaangaliaaaa unaishia kusema ' tikiti bovu lipo shambani kwako'

Malecela ndio PM na M/mwnykt bora wa zama zote kwa tafsiri yangu …nmemsikia Ndugai anasema aliitwa na Mzee Malecela akamwambia short and clear kajiuzulu nae anakwambia sawa … hata hakuuliza sababu akaenda kutii Mamlaka …
 
Ulikuwa na umri gani wakati wa Mzee John Samwel Malecela akiwa Waziri Mkuu?

hakuna PM aliepata kashkash kama huyu Mzee hadi Kambarage akafunga Safari kwenda kuchapisha kitabu Harare cha kumnanga John tena kwa jina

Baba wa Taifa alitunga kitabu cha kumsema PM kutokana na misimamo na ujasiri wake na haijapata kutokea na haitotokea tena

enzi hizo Waziri Mkuu na Makamu wa pili wa Rais Ndugu John Samwel Malecela

Makamu wa kwanza wa Rais Komandoo Salmin

Katibu Mkuu wa Chama Ndugu Horace Kolimba

Hahahah Nyerere alikuwa akifika Msasani anatamani kurudi Butiama akitua Butiama anatamani kurudi Msasani
Ume andika taarabu tu iliyo jaa majina bila kueleweka
 
Back
Top Bottom