zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Malecela kwa kipi haswaa wakati Jimboni kwake pamechoka vile?Ulikuwa na umri gani wakati wa Mzee John Samwel Malecela akiwa Waziri Mkuu?
hakuna PM aliepata kashkash kama huyu Mzee hadi Kambarage akafunga Safari kwenda kuchapisha kitabu Harare cha kumnanga John tena kwa jina
Baba wa Taifa alitunga kitabu cha kumsema PM kutokana na misimamo na ujasiri wake na haijapata kutokea na haitotokea tena
enzi hizo Waziri Mkuu na Makamu wa pili wa Rais Ndugu John Samwel Malecela
Makamu wa kwanza wa Rais Komandoo Salmin
Katibu Mkuu wa Chama Ndugu Horace Kolimba
Hahahah Nyerere alikuwa akifika Msasani anatamani kurudi Butiama akitua Butiama anatamani kurudi Msasani
siku hizi unaangaliaaaa unaishia kusema ' tikiti bovu lipo shambani kwako'
Malecela ndio PM na M/mwnykt bora wa zama zote kwa tafsiri yangu …nmemsikia Ndugai anasema aliitwa na Mzee Malecela akamwambia short and clear kajiuzulu nae anakwambia sawa … hata hakuuliza sababu akaenda kutii Mamlaka …
Jembe alikua Edward Moringe Sokoine ndio kwangu ni waziri mkuu aliyekua very strong kuwahi kutokea hii nchi.