Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Huwa anaongea bila kutekeleza. Anaongeaga tu na yanaishia hapo hapoSiamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.
Wadau mnasemaje?