Majaliwa anastahili kuwa kiongozi mkubwa. Ana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya wananchi

Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.

Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.

Wadau mnasemaje?
Huwa anaongea bila kutekeleza. Anaongeaga tu na yanaishia hapo hapo
 
Majaliwa kweli anajua sana kuongoza, tukio la Kkoo limedhihirisha wazi, yaani hadi wafanyabiashara wamefurahi na kupiga makofi kwa furaha sana na kushangilia… Ila mbunge wao wa Ilala Zungu alikataliwa na kuzomewa kabisa..

Majaliwa ana akili sana na ni msaidizi mkubwa kwa Mh. Rais wetu
 
Basically wafanya biashara walitaka kuongea na top level ya uongoz, PM yupo kwenye hilo kundi kumzomea PM ni ngumu

Ila yule mwenyekiti wa wafanyabiashara wafanye kumtoa chapu jana aliacha kupigania wafanyabiashara na kujiokoa yeye nanukuu machache ya maneno yake " anaiomba jeshi la polisi lifanye kazi yake, " kazi ipi????
 
Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.

Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.

Wadau mnasemaje?
Mzee wa Kamati
 
Kwani hapo alipo ni kiongozi mdogo?
 
Wasije tu wakamfitini huyu bwana, ila ingefaa sana aongoze hii nchi. Angetufaa sana sana.
 
Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.

Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.

Wadau mnasemaje?
Kwa sababu ametumwa na Rais kwenda kuwasikiliza wafanyabiashara?
 
Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.

Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.

Wadau mnasemaje?
Ripoti ya tume ya kuungua soko la KK iko wapi? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom