system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Maajabu🤔mtu ni waziri mkuu afu wanaona si mtu mkubwa? only in Tanzania.Kwani sasa sio kiongozi mkubwa?
Machawa bwana,ndio maana ni PM hiyo ni sehemu ya kazi yake Sasa sijui wewe ulidhani kuwa Kiongozi ni kuwaje Sasa 🤣🤣Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.
Wadau mnasemaje?
Naungana na wewe, Kiongozi.Naunga mkono hoja uwezo anao na kipaji anacho.
Labda awe kiongozi wa malaika.Kwani sasa sio kiongozi mkubwa?
Si ajabu kwa Tz, hawa si ndio tukimaliza tu uchaguzi leo wanaanza kuwaza uchaguzi ujao? 🤣Maajabu🤔mtu ni waziri mkuu afu wanaona si mtu mkubwa? only in Tanzania.
Ume andika taarabu tu iliyo jaa majina bila kuelewekaUlikuwa na umri gani wakati wa Mzee John Samwel Malecela akiwa Waziri Mkuu?
hakuna PM aliepata kashkash kama huyu Mzee hadi Kambarage akafunga Safari kwenda kuchapisha kitabu Harare cha kumnanga John tena kwa jina
Baba wa Taifa alitunga kitabu cha kumsema PM kutokana na misimamo na ujasiri wake na haijapata kutokea na haitotokea tena
enzi hizo Waziri Mkuu na Makamu wa pili wa Rais Ndugu John Samwel Malecela
Makamu wa kwanza wa Rais Komandoo Salmin
Katibu Mkuu wa Chama Ndugu Horace Kolimba
Hahahah Nyerere alikuwa akifika Msasani anatamani kurudi Butiama akitua Butiama anatamani kurudi Msasani
huna ulazima wa kuelewa kila kituUme andika taarabu tu iliyo jaa majina bila kueleweka
Mmelichoka hili taifa kiasi mlikabidhi Kwa wasomali?[emoji23][emoji23]Majaliwa Raisi , waziri mkuu Bashe , waziri wa nishati mpe kalemani , alafu fedha niwekee pole pole , nchi lazima itembee