Majaliwa anastahili kuwa kiongozi mkubwa. Ana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya wananchi

Malecela kwa kipi haswaa wakati Jimboni kwake pamechoka vile?

Jembe alikua Edward Moringe Sokoine ndio kwangu ni waziri mkuu aliyekua very strong kuwahi kutokea hii nchi.
 
Majaliwa anaweza kuwa Rais alieshika nyazifa za uwaziri mkuu baada ya Nyerere.
 
Malecela kwa kipi haswaa wakati Jimboni kwake pamechoka vile?

Jembe alikua Edward Moringe Sokoine ndio kwangu ni waziri mkuu aliyekua very strong kuwahi kutokea hii nchi.
Tukitaja Rais bora wa Tanzania ni Nyerere huwa tunaangalia kigezo cha aliyoyafanya Butiama?

Magufuli alikuwa ni Sokoine aliechangamka kwny kuchukia matajiri
 
Si ndo maana nape na makamba walikuwa wanamtaka ajiuzulu kwa kuwa aliibuliwa na jpm na pia alikuwa upande wake .wez walidhan bado wataendelea kubwanwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…