Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

Pole sana.
Mima majambani namafisadi nawaweka kundi moja la wanaostahili kunyongwa.

Mwaka 2013 nilipata ajali nikiwa peke yangu maeneo ya Mlandizi (Barabara/matuta ya Kawambwa).
Nililikwepa lori nililokuwa napishana nalo likiwa kama limekosea njia( yale matuta yanaweza kupoteza muelekeo wa gari), ikabidi nitoke nnje ya barabara na kuingia kichakani.
Nilizimia hapo hapo.
Kuzinduka najikuta nipo Tumbi, na kwa taarifa niliyopewa, kuna wasamaria walinibeba na kunifikisha Tumbi, lakini begi langy la laptop na lililokuwa na docs zangu za contracts fulani za ujenzi zilitoweka.

Nilikosa dili la maana sababu ya incompetence/ufisadi wa Kawambwa kulikopelekea kupata "matuta" badala ya barabara.
 
Daah pole sana Mkuu
 
Weeee

Una njia za maana hivi na huniambiii shoooo
 
Inaaikitisha.
Lakini kwanini usiku wa manane!??
 
Kutumia pikipiki kutoka Dar hadi Rombo (620km) ni kama alijitakia kifo.
Pia kuendesha pikipiki usiku kwenye barabara kuu nayo ni risk ya kujitakia.
Yote kwa yote Mungu amrehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…