KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Watu hawaelewiIkiwa haijakukuta unaona ni sawa tu ila likkukuta unatamani ulipe kisasi kwa kila jamabzi utakayekutana naye
kweli aseeWatu hawaelewi
Mtoto miaka 2, mwanamke u25
Mwamba hajaenda kuiba cha mtu halafu wapuuz fulani tu wanamuondoa?
Inaniuma utadhani namfahamu
Basi bhana
Asante sanaPole sasa kaka angu pole kwa mjane 😢
Asee kumbe mimi ndio nimeusika sasa sijawahi kujuaKwa kilimanjaro nimeskia hizo cases za wizi kwa kutumia waya and sana sana ni njia ya kwenda huko rombo and marangu.....anyway may his soul rest in peace
Mtu anaua mwingine kisa pesa au mali fulan wanawezaje?😭 Mungu niepushe na mwanaume mwenye tamaa na bado hataki kufanya kaziWatu hawaelewi
Mtoto miaka 2, mwanamke u25
Mwamba hajaenda kuiba cha mtu halafu wapuuz fulani tu wanamuondoa?
Inaniuma utadhani namfahamu
Basi bhana
kabisa mKUUKifo ni fumbo
Samahani mkuu, naomba kujua kitu. Hivi hao vibaka wa namna hiyo kwa kidhungu wanaitwa rapists pia???Pole , hao ni vibaka hakuna jambaz anapoteza mda kuiba vitu kama pikipiki.
Aisee ni kweli kabisPolen sana mkuu..(R.I.P).Mchawi ni bora kuliko Majambazi au Vibaka..Jambazi au kibaka mnamaliza papo kwa papo lakini mchawi anakumaliza taraaatibu.Huyo rafiki yake anamengi ya kueleza kaeni naye kwa ukaribu japo pia siku yake ilipangwa iwe hvo.
Utakuta wanahaha kutafuta hao vibaka kumbe kibaka ni huyo jamaa Ake.Polen sana mkuu..(R.I.P).Mchawi ni bora kuliko Majambazi au Vibaka..Jambazi au kibaka mnamaliza papo kwa papo lakini mchawi anakumaliza taraaatibu.Huyo rafiki yake anamengi ya kueleza kaeni naye kwa ukaribu japo pia siku yake ilipangwa iwe hvo.
Alafu watauza 500k, hiyo pikipiki na tayari wameondoa uhai, wameondoa muhimili WA familiaMtu anaua mwingine kisa pesa au mali fulan wanawezaje?😭 Mungu niepushe na mwanaume mwenye tamaa na bado hataki kufanya kazi
sanaInasikitisha sana
Poleni sana
Mmmh sina uhakika maana huyo Rafiki yake ana maisha safi tu kumzidi MarehemuUtakuta wanahaha kutafuta hao vibaka kumbe kibaka ni huyo jamaa Ake.
dadeqAlafu watauza 500k, hiyo pikipiki na tayari wameondoa uhai, wameondoa muhimili WA familia
Pikipiki ilikua aina Gani mkuu??Mmmh sina uhakika maana huyo Rafiki yake ana maisha safi tu kumzidi Marehemu
sina uhakika sana ila ni TVS mwanzoni alikuwa na boxer akauza akanunua hiyo mpya sikuwahi kuionaPikipiki ilikua aina Gani mkuu??
Vitu vingine vinaibiwa sio sababu ya gharama yake, ni Kwasababu ya upekee wake..