Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

Kuna jamaa walitoka na Bima pikipiki London to South Capetown,
Wamepita Libya,Moroco,Sudan,Kenya,Rwanda,kigoma Tunduma,Tukuyu,Kyela,Malawi hao wakazama South.
Ni kweli walitoka wa5 kule London walifika wawili.
"Long Way South"utawakuta humo
 
pole sana mkuu
Japo wanasema ajali hubeba hadi mwenye tahadhari lakini Dar hadi rombo kwa bike ni hatari. Tukiwa vijiweni tukumbushane kuchukua tahadhari
Vijana wa Moshi na Arusha wanabidi wajifunze kuwa afya ni mtaji na Haina mbadala,

Kuna mzee mmoja alitoka na bike rombo to dsm, kufika bagamoyo akapata ajali akakata moto

Last year tuna safari kufika hedaru tukapata ajali tulikaa pale masaa sita maake ilikuwa saa Tisa usiku mpk saa tatu asubuhii ndo tuliondk

Lkn wakati tunasubiri utatuzi machalii walikuwa wanafika pale na bike wakitokeq dsm kwenda huko kaskazini,

Nilikuwa najiuliza km wengine mbn hii ni risk hasa ukizingatia ni umbali mrefu,

Hizi bike wazee so poa
 
Oh maskini hasara,hao majambazi Mungu atawaalani.Kama hujaoa nakushauri muoe huyo mke wa rafiki yako umstiri pamoja na huyo mtoto
 
Hivi kama unaweza kuuwa mtu ili uibe Pikipiki yake kwanini usijiamini kwenda benki na kuiba mapesa kibao huko,,?
 
Kifo kiko busy hakisubili TUMALIZE MISHE MISHE...

Najua maumivu...nakumbuka wimbo wa REMMY ONGALA_KIFO HAKINA HURUMA.

Nakumbuka wimbo wa king crazy Gk__Nitakufaje

R.I.P kamanda..kifo nifumbo kubwa sanaaa sanaa

Ukipata muda sikiliza wimbo wa AFANDE SELE_ NITARUDI NA ROHO YANGU.
 
poleni sana kwa yote Mungu awe mfariji wenu poleni sana
 
umewaza mbali sana Macho anaonekana hahusiki kwa scenario nzima hawezi safiri umbali wote huo marehemu inaonekana alijaribu kupambana nao
 
UPADTE
Pikipiki ilikuwa ni Boxer na alisafiri na Kadi kwa sababu alipata mteja wa Huko Rombo ndio alikuwa anampelekea hiyo pikipiki Mazishi yake ni alahamisi Huko Rombo Useri.
 
Wakati mwingine wanaochoma wezi wanalaumiwa bure Tu, watu Wana maumivu ya kuumizwa ndo kama Haya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…