Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Maisha haya kweli hadi leo hii meli imekuwa rebuilt inatembea kwa 16 knots at full speed?

Kweli meli ni kitu cha kiduanzi, i can't imagine seating on a 14km/h vessel. Yani hata sanlg ukiifunga maboya itaipita speed hio meli. 🤣🤣🤣🤣
 
Nayo isijefika ya kufanyiwa testing ikazama ziwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi inategemea misaada kwa zaidi ya asilimia 40 .... halafu unakuja na miradi mingi hivyo kwa kutumia pesa za ndani na mikopo. Inaelekea Yohana hakuwahi kufanya biashara hata zile za vitumbua, mandazi na karanga zilizokuwa zinafanywa na walimu enzi zile!!

The truth is Tanzania haina pesa wala uwezo wa kusupport miradi mingi mikubwa kama hiyo kwa wakati moja!!
 
Chadema na Act ya Zitto ni vyama vya upinzani lazima waikosoe serikali kwa kuleta mawazo mbadala usitegemee wataisifia serikali, ndio maana wanaitwa wapinzani.

Chadema na Zitto hawastahili kufanyiwa haya unayoshauri,hawana hatia wanatekeleza tu majukumu yao kama vyama vya upinzani.
 
Meli ya Butiama majaribioni


​
Propaganda zimezidi awamu hii ......... yaani kila shirika nina TV station yake ..............!!? Kwani TBC hawawezi kutuelezea hayo mafanikio mpaka kila shirika lijitangaze?? Mara meli TV, mara Reli TV ..... Kazi kweli kweli!!
 
Acha uongo wewe nani kakwambia mradi wa SGR umekwama,mradi unaendelea kama kawaida kwa sisi tulioko huku TZ labda kama wewe upo ughaibuni,meli za zinaendelea kukarabatiwa zile zama zamani MV Victoria na Mv Butiama zimeshamalizwa ukarabati wake.Kuhusu meli mpya Mv Mwanza injini zake mbili zimeshafika mwanza na kwa mkataba ulivyosainiwa 2021 mwanzoni ndio wanakamilisha.Bwawa la Umeme ujenzi unaendelea kama kawaida.Ujenzi wa barabara unaendelea kama kawaida huko katavi unaposema kuja Tabora sema mvua zilizonyesha kuanzia mwishoni wa mwaka jana ndio mpaka mwaka huu ndio zilileta shida,kwa upande wa Kigoma kuanzia Kakonko,kasulu mpaka Manyovu ujenzi unaanza soon wakandarasi wapo site wanafanya logistic ya kukusanya vifaa.Tanzania inasonga mbele kwa sasa under JPM pamoja ma mapungufu ya hapa na pale kama binadamu
 
ukikua utaacha
 
Miradi yote ya Nchi huwa ni ya Serikali sio Mtu binafsi,hivyo ikikwama umma ndio una hasara sio Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…