Majanga ya Asili: Tukafanye utafiti kwa Wahadzabe na wanaofanana nao ili tufahamu jinsi wanavyotambua majanga haya kabla hayajatokea?

Hanang'
 


Nimeenda kwa Wa Hadzabe, Datoga mpaka huko ndani camping siku 10 na kula nyama ya nyani,

Hawana lolote wanalojua au kutabiri, wamezoea tu tabu....
 
Pascal,Naunga kabisa hoja hii mkono ya kutumia makabila tajwa ya asili katika kubaini majanga.
 
Mtindiga ni muwindaji hivyo akiwaona wanyama wanakimbilia kusini naye atawafuata, poshomlima. Moshi ulioonekana ulitokana na jotoardhi baada ya kreta kujaa maji na kupasuka kutokana na ukosefu wa miti mlimani, na mawe yalipoanza kuporomoka kwa kasi na kugongana yalisababisha cheche ambazo kwenye giza zilionekana kama moto na kwakua kunajulikana kuna volukano wakazi wakajua ni hiyo, na kishindo hutokea majabali yanapobingilia kwa kasi inayoongezeka kila jiwe libingiliopo, waliosoma phizikia wanalijua hilo.
Mwisho kwa nyongeza tu, waziri mkuu amepokelewa huko na badala ya kwenda kumpa maelezo eneo la tukio walimpeleka ukumbini kwa ajili ya kumpa maelezo! Huwa hatujipangi na ni wazito wa kufikiri.
 
Maana ya ishara nini? Soma Kutoka 4 mstari wa 9 kwenye biblia ndiyo utaelewa maana ya ishara mkuu
Kwahyo Mfano Mwezi wa sita ni msimu wa Jua kali na ukame kabsa hakuna Mvua yoyote unataka Ng'ombe agundue ujio wa radi ?

Na hata akigundua kwahiyo unatak ng'ombe aanze kuikimbia radi ya mwezi wa 12 kuanzia mwezi wa 6 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…