Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Sijui kwa nini watanzania hatupendi kuwekeza kwenye taarifa!

Lawama zoote hIzi ulizotoa kwa malori ungalikuwa na taarifa sahihi , pengine ungekaa kimya uishangae serikali na maamuzi yake.

If you honestly thought Our sgr , will make impact on lorry operational structure , think again, serkali haikufanya utafiti vizuri juu ya wapi hasa Sgr ingeleta impact , huko ilipoelekezwa hakuna traffic ya mizigo ndo sababu lori zinaendelewa kununuliwa kila uchwao.
 
Muda ni rafiki mzuri sana kwani mbivu na mbichi huja pamoja kwa wakati sahihi.
 
Nani amekwambia hicho ni kichwa cha TRC?kila siku ufafanuzi unatolewa bado tuu amuelewi.Vichwa vya SGR vinatengenzwa Korea now.Hicho ni kwa ajili ya majaribio tuu daah.Nenda sabasaba ukapate ufafanuzi kwenye banda lao
Hakuna kitu kama hicho, lazima utest na kitu halisi, hapo wanaume wamepiga cha kwao
 
Huko SGR inakojengwa Kuna malori mengi Sana yanakwenda huko. Mizigo mingi ya Drc, Rwanda, Burundi na Uganda inapitia central corridor. I still stick to my point kwamba walio wengi Serikalini hawataki hii kitu ifanikiwe.
Dar to Moro is less than 200km. Iweje section hii kiduchu ichukue zaidi ya miaka 5 kukamilika kwa teknolojia ya 21st century, wakati mjerumani kwa teknolojia ya early 20th century aliweza kupiga Hadi Kigoma kipindi hakuna hata ramani kwa miaka 6.

5 years Dar Moro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…