Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Sasa hapa si unaaibisha mabwana zako wewe Sikirimimimasikini .

Yani mwanamama kaja kapiga na kaondoka wao wamelala usingizi? Siku nyingine atawatia vidole kabisa kuweni makini
Halafu cha ajabu kawapiga kwao,yaani ndani ya Urusi. Israel hua anatibua mipango ya majasusi wa Iran dhidi ya raia wa Israel Nje ya mipaka ya Israel kama vile Uturuki lakini Urusi inashindwa mpk inapigwa tukio nchini mwake tena na taasisi dhaifu ya ujasusi kama ya Ukraine!!!!!
 
Mpaka Sasa Russia haijatarget decision makers huko Kyiv,yajayo yanafurahisha!
 
Hahahaha acha wajipe Moyo,huyo usikute ss hv yeye na familia yake washahamishiwa USA na watapata Ulinzi wa CIA na FBI kwa maisha Yao yote. Sio rahisi kama unavyodhani
Ndugu hakuna cha bure dunia hii,yaa hilo tukio tu ndio apewe yoote hayo?
 
Unaishi Dunia gani?Huko Israel Miezi michache tu kulikuwa na wimbi la kushambuliwa waisrael Kwa risasi,visu NK!
Ujasusi wao ulikuwa wapi mpaka wapalestina wanaingia na silaha na kuwadhuru?
 
Hakuna mtoto alouliwa wala mja mwepesi yeyote
Hizo propaganda za bei rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishi Dunia gani?Huko Israel Miezi michache tu kulikuwa na wimbi la kushambuliwa waisrael Kwa risasi,visu NK!
Ujasusi wao ulikuwa wapi mpaka wapalestina wanaingia na silaha na kuwadhuru?
Waisrael matukio ya kuchomwa visu na wapalestina sio jana wala Leo na hayataisha Leo wala kesho.
Je kuna tukio ambalo majasusi wa nchi nyingine adui (mf.Iran) iliwahi fanya Israel kutumia majasusi na wakafanikiwa kutoka salama?!
Israel kashafanya operation kibao ndani ya Iran,je kuna siku jasusi wake alishawahi dakwa na Iran?!
 
Unaishi Dunia gani?Huko Israel Miezi michache tu kulikuwa na wimbi la kushambuliwa waisrael Kwa risasi,visu NK!
Ujasusi wao ulikuwa wapi mpaka wapalestina wanaingia na silaha na kuwadhuru?
Na waisrael wengi hasa wanajeshi hua wanachomwa visu kule Gaza sio Jerusalem wala Tel aviv
 
alaf saiz urusi ikizitungua Tanzania tunaweza kukinukisha mpaka warusi wakaomba pooo.
tumedanganywa sana eti urusi jeshi lao hatar kumbe hata jwtz inaweza wagonga vizur
 
Bomu lilipaswa limuondoe Putin moja kwa moja,

Nextime mlengwa atafikiwa tu.
Inasemekana walilenga kumuua baba yake huyo binti ambaye ni rafiki na mshauri wa putini walitumia gari moja na binti yake kwenda kwenye festival huko Moscow. Inasemekana wakati wa kuondoka mzee alitumia usafiri mwingine then binti ndio akakutana nacho
 
Jasusi hata akikamatwa inafanywa Siri,anaminywa kende mpaka aseme kila kitu na mwishowe anakuwa neutralized!Huko Iran,wameshakamatwa majasusi wengi tu,Kuna wamarekani na waingereza wameshakamatwa Iran Kwa ujasusi!Sema Huwa wanalipa price kubwa,Tena hao ni wale ambao wamejisikia kutangaza!Vipi wale ambao wanaminywa kimya kimya?
Na waisrael wengi hasa wanajeshi hua wanachomwa visu kule Gaza sio Jerusalem wala Tel aviv
Hata huko Jerusalem na Tell Aviv,wapalestina walishaingia na kuua waisrael!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…