Ndio maana nimefuta posti zangu zote za matusi, I am really sorrySioni la maana watu kutukanana na kuvinjia heshima wazazi tujitahidi kuwa wastaraabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nimefuta posti zangu zote za matusi, I am really sorrySioni la maana watu kutukanana na kuvinjia heshima wazazi tujitahidi kuwa wastaraabu
Kwani kilichokufanya uanze kutukana Ni Nini?Kuambiwa unaishi bwawa la mavi(Lemara,Arusha) au kulikua na inshu gani hasa?Ndio maana nimefuta posti zangu zote za matusi, I am really sorry
Afadhalu mkuu kumbe wewe una akili. Ndiyo maana Ukraine mapema wametaka kujitenga na hiki.Hapo Ukraine kajipalia Kaa la moto,huko Kyiv watu washaanza kuondoka!Kifuatacho kitawafurahisha Kyiv!
Hata atoke nje ya ulaya,atapatikana tu!ebu angalia mvt za huyo , ana back kubwa sana so kila kitu kimepangwa usidhani maeneo ya wakubwa kama hayo yatakosa cctv na ndio maana karudia kupitia nchi mshirika wa NATO ili iwe vigumu kumfuata , kipind wanafikiria kumfuatalia mdada atakuwa ashatoka nje ya ulaya tyr
hizi maneno mmeanza sema toka 2014 mlipo ichukua crimea ajab mpaka leo hakuna hatua yoyote mliyo chukua licha ya kipondo mnacho endelea kupewaHapo Ukraine kajipalia Kaa la moto,huko Kyiv watu washaanza kuondoka!Kifuatacho kitawafurahisha Kyiv!
Kyiv ikianza kupigwa cruise missile msije humu kulalamika!hizi maneno mmeanza sema toka 2014 mlipo ichukua crimea ajab mpaka leo hakuna hatua yoyote mliyo chukua licha ya kipondo mnacho endelea kupewa
Hiyo michezo IPO kitambo sana kitu tunachoangalia ni jinsi gani utaweza kugundua mapema ugaidi kama utafanyika hii ndiyo karata kubwa Kwa nchi za magharibi ni ule uwezo wa mashirika Yao ya kijasusi kugundua hatari mapema kabla ya maafa..SASA tukirudi Kwa upande wa Russia Kwa hivi SASA haina utulivu kwasababu ya hii vita kwahiyo inakuwa rahisi Kwa magaidi kujipenyeza na kufanya uhalifu.Unajua Ugaidi ni mbinu za watu dhaifu dhidi ya wenye nguvu?
Unajua USA na west wanapinga Ugaidi Dunia nzima?
Unajua wamezilazimisha nchi nyingi duniani kuweka kwenye katiba zao sheria za kuzuia Ugaidi?,
na ni sheria hatari sana?
Unajua waasi wa Chechen walikua wanafadhiriwa na west hasa USA kufanya Ugaidi nchini Urusi?
Unajua Nini kiliwapata na wako wapi hivi Sasa Aslan mashkadov na Bashir yanayev?
Vipi Urusi nae aliamua kuwapa msaada magaidi wengine dhidi ya west?
Nyinyi bado amna akili ushindani wa hizo nchi ni manufaa kwetu waafrica mnaona sasa hivi nchi za magharibi zinavyo tenga mabilioni ya pesa kwa africa ili kujenga ushawishi ...hivyo sasa ni nafasi yetu waafrica kutamba maana walikuwa wanatunyonya bila kujali chochoteLingemuondoa Putin ningekesha Bar
Mission failed...tumia akiliSo what? Mission accomplished! Hilo ndio la muhimu!
Russia kwenye mauaji ya hivyo yupo vizuri sasa serikali ya ukrain imefungulia yenyewe mauaji ya viongozi wa serikali na familia zao subirini kidogo mtajuaHahaha pro Russia wanateseka sana.
Kwanza huu waweza kuwa uzushi yaani wafuatolie hizo footage zote na wasimkamate?
Russia aikulenga kuua viongozi wa kisiasa ukrain ila kwa sasa mtasikia tuHahahaha Russia watafanya kipi cha ajabu hapo Kyiv ambacho hakijafanyika mpk ss?! Washapiga mabomu mpk kwenye maternity hospitals wajawazito na watoto wakafa ss wao huyo mmoja tu roho zinawauma. Kumbe mkuki kwa nguruwe Ila Kwa binadamu mchungu....shikamoo wahenga
She is smart nilisoma naeKama hawajamkamata? Basi alikiwa smart.
Sawa bachelor II. Hongera kwake.She is smart nilisoma nae
Mkuu narudia alijaribu lakini alishindwaaa kama anavyoelekea kushindwa Crimea sasahivi, alitishia nuclear pia lakini alishindwa, elewa hivyo..,!Urusi anaweza kushambulia Kyiv akiwa Donbas au hata akiwa ndani ya Urusi!Sasa wewe unaleta porojo gani?
Russia wamebaini mambo mingi lakingi wameshindwa kuchukua hatua, Urusi hamna kitu ni debe tupu tu kama walivyo ChinaShirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.
Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi kimechapisha video iliyokusanya matukio kadhaa ikimuonesha raia wa Ukraine wa kike kwa jina la Natalya Vovk akiingia Urusi na mtoto wake wa kike (teenager), akiingia pia kwenye jengo alilokuwa akiishi Darya (mwandishi wa habari aliyeuawa), kisha ikimuonesha akiondoa kwa haraka mno mara baada ya bomu kulipuka na kumuua Darya.
Binti huyo muuaji aliingia Urusi July 23 akiwa na gari lenye number plate ya Jamuhuri ya Watu wa Donetsk (ili kukwepa kuchunguzwa zaidi), alipokuwa Urusi akabadili na number plate ya Kazakhstan, nchi rafiki ya Urusi. Baada ya shambulio, siku ya jumapili (19 August) akaondoka Urusi kuelekea Estonia akitumia number plate ya Ukraine. Binti huyo ni askari ktk kikosi cha neo-Nazi Azov Regiment.
Ikumbukwe kuwa Ukraine iliwahi kujitenga haraka haraka na shambulio hilo baada ya kutokea.
====
Asante saanaSawa bachelor II. Hongera kwake.
Hebu tueleze,anaelekeaje kushindwa Crimea?Hivi hujui au ni kujitoa ufahamu kwamba ameshashambulia maeneo kadhaa ya Kyiv akirusha makombora kutoka majini na Donbas?Hujui ameshashambulia mpaka Lyviv ambayo Iko mbali zaidi kuliko Kyiv?Mkuu narudia alijaribu lakini alishindwaaa kama anavyoelekea kushindwa Crimea sasahivi, alitishia nuclear pia lakini alishindwa, elewa hivyo..,!
Narudia tena, Mkuu naomba uelewe Russia alipovamia Ukraine kwa mara ya kwanza alianzia na Donbas kwa kutokea Belarus akaelekea Kyiv baada ya kushindwa Kyiv ndio amerudia Donbas ambako ana strugle hivi sasa anafurushwa karibu miji yote ikiwemo Crimea ambayo kabla Ukrean hawakuwa na matumaini na Crimea.Hebu tueleze,anaelekeaje kushindwa Crimea?Hivi hujui au ni kujitoa ufahamu kwamba ameshashambulia maeneo kadhaa ya Kyiv akirusha makombora kutoka majini na Donbas?Hujui ameshashambulia mpaka Lyviv ambayo Iko mbali zaidi kuliko Kyiv?
Sasa aliamua kumwaga mabomu mfululizo huko Kyiv,hapatakalika!
Kwanza baadhi ya wa Ukraine wameshaona hatari iliyoko mbele Yao,wameanza kuondoka Kyiv!
Endeleeni kusubri,halafu Russia kila siku anaadvance!Narudia tena, Mkuu naomba uelewe Russia alipovamia Ukraine kwa mara ya kwanza alianzia na Donbas kwa kutokea Belarus akaelekea Kyiv baada ya kushindwa Kyiv ndio amerudia Donbas ambako ana strugle hivi sasa anafurushwa karibu miji yote ikiwemo Crimea ambayo kabla Ukrean hawakuwa na matumaini na Crimea.
Muda utasema majeshi ya urusi wanajijeruhi wenyewe miguuni kwa risasi ili waondoshwe vitani ngomba ngumu hawakutegemea