Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Hapo Ukraine kajipalia Kaa la moto,huko Kyiv watu washaanza kuondoka!Kifuatacho kitawafurahisha Kyiv!
Afadhalu mkuu kumbe wewe una akili. Ndiyo maana Ukraine mapema wametaka kujitenga na hiki.
Hapa Russia wanapata justification ya kuwafanya na wao waanze kudeal na inner circle ya Ukraine in the same way. You know nini kitawakuta
 
ebu angalia mvt za huyo , ana back kubwa sana so kila kitu kimepangwa usidhani maeneo ya wakubwa kama hayo yatakosa cctv na ndio maana karudia kupitia nchi mshirika wa NATO ili iwe vigumu kumfuata , kipind wanafikiria kumfuatalia mdada atakuwa ashatoka nje ya ulaya tyr
Hata atoke nje ya ulaya,atapatikana tu!
Mtu wamepanga naye Kwa zaidi ya mwezi mmoja kwenye jengo Moja!IIweje siku anatega bomu ni siku ambayo walikuwa wasafiri na baba yake?So target hakuwa huyo Binti!
 
Hapo Ukraine kajipalia Kaa la moto,huko Kyiv watu washaanza kuondoka!Kifuatacho kitawafurahisha Kyiv!
hizi maneno mmeanza sema toka 2014 mlipo ichukua crimea ajab mpaka leo hakuna hatua yoyote mliyo chukua licha ya kipondo mnacho endelea kupewa
 
Unajua Ugaidi ni mbinu za watu dhaifu dhidi ya wenye nguvu?

Unajua USA na west wanapinga Ugaidi Dunia nzima?

Unajua wamezilazimisha nchi nyingi duniani kuweka kwenye katiba zao sheria za kuzuia Ugaidi?,
na ni sheria hatari sana?

Unajua waasi wa Chechen walikua wanafadhiriwa na west hasa USA kufanya Ugaidi nchini Urusi?
Unajua Nini kiliwapata na wako wapi hivi Sasa Aslan mashkadov na Bashir yanayev?
Vipi Urusi nae aliamua kuwapa msaada magaidi wengine dhidi ya west?
Hiyo michezo IPO kitambo sana kitu tunachoangalia ni jinsi gani utaweza kugundua mapema ugaidi kama utafanyika hii ndiyo karata kubwa Kwa nchi za magharibi ni ule uwezo wa mashirika Yao ya kijasusi kugundua hatari mapema kabla ya maafa..SASA tukirudi Kwa upande wa Russia Kwa hivi SASA haina utulivu kwasababu ya hii vita kwahiyo inakuwa rahisi Kwa magaidi kujipenyeza na kufanya uhalifu.

Russia sio malaika mwisho wa siku atachemka Tu kama safar ya vita tunavyoiona
 
Lingemuondoa Putin ningekesha Bar
Nyinyi bado amna akili ushindani wa hizo nchi ni manufaa kwetu waafrica mnaona sasa hivi nchi za magharibi zinavyo tenga mabilioni ya pesa kwa africa ili kujenga ushawishi ...hivyo sasa ni nafasi yetu waafrica kutamba maana walikuwa wanatunyonya bila kujali chochote
 
Hahahaha Russia watafanya kipi cha ajabu hapo Kyiv ambacho hakijafanyika mpk ss?! Washapiga mabomu mpk kwenye maternity hospitals wajawazito na watoto wakafa ss wao huyo mmoja tu roho zinawauma. Kumbe mkuki kwa nguruwe Ila Kwa binadamu mchungu....shikamoo wahenga
Russia aikulenga kuua viongozi wa kisiasa ukrain ila kwa sasa mtasikia tu
 
Urusi anaweza kushambulia Kyiv akiwa Donbas au hata akiwa ndani ya Urusi!Sasa wewe unaleta porojo gani?
Mkuu narudia alijaribu lakini alishindwaaa kama anavyoelekea kushindwa Crimea sasahivi, alitishia nuclear pia lakini alishindwa, elewa hivyo..,!
 
Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.

Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi kimechapisha video iliyokusanya matukio kadhaa ikimuonesha raia wa Ukraine wa kike kwa jina la Natalya Vovk akiingia Urusi na mtoto wake wa kike (teenager), akiingia pia kwenye jengo alilokuwa akiishi Darya (mwandishi wa habari aliyeuawa), kisha ikimuonesha akiondoa kwa haraka mno mara baada ya bomu kulipuka na kumuua Darya.

Binti huyo muuaji aliingia Urusi July 23 akiwa na gari lenye number plate ya Jamuhuri ya Watu wa Donetsk (ili kukwepa kuchunguzwa zaidi), alipokuwa Urusi akabadili na number plate ya Kazakhstan, nchi rafiki ya Urusi. Baada ya shambulio, siku ya jumapili (19 August) akaondoka Urusi kuelekea Estonia akitumia number plate ya Ukraine. Binti huyo ni askari ktk kikosi cha neo-Nazi Azov Regiment.

Ikumbukwe kuwa Ukraine iliwahi kujitenga haraka haraka na shambulio hilo baada ya kutokea.
====

Russia wamebaini mambo mingi lakingi wameshindwa kuchukua hatua, Urusi hamna kitu ni debe tupu tu kama walivyo China
 
Mkuu narudia alijaribu lakini alishindwaaa kama anavyoelekea kushindwa Crimea sasahivi, alitishia nuclear pia lakini alishindwa, elewa hivyo..,!
Hebu tueleze,anaelekeaje kushindwa Crimea?Hivi hujui au ni kujitoa ufahamu kwamba ameshashambulia maeneo kadhaa ya Kyiv akirusha makombora kutoka majini na Donbas?Hujui ameshashambulia mpaka Lyviv ambayo Iko mbali zaidi kuliko Kyiv?
Sasa aliamua kumwaga mabomu mfululizo huko Kyiv,hapatakalika!
Kwanza baadhi ya wa Ukraine wameshaona hatari iliyoko mbele Yao,wameanza kuondoka Kyiv!
 
Hebu tueleze,anaelekeaje kushindwa Crimea?Hivi hujui au ni kujitoa ufahamu kwamba ameshashambulia maeneo kadhaa ya Kyiv akirusha makombora kutoka majini na Donbas?Hujui ameshashambulia mpaka Lyviv ambayo Iko mbali zaidi kuliko Kyiv?
Sasa aliamua kumwaga mabomu mfululizo huko Kyiv,hapatakalika!
Kwanza baadhi ya wa Ukraine wameshaona hatari iliyoko mbele Yao,wameanza kuondoka Kyiv!
Narudia tena, Mkuu naomba uelewe Russia alipovamia Ukraine kwa mara ya kwanza alianzia na Donbas kwa kutokea Belarus akaelekea Kyiv baada ya kushindwa Kyiv ndio amerudia Donbas ambako ana strugle hivi sasa anafurushwa karibu miji yote ikiwemo Crimea ambayo kabla Ukrean hawakuwa na matumaini na Crimea.

Muda utasema majeshi ya urusi wanajijeruhi wenyewe miguuni kwa risasi ili waondoshwe vitani ngomba ngumu hawakutegemea
 
Narudia tena, Mkuu naomba uelewe Russia alipovamia Ukraine kwa mara ya kwanza alianzia na Donbas kwa kutokea Belarus akaelekea Kyiv baada ya kushindwa Kyiv ndio amerudia Donbas ambako ana strugle hivi sasa anafurushwa karibu miji yote ikiwemo Crimea ambayo kabla Ukrean hawakuwa na matumaini na Crimea.

Muda utasema majeshi ya urusi wanajijeruhi wenyewe miguuni kwa risasi ili waondoshwe vitani ngomba ngumu hawakutegemea
Endeleeni kusubri,halafu Russia kila siku anaadvance!
Sasa huko Kyiv tayari US wameshawaambia raia wao waondoke na wako mbioni kufunga ubalozi!Yajayo yanafurahisha!Ukraine kafanya makosa makubwa sana kurusha drone yenye bomu Crimea!Pia wakakosea Tena Kwa kumuua mwandishi wa Russia Kwa Bomu!Hiyo ndiyo imekuwa game changer,Sasa Russia hataki kucheka na kima!Amewapeleka mdogo mdogo kuepusha maafa makubwa!Sasa ameona mnachezea sharubu za Simba!Wiki hii mtapoteana humu!Mtaanza Julia war crimes!
 
Urusi wanatumia vitu vibaya sana kuwadhuru na kuwateketeza watu kwa kutumia mbinu za ujasusi.

Waingereza wana mbinu zao mfano kama Diana breki wanazichakachua ili ionekane ni ajali kama ajali nyengine zitokeavyo.

Assume binadamu anatumia polonium. Ni radioactive material. Ni sumu!

Mnamkumbuka Alexander Litvinenko? Ni former Soviet spy. Alidhuriwa na radioactive substance ambayo ni sumu; ni Polonium. Na ni baada ya kunywa chai kumbe iliwekwa humo. Alifia hospitali jijini London.

Kuna mmoja alikuwa ni mwandishi wa habari alikimbilia England. Alikuwa anainanga sana Soviet. Siku moja nyakati ya mvua ilikuja mabasi yao makubwa huko London, raia wakaliwahi basi ili wasiloe.

Kwenye purukusahani za kugimbania ili kuepuka kuloa kugongana hapa na pale hakukosekani. Huyu jamaa kuna raia mwenzake kwa bahati mbaya alimchoma kidogo tu kwa ncha ya mwamvuli. Jamaa akamuomba radhi mshikaji hakujali akaona ni bahati mbaya. Kumbe looh! Kazi ikawa ndiyo imeisha.

Baada ya hapo akawa anajihisi mgonjwa baada ya vipimo kwa kina nae anasumu mwilini mpaka madaktari wanamshangaa kaitolea wapi au ni mazingira ama tukio gani kumfanya apate hayo madhara!

Baadae anakuja kukumbuka alichomwa na mwamvuli. Kazi ikawa ndiyo imeisha hiyo!

Namuonea huruma huyu mama na mwanae na ndugu zake kwa ujumla pamoja na marafiki. Russia wakilivalia njuga huyu mama ataumia vibaya Sana: Na ujinga wa Warusi wanakupa sumu ambayo madhara yake unayashudia wewe mwenyewe! Unakufa huku unajiona mateso unayopitia.
 
Back
Top Bottom