Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Kuna kipindi viongozi wa Kirusi walitekwa na magaidi. Russia wakafanya mawasiliano na magaidi na kuwataka wawaachie. Magaidi wakakataa! Ili kuonyesha wapo serious mmoja wa mateka wa Kirusi akauliwa.
Kilochofuatia magaidi wakawa wanashangaa wanapokea zawadi zilizofungwa tofauti tofauti kuangalia ndani wanaona viungo vya binadamu. Leo utumbo, kesho vidole n.k Mwisho wa siku wakapokea vichwa kabisa! Magaidi kuangalia ni ndugu zao.
Wakatumiwa ujumbe unaosema; wanafahamu watu wao wa karibu na koo zao zote za hao magaidi walipo. Wachague: (1) Wakae na mateka wa Kirusi au (2) Waendelee kupokea zawadi za viungo vya miili ya ndugu zao ambao tayari watakua ni maiti (?)
Mateka wa Kirusi wakaachiwa huru! Na zunguka kote huwezi kuona Russia wanasumbuliwa na magaidi kama ISIS na kama hao nchini mwao kama zisumbuliavyo nchi za kimagharibi. Kwa sababu magaidi wenyewe wanajua ya kuwa mzungu aina ya Russia ukimletea umafia akikuvalia njuga umafia wake unashitukiza zaidi.
Na mimi kilichoniweka hoi unamuua binadamu mwenzako kwa radioactive material?!