Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Kuna kipindi viongozi wa Kirusi walitekwa na magaidi. Russia wakafanya mawasiliano na magaidi na kuwataka wawaachie. Magaidi wakakataa! Ili kuonyesha wapo serious mmoja wa mateka wa Kirusi akauliwa.

Kilochofuatia magaidi wakawa wanashangaa wanapokea zawadi zilizofungwa tofauti tofauti kuangalia ndani wanaona viungo vya binadamu. Leo utumbo, kesho vidole n.k Mwisho wa siku wakapokea vichwa kabisa! Magaidi kuangalia ni ndugu zao.

Wakatumiwa ujumbe unaosema; wanafahamu watu wao wa karibu na koo zao zote za hao magaidi walipo. Wachague: (1) Wakae na mateka wa Kirusi au (2) Waendelee kupokea zawadi za viungo vya miili ya ndugu zao ambao tayari watakua ni maiti (?)

Mateka wa Kirusi wakaachiwa huru! Na zunguka kote huwezi kuona Russia wanasumbuliwa na magaidi kama ISIS na kama hao nchini mwao kama zisumbuliavyo nchi za kimagharibi. Kwa sababu magaidi wenyewe wanajua ya kuwa mzungu aina ya Russia ukimletea umafia akikuvalia njuga umafia wake unashitukiza zaidi.

Na mimi kilichoniweka hoi unamuua binadamu mwenzako kwa radioactive material?!
 
Si wajeda wa Ukraine wanawatumia kama ngao!
hao wanajeshi wa Ukraine wamewai rusha hata jiwr ndani ya Urusi ? aliachiwa Crimea anataka nn tena ? shabikia ila yakukuta utaelewa kwann ulipata div 0
 
Afadhalu mkuu kumbe wewe una akili. Ndiyo maana Ukraine mapema wametaka kujitenga na hiki.
Hapa Russia wanapata justification ya kuwafanya na wao waanze kudeal na inner circle ya Ukraine in the same way. You know nini kitawakuta
kwan justification ya kuvamia ukraine waliitoa wap ? nyiny watu ndo wale machiz 3/4
 
Hata atoke nje ya ulaya,atapatikana tu!
Mtu wamepanga naye Kwa zaidi ya mwezi mmoja kwenye jengo Moja!IIweje siku anatega bomu ni siku ambayo walikuwa wasafiri na baba yake?So target hakuwa huyo Binti!
wameshindwa kumshika ndan ya nchi yao , watawezaj huko nje kwa maadui zao ? huyo dada inaeza pia ikawa mtego wa kuwajua majasusi wa Urusi ktk sehem husika
 
Nyinyi bado amna akili ushindani wa hizo nchi ni manufaa kwetu waafrica mnaona sasa hivi nchi za magharibi zinavyo tenga mabilioni ya pesa kwa africa ili kujenga ushawishi ...hivyo sasa ni nafasi yetu waafrica kutamba maana walikuwa wanatunyonya bila kujali chochote
pesa zenyew unaishia kuzisoma tu mtandaoni wanakula wachache
 
Russia kwenye mauaji ya hivyo yupo vizuri sasa serikali ya ukrain imefungulia yenyewe mauaji ya viongozi wa serikali na familia zao subirini kidogo mtajua
kwan hawaja ua mpk sasa ?au ushakuwa kichaa tyr ?
 
hao wanajeshi wa Ukraine wamewai rusha hata jiwr ndani ya Urusi ? aliachiwa Crimea anataka nn tena ? shabikia ila yakukuta utaelewa kwann ulipata div 0
Mpaka Leo Inamaana sababu za vita hazijaeleweka?Una Kichwa kigumu!
 
Urusi wanatumia vitu vibaya sana kuwadhuru na kuwateketeza watu kwa kutumia mbinu za ujasusi.

Waingereza wana mbinu zao mfano kama Diana breki wanazichakachua ili ionekane ni ajali kama ajali nyengine zitokeavyo.

Assume binadamu anatumia polonium. Ni radioactive material. Ni sumu!

Mnamkumbuka Alexander Litvinenko? Ni former Soviet spy. Alidhuriwa na radioactive substance ambayo ni sumu; ni Polonium. Na ni baada ya kunywa chai kumbe iliwekwa humo. Alifia hospitali jijini London.

Kuna mmoja alikuwa ni mwandishi wa habari alikimbilia England. Alikuwa anainanga sana Soviet. Siku moja nyakati ya mvua ilikuja mabasi yao makubwa huko London, raia wakaliwahi basi ili wasiloe.

Kwenye purukusahani za kugimbania ili kuepuka kuloa kugongana hapa na pale hakukosekani. Huyu jamaa kuna raia mwenzake kwa bahati mbaya alimchoma kidogo tu kwa ncha ya mwamvuli. Jamaa akamuomba radhi mshikaji hakujali akaona ni bahati mbaya. Kumbe looh! Kazi ikawa ndiyo imeisha.

Baada ya hapo akawa anajihisi mgonjwa baada ya vipimo kwa kina nae anasumu mwilini mpaka madaktari wanamshangaa kaitolea wapi au ni mazingira ama tukio gani kumfanya apate hayo madhara!

Baadae anakuja kukumbuka alichomwa na mwamvuli. Kazi ikawa ndiyo imeisha hiyo!

Namuonea huruma huyu mama na mwanae na ndugu zake kwa ujumla pamoja na marafiki. Russia wakilivalia njuga huyu mama ataumia vibaya Sana: Na ujinga wa Warusi wanakupa sumu ambayo madhara yake unayashudia wewe mwenyewe! Unakufa huku unajiona mateso unayopitia.
jarib kuingia hata kenya uue na utoke hlf uje utuambie nan mjing kati yako na huyo mama , yaan ww uyaone hayo ila huyo mama asiyaone hayao wkt kaweza kuingia Urusi na kutoka bila kushikwa
 
wameshindwa kumshika ndan ya nchi yao , watawezaj huko nje kwa maadui zao ? huyo dada inaeza pia ikawa mtego wa kuwajua majasusi wa Urusi ktk sehem husika
Unafeli sana,muda utaongea!Hata Osama aliwafanya kitu mbaya US,wakamtamfuta miaka nenda Rudi wakaja kumuua!Aliyekuwa msaidizi wa Osama na baada ya Osama kufariki akawa kwenye top list ya most wanted US,amekuja kuuwawa baada ya miaka 20!
Kama wasipomuua waliomtuma,basi ipo siku atapata haki yake!
 
Mpaka Leo Inamaana sababu za vita hazijaeleweka?Una Kichwa kigumu!
lete sabab zeny akili na sio hoja za NATO maana ntakuuliza kwann hajavamia Latvia na Estonia , ukiniambia swala la kujitenga ntakuuliza kwann yeye aliwaua chen chen na hakuwapa uhuru , so toa sabab zenye utimamu na sio udaku
 
Endeleeni kusubri,halafu Russia kila siku anaadvance!
Sasa huko Kyiv tayari US wameshawaambia raia wao waondoke na wako mbioni kufunga ubalozi!Yajayo yanafurahisha!Ukraine kafanya makosa makubwa sana kurusha drone yenye bomu Crimea!Pia wakakosea Tena Kwa kumuua mwandishi wa Russia Kwa Bomu!Hiyo ndiyo imekuwa game changer,Sasa Russia hataki kucheka na kima!Amewapeleka mdogo mdogo kuepusha maafa makubwa!Sasa ameona mnachezea sharubu za Simba!Wiki hii mtapoteana humu!Mtaanza Julia war crimes!
Nashangaa Putini mwenyewe ameacha ndaro wewe hapo Buza unaleta za kwako., Russia siku nyingi sana alitakiwa ashambulie Marekani na Ulaya kwa kuisaidia Ukraine silaha kashindwa, alitakiwa kuishambulia Finland na Sweden kwa kupeleka maombi ya kujiunga na Nato kashindwa, alitakiwa kuimaliza Kyiv kwa kujiunga na umoja wa Ulaya kashindwa, alitakiwa amalize kazi na kuichukua miji ya Ukraine anayotaka kwa saa 72 alizotanza kashindwa, alitakiwa vile vile amalize kazi hiyo kwa miezi 6 aliyotangaza badala yake pia kashindwa, alisogeza vinu vya Nuclear kupiga pia kashindwa, emu nitajie kitu kimoja alichoweza russia, ameshindwa pia kuzuia askari wake kufa ameshindwa juzi Jeshi la Ukrean wametangaza kuua askari wa Russia 45,200 tokea uvamizi kwanini ameshindwa kuzuia?
 
Unafeli sana,muda utaongea!Hata Osama aliwafanya kitu mbaya US,wakamtamfuta miaka nenda Rudi wakaja kumuua!Aliyekuwa msaidizi wa Osama na baada ya Osama kufariki akawa kwenye top list ya most wanted US,amekuja kuuwawa baada ya miaka 20!
Kama wasipomuua waliomtuma,basi ipo siku atapata haki yake!
huyo Osama alihificha wap ? mbon akil zenu ni kisoda , yaan unajificha ndan ya Afghanstan au Sudan hlf unasema umejificha hv mna utimam wakuu ? kwahiyo hata hujiuliz kawezaj pata usaijil gari wa Donestk tena akatumia gar lenye usajili wa kazaskan then kaja kutumia gar lenye usajili wa estonia pia haujiliz katoa wap bomu mpk aende kumshambulia mtu ndan ya mji mkuu Moscow , yaan kuna chennel kubwa ya watu wakubwa , na huez mfananisha Osama ambae hata waliomhifadhi walikuwa wanamuona tishio kwa maslai yao , USA walikuwa na uwezo wa kumuondoa Osama mapema ila walikuwa wanatumia existence yake kama source of raw materials yaan kama wanamtafuta ila wanakuja kuiba raw materials kweny nchi zenu shukiwa
 
jarib kuingia hata kenya uue na utoke hlf uje utuambie nan mjing kati yako na huyo mama , yaan ww uyaone hayo ila huyo mama asiyaone hayao wkt kaweza kuingia Urusi na kutoka bila kushikwa
Hivi ni nchi gani ambayo haiwezekani kabisa mtu kuingia na kuua na kuondoka bila kukamtwa!
 
FSB wapo vizuri, team NATO kumbukeni ambae alikuwa targeted ni muandishi wa habari sio kiongozi wa juu katika serikali ya Putin awe waziri n.k

Kumbukeni Snowden alipofanya tukio na yeye kama CIA anayeijua FSB vizuri aliona Russia ndipo mahala pekee atakwenda kunusuru uhai wake, na mpaka sasa yupo salama, CIA wako wapi kummalizia aliko huko Russia kama FSB ni weak?
 
Nashangaa Putini mwenyewe ameacha ndaro wewe hapo Buza unaleta za kwako., Russia siku nyingi sana alitakiwa ashambulie Marekani na Ulaya kwa kuisaidia Ukraine silaha kashindwa, alitakiwa kuishambulia Finland na Sweden kwa kupeleka maombi ya kujiunga na Nato kashindwa, alitakiwa kuimaliza Kyiv kwa kujiunga na umoja wa Ulaya kashindwa, alitakiwa amalize kazi na kuichukua miji ya Ukraine anayotaka kwa saa 72 alizotanza kashindwa, alitakiwa vile vile amalize kazi hiyo kwa miezi 6 aliyotangaza badala yake pia kashindwa, alisogeza vinu vya Nuclear kupiga pia kashindwa, emu nitajie kitu kimoja alichoweza russia, ameshindwa pia kuzuia askari wake kufa ameshindwa juzi Jeshi la Ukrean wametangaza kuua askari wa Russia 45,200 tokea uvamizi kwanini ameshindwa kuzuia?
Duuuh,mbona tunarudi kulekule!
Ni wapi Russia alisema atamaliza operation yake Kwa siku 3?Russia alisema iwapo Ukraine itapewa long range missile za kushambulia Urusi basi escalation ya vita itatokea,ni lini Ukraine kapewa long range missiles?Ni wapi pia alitangaza atamaliza Operation Kwa Miezi 6?Unajua maana ya Vinu vya nuclear?Kwa kukusahihisha ulitakiwa useme nuclear warhead na sio nuclear reactor (kinu Cha nyuklia).Hebu tueleze alisogeza nuclear warhead kutoka wapi kwenda wapi?Hiyo idadi sio kwamba wamesema warusi 80,000 wamekufa huku Ukraine wakifa 9000 tu!Inakuingia akilini?Tofautisha kati ya propaganda na uhalisia!
 
jarib kuingia hata kenya uue na utoke hlf uje utuambie nan mjing kati yako na huyo mama , yaan ww uyaone hayo ila huyo mama asiyaone hayao wkt kaweza kuingia Urusi na kutoka bila kushikwa
Suala si kati yangu na huyo bibie yupi mjinga! Suala ni kuwa uwe tayari kwa lolote litakalotokea. Uwe tayari kwa kupokea majibu.

Na mimi si mwandishi wa hili bali ni historia ilishathibitisha hili ya kuwa Russia akilivalia njuga ni hatari mnoo! Russia alishakuwa na majasusi ndani ya pentagon.

Anthony Blunt! Alikuwa ni professor wa art history University of London. Director of the courtauld Institute of Art, na surveyor of the queen's pictures.

Queen Elizabeth alimpatia tuzo huyu! Lakini alikuwa ni Russian spy in the royal family. Alikuwa ni Russian spy in the palace.

Ukijenga mazoea ya kusoma haya mambo si kwamba utaonekana mjuaji na kwa wengine kuwa ni wajinga, laa hasha!Ni kama inavyotolewa tahadhari ya sumu kuwa ina madhara na inaweza kupelekea kutoa uhai wa kiumbe hai.

Kuzungumza hivi hakukufanyi kumfanya anaelamba sumu kuwa ni mjinga bali ni tahadhari tu! Ila ikiwa ana ushujaa wa kufanya hivyo ni kumuacha kwani ameshajiandaa kwa majibu atakayoyapata! Lakini haitoondoa tija ya kuwa sumu inadhuru.
 
huyo Osama alihificha wap ? mbon akil zenu ni kisoda , yaan unajificha ndan ya Afghanstan au Sudan hlf unasema umejificha hv mna utimam wakuu ? kwahiyo hata hujiuliz kawezaj pata usaijil gari wa Donestk tena akatumia gar lenye usajili wa kazaskan then kaja kutumia gar lenye usajili wa estonia pia haujiliz katoa wap bomu mpk aende kumshambulia mtu ndan ya mji mkuu Moscow , yaan kuna chennel kubwa ya watu wakubwa , na huez mfananisha Osama ambae hata waliomhifadhi walikuwa wanamuona tishio kwa maslai yao , USA walikuwa na uwezo wa kumuondoa Osama mapema ila walikuwa wanatumia existence yake kama source of raw materials yaan kama wanamtafuta ila wanakuja kuiba raw materials kweny nchi zenu shukiwa
Ukisikia chai ndio hii Sasa,kwamba walikuwa wanajua alipo ila hawakutaka kumuua?🤣🤣
Haya vipi baada ya kumuua Osama,mbona US hawakuondoka Afghanistan mpaka mwaka Jana ndio wakafungasha?Kwahiyo sababu kwamba waliacha kumuua Ili wabaki wanaiba raw material ni nonsense!
Haya tuje,Russia ameshawahi kuteketeza maadui zake waliokimbilia kujificha UK na US!

Na huyo Binti akijifanya anakimbilia US na Russia akajua basi atakuwa amejihatarisha maana US haaminiki!
Msisahau Bado Russia ana akiba ya wamarekani wananyea ndoo!Kama huyu ambaye Bado wa moto kabisa basketballer Griner,ndio anaweza kuwa bargaining chip!
 
Duuuh,mbona tunarudi kulekule!
Ni wapi Russia alisema atamaliza operation yake Kwa siku 3?Russia alisema iwapo Ukraine itapewa long range missile za kushambulia Urusi basi escalation ya vita itatokea,ni lini Ukraine kapewa long range missiles?Ni wapi pia alitangaza atamaliza Operation Kwa Miezi 6?Unajua maana ya Vinu vya nuclear?Kwa kukusahihisha ulitakiwa useme nuclear warhead na sio nuclear reactor (kinu Cha nyuklia).Hebu tueleze alisogeza nuclear warhead kutoka wapi kwenda wapi?Hiyo idadi sio kwamba wamesema warusi 80,000 wamekufa huku Ukraine wakifa 9000 tu!Inakuingia akilini?Tofautisha kati ya propaganda na uhalisia!
Kweli kichwa chako kigumu sana, mkuu Ukrean amepewa silaha za long range muda tena lakini hajaamua tu kupiga Russia., Kabla putin alitangaza 72hrs then six months, sasa anapigana kwa hasara bajet yake imeisha na askari ndo ivyo tena wanajijeruhi wenyewe ili waondoshwe kwenye vita wanauliwa kama nzige, HIMARS at its best
 
Back
Top Bottom