Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini....

A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend.

Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the commander of Russian troops in Syria, is believed to have died Sunday, possibly in the same battle that killed Russian Maj. Gen. Roman Kutuzov, Russian-language Telegram channel Volya Media reported.

The generals were in an armored column that was ambushed by Ukrainian forces, possibly on a bridge somewhere in the Donbas, according to the report. The exact details of the exchange are not yet known

Sawa kabisa mkuu
Screenshot_20220607-190320.jpg
 
We Mungiki, jenerali kufa kuna ajabu gani? General kama alikuwa frontline kufa sio jambo la ajabu. Kingine mbona wanajeahi wa vyeo vingine wakifa kwenye hi operation mnaona ni jambo la kawaida?

Pambaneni na Alshabab kwa nza ndio mje kwene issue ya russia. Kuku maji wewe....
 
njia pekee ya kumshinda andunje ni kuua askar wake wote. platoon hii ikiisha anapeleka kikosi kingine. wakiisha anapeleka wengine. Ukraine wameanza kuwaelewa wakiona wamekuja wengi wanarudi nyuma ili wachukue mji halafu wanapiga zile ambush flani hiv amaizing.
kama walivyo fanya pale kharkiv.
wakipanik wanawapelekea mioto.
 
Mzee wa nyuzi zaUrusi inakuangusha [emoji1787][emoji23][emoji23], usicheze na kichapo ww [emoji16]
 
We Mungiki, jenerali kufa kuna ajabu gani? General kama alikuwa frontline kufa sio jambo la ajabu. Kingine mbona wanajeahi wa vyeo vingine wakifa kwenye hi operation mnaona ni jambo la kawaida?

Pambaneni na Alshabab kwa nza ndio mje kwene issue ya russia. Kuku maji wewe....

zelensk anatembelea hadi vikosi vya mstar wa mbele na hakuna kitu wanafanya.
russia wanapigana kama kipofu. yaan wakiskia kichaka kinatikisika tu basi watapatupia mawe na makombora na hypersonik na craft gan sjui. kisha watasikilizia tena.

lakin Ukrain hawawezi kurusha kombora wasipo kua na uhakika wa target.
 
Poa. Nimefurahi kukuona.
Nilipata hofu labda umeenda ku-volunteer to fight for Ukraine/Russia.
Nimefurahi kukuona pia. Hahaha hapana mimi sipendi kupigana napenda amani sana so hata wangenilipa achana na volunteering wala nisingetaka.
 
zelensk anatembelea hadi vikosi vya mstar wa mbele na hakuna kitu wanafanya.
russia wanapigana kama kipofu. yaan wakiskia kichaka kinatikisika tu basi watapatupia mawe na makombora na hypersonik na craft gan sjui. kisha watasikilizia tena.

lakin Ukrain hawawezi kurusha kombora wasipo kua na uhakika wa target.
Watu wa mizinga wa Ukraine wana accuracy ya kutisha.
 
Back
Top Bottom