chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Lakini mkuu ni huyu kama hujaingilia maslahi yake ya ndani hakuoangii. Ni huyu Urusi alitusaidia kumwondoa Idd Amin wakati huo Mabeberu walikuwa upande wa Uganda. Kwanini tusimwone Mrusi rafiki yetu. Lakini pia karibu Afrika nzima iko upande wa Urusi sema wanashindwa kuchagua upande waziwaziTatizo la mrusi ni uchoyo - hakuwekeza Africa kabisa na ndiyo maana hata lugha yake hakuna taifa la Africa linaongea ama kutumia kufundishia.
Yeye pesa zake zote ni za kwake hasa hasa kuwekeza kwenye Ulinzi sasa akili hiyo, yet you want African countries to support you how ?
Policy yao kwa maendeleo ya Africa ni weak mno, Mmarekani hapo ndipo kacheza pele - Bajeti pekee ya mwaka anayotoa kwa Africa continent balaa !!
Putin la kwako hilo ndugu, limalize.
Sent using Jamii Forums mobile app