Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

hii vita itatuonesha vichaa wengi
 
jenerali kufa kuna ajabu gani? General kama alikuwa frontline kufa sio jambo la ajabu.
Urusi imevunja rekodi ya.magenerali.kufa

Generali kufa vitani sio jambo la kawaida huwa wa mwisho kufa ukiona generali kagawa jua Askari.kibao wamekufa

Hata vita kuu zote za dunia magenerali hawakufa kwa kiwango cha sasa cha Urusi
 
Urusi imevunja rekodi ya.magenerali.kufa

Generali kufa vitani sio jambo la kawaida huwa wa mwisho kufa ukiona generali kagawa jua Askari.kibao wamekufa

Hata vita kuu zote za dunia magenerali hawakufa kwa kiwango cha sasa cha Urusi

Na hii itasababisha majerali waliobaki waanze panic na kushindwa kupanga vita ipasavyo, wengine hata watahujumu mapambano
 
Ninyi Wakenya mnachuki gani na Urusi?
Tatizo la mrusi ni uchoyo - hakuwekeza Africa kabisa na ndiyo maana hata lugha yake hakuna taifa la Africa linaongea ama kutumia kufundishia.

Yeye pesa zake zote ni za kwake hasa hasa kuwekeza kwenye Ulinzi sasa akili hiyo, yet you want African countries to support you how ?

Policy yao kwa maendeleo ya Africa ni weak mno, Mmarekani hapo ndipo kacheza pele - Bajeti pekee ya mwaka anayotoa kwa Africa continent balaa !!

Putin la kwako hilo ndugu, limalize.
 
Andunje hawezi kuwezi kuwa frontier,madikteta waoga sana!
 
Andunje hawezi kuwezi kuwa frontier,madikteta waoga sana!
Русские не выиграют эту войну, они проиграют ее Украине, поверьте мне
 
Ulitaka aache kuendeleza nchi lake aje ahangaike naninyi
Ninyi hangaikeni wenyewe namanchi yenu yakiwashinda hameni
Hajawekeza Afrika ila shida nyie ndio mlienda kuhangaika kwake kulia lia njaa zitawaua
RUSSIA hataki sapot yenu sababu hamna msaada wowote kwake
Nyie ngojeeni ARVs na mipira yakuzuia mimba mkadanganywa UKIMWI
Watu kama wewe halaf siku afrika ije iendelee thubutu labda mawazo yafe ama wenye mawazo kama yako wafe wote ndio muendelee naafrika yenu/yetu
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
 
Mbona hata sisi tunachukia uvamizi wao dhidi ya Ukraine wakati sio wakenya. Nonsensical assertion.
Arguing with the one asserting nonsense means you are nonsense too.
By the way, wewe sio Mtanzania, ni wale wale wakenya mliombiwa ninyi ni wavulana wadogo mnatikisa mbuyu matokeo yake mmeishia kutikisa matako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…