Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

Lakini mkuu ni huyu kama hujaingilia maslahi yake ya ndani hakuoangii. Ni huyu Urusi alitusaidia kumwondoa Idd Amin wakati huo Mabeberu walikuwa upande wa Uganda. Kwanini tusimwone Mrusi rafiki yetu. Lakini pia karibu Afrika nzima iko upande wa Urusi sema wanashindwa kuchagua upande waziwazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani kaekeza nn Africa zaidi ya kuwaibia na kuwaletea vyandarua
 
Vita ingekuwa nyepesi kwa UKRAINE basi sasa ivi wangekuwa wanagombea kuingia Moscow.ila cha ajabu pamoja na maneno yote haya bado URUSI anazidi kujiongezea tu maeneno.
 
Arguing with the one asserting nonsense means you are nonsense too.
By the way, wewe sio Mtanzania, ni wale wale wakenya mliombiwa ninyi ni wavulana wadogo mnatikisa mbuyu matokeo yake mmeishia kutikisa matako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mchango wa zao la shule za kata. Sawa wamekusikia.
 
Ni kawaida!
Bora afe Mjeshi mwenye kiapo kuliko raia.
 
mkuu sometime uwege una andika vitu vyenye logic sasa.
 
Vita ingekuwa nyepesi kwa UKRAINE basi sasa ivi wangekuwa wanagombea kuingia Moscow.ila cha ajabu pamoja na maneno yote haya bado URUSI anazidi kujiongezea tu maeneno.

mohamed idrisa789 nikisha ona hilo jina nawaona wote mumeshakua na mtume mwingine anayeitwa Putin...
Ukraine ni kataifa kadogo sana ukilinganisha na supapawa mchongo Urusi, sasa mumehamia kuteka Kyev kwa siku tatu mnaongea kuhusu Ukraine kuiteka Moscow, raha sana.
 
Vita ingekuwa nyepesi kwa UKRAINE basi sasa ivi wangekuwa wanagombea kuingia Moscow.ila cha ajabu pamoja na maneno yote haya bado URUSI anazidi kujiongezea tu maeneno.
Ukraine wanajihami wamevamiwa lengo lao ni kulinda Nchi yao,waende Moscow kufanya nini sasa? Huyo aliyevamia ndiyo alipaswa kuwa Kiev kama kweli yeye ni mwanaume siyo kucheza kidari poo huko pembezoni.
 
Kwenye vita vya Uganda Mrusi alifanya double dealings, aliuza ndege vita Uganda na kuzuuzia Tanzania makombora ya kuziangusha hizo ndege.
 
Haijaanza leo hata Wahehe walimuua kamanda wa Wajeruman Emily von Zelewiski pale Lugalo 1898
 
unaandika km vile sio muafrika ukiitwa jina la mnyama wa mitin unaita ubaguz , hujitambui
 
we jamaa unaandika pumba sana , Idd Amin alikuwa adui wa mabeberu kbs , na hilo lipo waz kbs , haliitaj masters , andika ukiwa na uhakika , Ghadaf ( kipenz cha Urusi ) ndo alikuwa ana sapoti upande wa Idd Amin
 
Vita ingekuwa nyepesi kwa UKRAINE basi sasa ivi wangekuwa wanagombea kuingia Moscow.ila cha ajabu pamoja na maneno yote haya bado URUSI anazidi kujiongezea tu maeneno.
update yourself , upo shallow sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…