Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

Hawa awamu hii hakuna kuonewa huruma.mateka wakitolewa ni kufukia wote hapo ndani
 
Unajua maana ya underground tunnels and bunkers wewe ?

Hiyo mitaro ya machafu hao wazayuni wanayobomoa na kufukia ndio mnaita mahandaki ?
Mna akili timamu ninyi ?
Unajua underground metro ya Gaza iliyojengwa na Hamas ina urefu wa kina gani kwenda chini ya ardhi ?
Acheni ujinga wa kuwa mnameza kila takataka bila kufanya utafiti
 
Hii mbinu ya Israel kupora ardhi ya wapalestina nimeipenda sana. Yaani Israel ime-dramatize kuwa raia wake wametekwa na Hamas halafu dunia imeaminishwa ikaamini. Ndipo sasa Israel ikapata uhalalali wa kuwapigia wapalestina
Kwa hiyo wale Watanzania wawili waliotekwa wakiwa Israel ni drama?
 
Mbona umekuja umeshikilia underwear na dera umejifunga kichwani? Tuliza mshono. Usitokwe povu. Haya mambo hayataki hasira. Just calm down. Mwana kulitaka mwana kulipata. Usipovuke sana utakosa mate mwilini. Nenda kanawe uvae kisha uje....
 
Just rumors tu, nuke wa head kwa sehem ndogo kama gaza ni overkill. madhara yake yana last life time
Sidhan kama wataruhusiwa
Sasa umbali wa israel na gaza wakipga hyo nuclear mionzi yake siinafika mpk kwao kama wanamawazo hayo basi akili hawana
 
Kama Tanzania na Afrika tungeelekeza macho yetu na akili zetu Kwa waafrika wenzetu wanao uliwa huko Sudani na Kongo Kwa urafi wa aridhi na uchu wa lasilimali za Afrika kunako fanywa na Waarabu na wazungu
Angalia maisha yako
 
Wewe ndiye uliyekuwa mkandarasi wa hayo mahandaki maana si kwa hilo povu.
 

Mh sina hakika hata Allah anajua wazayun na akili zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…