Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

Walishapulizia sumu huko ndani ya mahandaki kubomoa wanazika kupoteza ushahidi

Maelfu ya Askari wa Hamas ambao wengi walitoka nchi mbalimbali za kiarabu sio Palestina wanazikwa ndani ya Tunnels wengine wakiwa hai IDF jeshi la Israel linabomoa na kuziba pamoja na kuwapulizia hewa ya sumu wafe huko wanaziba ili kama kuna wengine wana mask wafe kwa kukosa hewa na mi mask yao

Israel Mauaji iliyopeleka kwa Hamas hayajawahi tokea tokea Taifa la Israel liwepo

Maaskari wa Hamas waliofia huko.ndani .ya Tunnels kwa kupuliziwa sumu

Ni malaki

Jeshi la Israel linafukia ili harufu isitoke nje watu wasisikie harufu za maiti wa Hamas waliofia kwenye Tunnels
Is it?
Si wanasema Kuna mateka humo pia wa Israel?🤔🤷
 
ndio kinachoenda kutokea ukiona hamas wamechinja wale mateka israel ikajua kuwa kwenye mahandaki hakuna raia wake aliye hai, wanapiga sumu. kuna waziri mmoja alihojiwa jana akaropoka kuwa wana mpango kupiga gaza kwa nuklia, Netanyau amemsimamisha asihudhurie vikeo tena manake anatoa siri za kambi. raia wakiondoka wakajua kuwa pale wamebaki wapianaji wa hamas peke yake, kuna bomu litapigwa pale manake tangu awali Netanyau alisema anataka kukikfanya kieneo cha Gaza kuwa deserted island, yaani kisiwa asichoishi mwanadamu yeyote. kwasababu ameona wakiishi pale, wanamrushia roket.

Very likely, israel anaweza tumia nukee, akili za muisrael zifanyavyo kazii allah tu ndie ajuayee, hawa jamaa wana solution za faster sanaaa. Na hasiti kwenyee kutekelezaa pre emptive strikee nchi yoyotee hapo mashariki kati ambayo ikajaribu kuingiza pua hapo, itajutaa kuchorwa Mipakaa!
 
Hakuna kitu kama hicho mjomba. Muisrael hana sababu ya kuharibu nukes zake. Mbona kazi imeisha? Walioingia mahandakini imeshakuwa habari yao kwishney. Na sidhani kama kuna uwezekano wa Israel kuhangaika kuopoa maiti zao. Wamejizika wenyewe humo humo.
 
Nuke kwa nchi jirani!
 
Back
Top Bottom