heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Sidhni kama hamas wajinga kiasi hicho kwamba hawana plan B
Walishapulizia sumu huko ndani ya mahandaki kubomoa wanazika kupoteza ushahidi
Maelfu ya Askari wa Hamas ambao wengi walitoka nchi mbalimbali za kiarabu sio Palestina wanazikwa ndani ya Tunnels wengine wakiwa hai IDF jeshi la Israel linabomoa na kuziba pamoja na kuwapulizia hewa ya sumu wafe huko wanaziba ili kama kuna wengine wana mask wafe kwa kukosa hewa na mi mask yao
Israel Mauaji iliyopeleka kwa Hamas hayajawahi tokea tokea Taifa la Israel liwepo
Maaskari wa Hamas waliofia huko.ndani .ya Tunnels kwa kupuliziwa sumu
Ni malaki
Jeshi la Israel linafukia ili harufu isitoke nje watu wasisikie harufu za maiti wa Hamas waliofia kwenye Tunnels