Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
inaonekana walijadili uwezekano huo kwenye kikao cha ndani, waziri mmoja wa masuala ya ulinzi akatoa siri hiyo alipohojiwa, Netanyau akampiga stop kuhudhuria vikao tangu jana.
Just rumors tu, nuke wa head kwa sehem ndogo kama gaza ni overkill. madhara yake yana last life time
Sidhan kama wataruhusiwa