Em subiri kidogoPumba tu kama kawa, mbona usijisajilishi tu kwenye chuo ambacho kina course ya kujifunza kiingereza badala ya kujiabisha kila siku? Vikosi vya Ethiopia vinaisaidia serikali kuu ya Somalia kwenye mgogoro wao na vita dhidi ya Jamhuri ya Jubbaland. Baada ya wao kugaragazwa kweli kweli kivita na vikosi vya Rais Sheikh Madobe wa Jubbaland mwezi uliopita kwenye mji wa Bula Hawo, Somalia. Bula Hawo inapakana na mji wa Mandera, Kenya. Mambo ya Ethiopia kuivamia Kenya ni ndoto zako tu na kuchanganyikiwa kwako, kwasababu ya lugha gongana.
Tatizo lenu wakenya amuwezi kusoma mchezo ndiyo maana kila siku mnaangukia pua, akili zenu zimeathilika na arufu ua mafii kwa slum na kivuta gundiHivi shida ni kiingereza au? Wapi Ethiopia anataka kupigana na Kenya?
Bila kusahau kuongeza phase za slum kwa sasa mmefika phase4 mnaenda 5
Huwa wanajifanya kufuatilia ya Tanzania lakini siku zote wanapitwa na wakatiFungua huo uzi hiyo notice ya kufutwa kazi ilikuwa tar.20 halafu jamaa ujumbe kauandika tar.22 inaonekana alifutwa kazi two days before... Usiwe unaokota okota kila kitu kama mtoto mchanga... Focus kwenye mada.
Wewe upo huko kwa mabeberu unatawaza wazee wa kizungu mafii unatuambia nini!!!!!Hata wakiingia hakuna shida. Tutawagonga tu.
Mmetuzidi slum tu na kulala kwa mafiiMada yenyewe ni kuipiku Kenya [emoji23]
Machungu haya ni ya nini? Kwani mke wako amekunyima papuchi?Wewe upo huko kwa mabeberu unatawaza wazee wa kizungu mafii unatuambia nini!!!!!
Nasikia hadi unasema "wewe ukiona mafii ya mzee sehemu kwako unakuwa umeona Pesa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri tu siyo kupigwa tu miaka si mingi Mombasa itakuwa nchi msije sema mm ni nabiiKenya itapigwa na Ethiopia waihujumu Kenya kiuchumi, Tanzania itupiku ichukue nafasi ya pili after Ethiopia alafu Kenya ichukue position 3 ambayo ilikuwa ya Tz alafu joto la jiwe afurahi..."tumeipiku Kenya" ...bure kabisa it will never happen ni Kama kungoja Bandari ya Bagamoyo ianze Kuzinduliwa na praise team [emoji6]
Kama nawaona KDF wanavo kusanya nguo za mamaa ili ziwasaidie kutoroka katika uwanja wa vitaView attachment 1397192
The point of contact was at bula hawo.wacha kueneza porojo zako
View attachment 1397198
From the second map you can clearly see the location of Mandera and its proximity to both Somalia and Ethiopia.
We kumbafuu kingereza akizui vita muraEthiopia going to war with Kenya is the dream of every virgin zoomali. This Will not happen.we all know #ENDF & KDF won't engage each other, but use Somali foot soldiers.
Currently SNA militia cannot withstand Jubaland forces
Kenya ndiyo itaporomoka kabisa pia Kenya inaweza kukatwa kirahisi vipande viwili yani Mombasa kuwa nchi kamili maana hata Kenya inajaribu kuikata somalia kwa manufaa yake pia wasomali wanaweza kuikata Kenya kwa manufaa yao tena habari ya chini ya kapeti zinasema harakati za kuikata Kenya zimeanza na dalili zinaonekana ila serikali dhaifu ya Kenya imeshindwa kung'amua ,kama mnakumbuka kikundi cha ugaidi kimeanza kuua kwa kuangalia watu wa Kenya bara na Kenya pwani hii inaanza kuwapatia wafuasi kutoka bara maana serikali ya Kenya imeanza kuachia ajira za watu wa pwani kwa watu wa pwani hivyo watu wa pwani waliokuwa na chuki za ajira zao kuchukuliwa na watu wa bara wameanza kuwakubali magaidi kwa namna moja au nyingine,Lakini Ethiopia itaporomoka vibaya sana kama Kenya ikiamua nadhani asilimia kubwa ya bidhaa zinazokwenda kwao zinapitia Mombasa.
Au ikoje hii Mr MK254
Mke aninyime papuchi kwani mm naishi kwa slumMachungu haya ni ya nini? Kwani mke wako amekunyima papuchi?
Sindio unaishi tandale. Kazi ni kuosha choo na kuambukiza watu corona
Lengo lake ni kutaka kuharibu huu uzi ili kuficha aibu ya KDF, Achana naye usimjibu. Tujikite katika mada husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo "article" ukiisoma inaeleza sababu za Ethiopia kusogelea mpaka wa Kenya
Mkuu Kenya iko mbele sana ki-inteligencia kwa sababu ya uwepo wa US military base tatizo lao kuu naona ni kucheza na nchi ya kipuuzi kama Somalia ambayo hatujui inapambania nini maana Magaidi wanaishambulia Garisa na Serikali inaishambulia Garisa.Kenya ndiyo itaporomoka kabisa pia Kenya inaweza kukatwa kirahisi vipande viwili yani Mombasa kuwa nchi kamili maana hata Kenya inajaribu kuikata somalia kwa manufaa yake pia wasomali wanaweza kuikata Kenya kwa manufaa yao tena habari ya chini ya kapeti zinasema harakati za kuikata Kenya zimeanza na dalili zinaonekana ila serikali dhaifu ya Kenya imeshindwa kung'amua ,kama mnakumbuka kikundi cha ugaidi kimeanza kuua kwa kuangalia watu wa Kenya bara na Kenya pwani hii inaanza kuwapatia wafuasi kutoka bara maana serikali ya Kenya imeanza kuachia ajira za watu wa pwani kwa watu wa pwani hivyo watu wa pwani waliokuwa na chuki za ajira zao kuchukuliwa na watu wa bara wameanza kuwakubali magaidi kwa namna moja au nyingine,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuambia uache kueneza propaganda.Soma article yenyewe vizuriHiyo "article" ukiisoma inaeleza sababu za Ethiopia kusogelea mpaka wa Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona ka Djibouti kapo strategically sana japo ni kadogo nadhani Kenya wakiamua kwa uchumi wao wanaweza kuwapiku despite of mataifa mengi ya dunia ikiwemo America, France, Japan n.k kuifanya ile nchi ni watchtower yao.Kaka, Ethiopia wameshajenga rail, tena ya umeme kuunganisha na Bandari ya Djibouti, mzigo wote wa Ethiopia 100% unapitia Djibouti, kumbuka kwamba lazima watumi hii reli yao ili kurudisha deni la mchina.
Umbali wa Adis Ababa hadi bandari ya Djibouti ni Kama 750Km, wakati kutoka Adis hadi Mombasa ni zaidi ya 1000Km. Upande wa kaskazini mwa Adis kuelekea Djibouti ndio kuliko na Economic zone, usalama na ardhi yenye rutuba, wakati kusini mwa Ethiopia ni sawa na Kaskazini mashariki mwa Kenya, ni kukame, hakuna barabara wala shughuli za kiuchumi zaidi ya wafugaji ambao hupigana mara kwa Mara, usalama ni zero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Please don't quote me again, your knowledge is too low, can't waste my time to discuss with you, am sorry for this.Nilikuambia uache kueneza propaganda.Soma article yenyewe vizuriView attachment 1397728
The article says tension is high in Mandera asTroops amass in Dolow Somalia 45km from Mandera.